Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,243
- 34,903
Mh Edward Lowassa akizungumza na wauza mahindi na wafanya biashara ndogo ndogo Leo hii Dumila akiwa njiani kurejea DSM .
Amekumbuka kuwaelezea mazuri ya Magufuri pia?Mh Edward Lowassa akizungumza na wauza mahindi na wafanya biashara ndogo ndogo Leo hii Dumila akiwa njiani kurejea DSM .
Wewe unafanyanini hapa mwenye imaniKanisani wanamtafuta aende kwenye Harambee, mbona siku hizi Imani yake kwenye kuongoza Harambee imeshuka ghafla?
USHABIKI PEMBENI TUWE WAKWELIanaelekea dar, ametoka wap?, masikini mzee lowaxa anatia huruma sana.
Japokuwa kumhukumu mtu ni dhambi lkn km kuna unafiki wa ki-imani alopata kufanya huyo jamaa ni huo.Ndiyo maana hafanikiwi na kamwe hatafanikiwa kuwa rais kwa sababu ya dhambi hiyo.Kanisani wanamtafuta aende kwenye Harambee, mbona siku hizi Imani yake kwenye kuongoza Harambee imeshuka ghafla?
Anatia huruma vipi tena?anaelekea dar, ametoka wap?, masikini mzee lowaxa anatia huruma sana.
Tuliambiwa atatuwa dodoma kwa kishindo,vipi?Mh Edward Lowassa akizungumza na wauza mahindi na wafanya biashara ndogo ndogo Leo hii Dumila akiwa njiani kurejea DSM .
Nimesubiri sana hicho kishindo sijakisikiaTuliambiwa atatuwa dodoma kwa kishindo,vipi?
Ama kweli viroba vinatuharibia vijana wetu.Anatia huruma vipi tena?
Analala bila kula? watz mahaba yanapitiliza.
ccm mbele kwa mbele kama imekuuma kale marimao
Au viroba vinakusumbua kunywa spirit ni mzuri sana kwa kukata pombe
Mkuu, nami nimejiuliza sana hiloDumila kuna wafanya biashara au wachuuzi?
Huyu MTU alikukosa nn, unakuwa na chuki zaidi ya shetanMaskini Lowasa. Hakuna hata anayeshtuka. Yale mafuriko yameenda wapi?
Haswaaaaa. Eti wafanyabiashara!Heading ya uzi huu ilipaswa kuwa kuwa Mheshimiwa Lowassa alipoenda kuangalia soko la mahindi la Dumila