habari ya hapa
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 12,789
- 8,755
Yaani anataman hata sasa asikie Mzee hayupo dunian, huyu kijana bure kabisa, hivi hajapata bahati ya kukumbukwa na Rais hata sasa?Saaaana ana mauchungu kishenzi
Yaani anataman hata sasa asikie Mzee hayupo dunian, huyu kijana bure kabisa, hivi hajapata bahati ya kukumbukwa na Rais hata sasa?Saaaana ana mauchungu kishenzi
Dumila kuna wafanyabiasha au wakulima kaongea nao nini?Mh Edward Lowassa akizungumza na wauza mahindi na wafanya biashara ndogo ndogo Leo hii Dumila akiwa njiani kurejea DSM .
View attachment 343782 View attachment 343783
Mrema yupi yule mwana ccm?
Mkuu siku ukisikia membe kakumbukwa na magu basi huo ndo utakuwa mwanzo wa kukumbukwa kwa lizaboniYaani anataman hata sasa asikie Mzee hayupo dunian, huyu kijana bure kabisa, hivi hajapata bahati ya kukumbukwa na Rais hata sasa?
Naona shekhe yahya husein karudi kivingine
2020 nakuombea salama.Naona shekhe yahya husein karudi kivingine
Unaleta udini sasaLini ataenda kuongea na walutheli?
Mimi siyo shekhe yahyaHebu otea
huruma aliyo kutia ni ipi hapo.... watu wengine bwana akilizenu za mandazianaelekea dar, ametoka wap?, masikini mzee lowaxa anatia huruma sana.
Mimi namtegemea mungu siyo dua za watanzania kama wewe2020 nakuombea salama.
ha ha ha ha haaaa,JAMII FORUM RAHA!!Tuliambiwa atatuwa dodoma kwa kishindo,vipi?
Basi ukisikia mshindo ujue kafika[emoji23] [emoji23]Mimi siyo shekhe yahya
Ha ha aiseee anatia huruma, namshauri aachane na mambo ya hisani, mbaya sana kwa mtoto Wa kiumeMkuu siku ukisikia membe kakumbukwa na magu basi huo ndo utakuwa mwanzo wa kukumbukwa kwa lizaboni
Hii nyota sii mchezo subirini waanze kuulizia ni kwanini sukari imepanda, Lumumba wataipenda
Umewekwa kwenye chungu cheusi , utasikiaje kishindo ?Nimesubiri sana hicho kishindo sijakisikia
anaelekea dar, ametoka wap?, masikini mzee lowaxa anatia huruma sana.