Lowassa azungumza na wafanyabiashara Dumila leo

Lowassa azungumza na wafanyabiashara Dumila leo

Kuna watu walisema ameenda Dodoma kwa kishindo.

Lakini nilihadharisha juu hilo maana Magu alikuwa anaelekea huko pia.

Sasa kaibukia Dumila. Giza na Nuru havichangamani kabisa.
 
Haswaaaaa. Eti wafanyabiashara!
Kaka ilitakiwa iwe "Lowassa asepata Dodoma baada ya Rais Mgufuli kutua kwa kishindo".

Hii ilitabiliwa kuwa Lowassa amekuwa anakwepa sana kuonana na Magu. Mkoa ambao rais yupo huwa Lowassa hakai huko. Hapo anarudi Dar kwa familia. Rais akija Dar yeye anaenda Arusha.
 
Serikali yako imeyaogopa mafuriko imezuia mikutano ya wapinzani watanzania wanampenda Huyo baba
 
Baada ya mikikimikiki ya kampeni namuona Lowasa ana afya njema na amenawiri.. Mungu amlinde .
 
Daaaah aiseee angenipa taarifa ningeenda kumuona Rais wangu
 
Japokuwa kumhukumu mtu ni dhambi lkn km kuna unafiki wa ki-imani alopata kufanya huyo jamaa ni huo.Ndiyo maana hafanikiwi na kamwe hatafanikiwa kuwa rais kwa sababu ya dhambi hiyo.

Duuh wewe ndio mtoa hukumu?acha kujivika umungu
 
Heading ya uzi huu ilipaswa kuwa kuwa Mheshimiwa Lowassa alipoenda kununua mahindi ya kuchoma Dumila
Haaah,Jf sihami,jaman hata sisi tuendao Dodoma tukipita Dumila lazma tupate mahindi,jaman jaman unautani wewe!
 
Ktk ubora wako kijana mtiifu kwa fisi
Huyu hana lolote
13519dde7d32f39af0c4d40d3a479aba.jpg
 
Duu! ha ha haa! siku zote huwa napenda kusoma hoja za watu mbali mbali wanaochangia humu jf, leo nimecheka hadi mbavu zinaniuma! Domokaya umenichekesha sana. Oho ona sasa, nimsahau kuwasalimia, Hamjambo wana jf.
 
Nimesubiri sana hicho kishindo sijakisikia
Ndio hicho katuma Mwnahabari Huru. Nakwambia wenye mtindio wa ubongo wote wa nchi hii wamo chadema. Sijui nani kawalaani Tunasubiri kishindo Dodoma kinaletwa kituko
 
Back
Top Bottom