Lowassa azungumza na wafanyabiashara Dumila leo

Lowassa azungumza na wafanyabiashara Dumila leo

Japokuwa kumhukumu mtu ni dhambi lkn km kuna unafiki wa ki-imani alopata kufanya huyo jamaa ni huo.Ndiyo maana hafanikiwi na kamwe hatafanikiwa kuwa rais kwa sababu ya dhambi hiyo.
Mkuu kufikia uwaziri mkuu siyo cheo cha kubeza ila nimempenda maana anatamani kila vision yake itimie siyo wengine wanapata kwa zari tu
 
Huyo ndio kingozi wa watu,siyo kiongozi unajifungia kwenye kiyoyozi na kuwapita wananchi kama kichaka
Kupindi cha kampeni alikuwa anapeperuka tu na chopa.....mwenzie barabarani tu.
 
Alamsiki, naona mwenzangu unajibu huku umelala.....dunia haiishi vituko
Nakuonea huruma maana nyumba yenyewe ya kukaribishwa alafu hadi saa hizi bado hujazima taa,angalia wasije kupandisha adventure kesho kurudi mwandiga wakati bado unaipenda dsm ya ukawa
 
anaelekea dar, ametoka wap?, masikini mzee lowaxa anatia huruma sana.

Chezea kasi ya JPM wewe! na hapo ni miezi 5 tuu ya JPM vipi baada ya miaka 3 si ndo hata kutembea atakuwa hawezi kabisa. AMESHANYOOOOOOKA FISADI HUYO, NA BADO WAIT AYANYOOOKA ZAIDI
 
Kwa hakika nashukuru sana Mungu kwa kutuletea Lowassa kwenye Siasa za Tanzania
Kwa nguvu yake akiwa upinzani na woga wa Chama tawala kupoteza Imani kwa wananchi wakaamua kwa dhati kutuletea Magufuli mzee wa "hapa kazi tu".

Hakuna mshindi bila shindano...hakuna tiba bila ugonjwa...hakuna wokovu bila uovu

Nguvu ya upinzani iliyojionyesha katika uchaguzi mkuu imekuwa TIBA kwa Taifa letu

Naombea haya yaendelee kuwepo Tanzania hadi tufikie kilele cha mafanikio
 
Nakuonea huruma maana nyumba yenyewe ya kukaribishwa alafu hadi saa hizi bado hujazima taa,angalia wasije kupandisha adventure kesho kurudi mwandiga wakati bado unaipenda dsm ya ukawa
Kuchat na simu ni mpaka taa iwake? BTW nipo kwenu huku umawiani.......huku watu ni wabishi kwa asili.
 
Kuchat na simu ni mpaka taa iwake? BTW nipo kwenu huku umawiani.......huku watu ni wabishi kwa asili.
Mimi nimekupa tahadhari kwani nyumba za kukaribishwa alafu tena ujidai kidume watakutoa mkuku urudishwe kwenu ukale ugali wa muhogo na matoke
 
Kuchat na simu ni mpaka taa iwake? BTW nipo kwenu huku umawiani.......huku watu ni wabishi kwa asili.
Ubishi wa asili ndio safi ndio maana wameamua kuipiga chini ccm,siyo kama kwa kina Usolowenyooo!!!
 
Shika adabu wewe! Mheshimu kila binadamu acha dharau
MBONA MAPOVU YANAKUTOKA,KUKURUKA KWA MAHARAGE NDIO KUIVA KWAKE, LOWASSA HANA MPYA KWA SASA, ANAFANYA MAIGIZO TU KAMA YALE ALIYOKUA AKIFANYA KUPANDA DALADALA, SASA KAMPENI ZIMEISHA ANAJARIBU KU BEEP KUONA MUITIKIO WA WATU, AKACHUNGE TU MIFUGO, NA WEWE KAMSAIDIE MAANA UNAONEKANA INAKUUMA SANA.
 
Back
Top Bottom