Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 123,261
- 98,288
Mkuu huyo lizaboni ni kijakazi wa membe!Huyu MTU alikukosa nn, unakuwa na chuki zaidi ya shetan
Mkuu huyo lizaboni ni kijakazi wa membe!Huyu MTU alikukosa nn, unakuwa na chuki zaidi ya shetan
Hivi siku hizi membe bosi wako mbona humzungumzii?Eti huwezi kuzuia mafuriko kwa mikono! Mbona Magu pekee kayakomesha?
Oooh kumbe, aache hasira za bosi wake kupotezwa, Ngoyai ni namba ingine, akubali sasa kuwa kilichotokea ndio majaaliwa ya bosi wake maana hakuna namnaMkuu huyo lizaboni ni kijakazi wa membe!
Mazuri ya Magu: Sukari kupanda bei hadi sh 2,600/kg (1,800-2,000 wakati anaingia Obama st); kukataza bunge live wakati anatumbua hadharani; nchi kama jumba la Big Brother, lazima atumbue kigogo/vigogo kila mwezi; ......Amekumbuka kuwaelezea mazuri ya Magufuri pia?
Enzi hizo yupo na Gwajima!Musa Wa Tanzania, uwe na afya ktk kuwatumia watanzania
Nimejaribu kumfuatilia sana lizaboni kila wiki endi lazima aende mtwara kukagua mali za membeOooh kumbe, aache hasira za bosi wake kupotezwa, Ngoyai ni namba ingine, akubali sasa kuwa kilichotokea ndio majaaliwa ya bosi wake maana hakuna namna
Naona shekhe yahya husein karudi kivingineElewa;hatafanikiwa ktk nafasi ya urais na si ktk maisha yake.
Ha ha aibu kwa mwanaume km lizabon, alitamani siku moja alale kwenye jengo jeupe lkn ndo hivyo tena, lazima amchukie Edo aiseeeNimejaribu kumfuatilia sana lizaboni kila wiki endi lazima aende mtwara kukagua mali za membe
Teeeeeeeeh teeeeeeeeh, watanzania hasa wa kipato cha chini tayari wamesha rejea enzi za miaka ya 80 ya kunywa chai kwa kutumia sukari guruMazuri ya Magu: Sukari kupanda bei hadi sh 2,600/kg (1,800-2,000 wakati anaingia Obama st); kukataza bunge live wakati anatumbua hadharani; nchi kama jumba la Big Brother, lazima atumbue kigogo/vigogo kila mwezi; ......
Kuna tofauti kubwa kati ya wachuuzi na wafanyabiashara.huyu mh. ana mapenzi makubwa sana na wafanyabiashara tuache utani...
Maskini Lowasa. Hakuna hata anayeshtuka. Yale mafuriko yameenda wapi?
Mrema yupi yule mwana ccm?Huyu mzee anaelekea kuwa kama Mrema siku si nyingi....
Mkisikia Edo yupo mahali kuongea na watanzania matumbo joto, ona tumbo lako lilivyochemka baada ya kusikia hiii habariEnzi hizo yupo na Gwajima!
Saaaana ana mauchungu kishenziHa ha aibu kwa mwanaume km lizabon, alitamani siku moja alale kwenye jengo jeupe lkn ndo hivyo tena, lazima amchukie Edo aiseee
Na Mungu anisamehe...Teeeeeeeeh teeeeeeeeh, watanzania hasa wa kipato cha chini tayari wamesha rejea enzi za miaka ya 80 ya kunywa chai kwa kutumia sukari guru
Hongera sana kwa kuendelea kuzinadi sera za ccm yaani udiniLini ataenda kuongea na walutheli?
Akusamehe kivipi mkuu kwani wewe ndiye uliye mpigia kura pekee yako?Na Mungu anisamehe...