Lowassa azomewa na wanachama wa CHADEMA

Lowassa azomewa na wanachama wa CHADEMA

Wanaokishabikia chama cha serkal iliopo madarakan wa wanajua ivi
huduma ya afya kwa mama mja mzito, aliyejifungua, mototo na wazee ni bureeeeeee.
Elimu ya sekondari ni boraaaaaa na inatolewa kwa tsh 20,000 na 70,000 tuuuuuuu.
Pembejeo za kilimo ni bei rahisi na havina kodi na mazao pia ya mkulima yanataftiwa soko ........
Inatosha naona had naona uchungu........
 
c shangai hata BWANA YESU alizomewa na kuthihaikiwa lakini hayo yote ili neno litimie na sasa ndie tunae mwadu ......mtamthiaki Lowasa na kumnenea uongo ila cku ya cku ndie atakuwa raic wetu.
 
c shangai hata BWANA YESU alizomewa na kuthihaikiwa lakini hayo yote ili neno litimie na sasa ndie tunae mwadu ......mtamthiaki Lowasa na kumnenea uongo ila cku ya cku ndie atakuwa raic wetu.

Lowassa sio Yesu.
Kuna mpuuzi mmoja alishamuita Mtume SAW..
Koma kabisa huu upuuzi
 
Wakazi wa Morogoro wamethibitisha wewe kama upo karatu huwezi amini, ila habari ndiyo hiyo hapa morogoro na wengi hawataki hata kusikia jina hilo.
.
Wenzio wanaota ndoto za kuwafurahisha kimwili wewe unaota za kuitesa nafsi yako.
 
Hawana jipya ukawa kwisha kabsa vyama vya upinzani kufa October.lowasa ni mgonjwa hatufai kabsa
 
Mods nashangaa Uzi huu ambao hauna kigezo hata kuitwa udaku, hauonyedhi kazomewa wapi, hauna attachment yoyote. Kwa jicho LA mtoto hata wa darasa LA tatu anajua kuwa huu ni uongo. Too low for jf.
 
Naona kitengo cha IT Masaki , JM ameshawapa maelekezo.
Yaani hapa ndiyo mnazidi kuwaangusha maboss wenu.
 
Sisi wanachadema hatutaki kukipoteza chama chetu ndiyo maana hatumuungi mkono mgombea wetu wa Urais... Haiwezekani mtu fisadi aliyepingwa na marais wote waliopita halafu tumpokee kwa shangwe. Tutaendelea kumzomea hadi mwisho na tutahakikisha hapati ushindi, bora litote tugawane mbao, tutajipanga tena 2020

Mnatabiriwa moves zenu ila hamuachi kuzitekeleza, kweli nyie mambulula!!!!
 
Hio ni team ya IT ipo masaki inasimamiwa na january makamba huawa wanatunga kila uongo kuichafua ukawa lkn tunawafahamu ni wazushi hao vibaraka wa ccm.
 
Mtoa mada kajipange upya mwambie January na kinana waje na plan D sasa maana A..B..C.. zimefeliiiiii....

Viva Ukawa
 
Katika kampeni zake mgombea urais kupitia tiketi ya chadema amezidi kupata wakati mgumu kwa kuzomewa na wanachama wanaosadikika ni chadema masalia wakiwa katika makunditofautitofauti. Vijana na mashabiki hao bado hawaamini kama ni kweli mzee huyo kapewa kugombea nafasi hiyo pasipo kuwa na uwezo na sifa zilizokuwa zikiendana na maadili ya chama, wanachama hao wameenda mbali na kusema wanawasiwasi na mkiti wao pamoja na watendaji wengine kutokana na kutumia mabavu katika kufanya maamuzi pasipo kuhusisha maoni ya wanachama.
Masaburi na ccm yake .hamjakata tamaa tuu !!??
 
Wapogoro na Waluguru mshazoea umasikini ndio maana hamuachi kuikumbatia CCM...

Wakazi wa Morogoro wamethibitisha wewe kama upo karatu huwezi amini, ila habari ndiyo hiyo hapa morogoro na wengi hawataki hata kusikia jina hilo.
 
'Uwongo' nayo kazi inayopaswa kulipwa. Maana kujitoa ufahamu yahitaji moyo...
 
chadema kubalini tu kazomewa ukweli haujifichi

tuwekeeni picha au video, mbona mbeya tuliwawekea video ikionesha watu wanaonesha vidole viwili juu wakati makufuli anapita.
 
Labda na wewe ni miongoni mwa hawa makada
 
Back
Top Bottom