Lowassa azomewa na wanachama wa CHADEMA

Lowassa azomewa na wanachama wa CHADEMA

:smokin::smokin::smokin::smokin:...Zimekulewesha hujielewi..huoni aibu..
 
Sisi wanachadema hatutaki kukipoteza chama chetu ndiyo maana hatumuungi mkono mgombea wetu wa Urais... Haiwezekani mtu fisadi aliyepingwa na marais wote waliopita halafu tumpokee kwa shangwe. Tutaendelea kumzomea hadi mwisho na tutahakikisha hapati ushindi, bora litote tugawane mbao, tutajipanga tena 2020

uliandika uzi kama mwanalumbumba sasa unajitetea kama mwana cdm shame on u
 
He he heee!
Kauli ya boss wa wacheza kigodoro: Picha za kuungaunga/photoshop.

Mtaleta kila uzushi, lakini mabadiliko ni lazima.

Vote for UKAWA, vote for Lowassa.
 
Katika kampeni zake mgombea urais kupitia tiketi ya chadema amezidi kupata wakati mgumu kwa kuzomewa na wanachama wanaosadikika ni chadema masalia wakiwa katika makunditofautitofauti. Vijana na mashabiki hao bado hawaamini kama ni kweli mzee huyo kapewa kugombea nafasi hiyo pasipo kuwa na uwezo na sifa zilizokuwa zikiendana na maadili ya chama, wanachama hao wameenda mbali na kusema wanawasiwasi na mkiti wao pamoja na watendaji wengine kutokana na kutumia mabavu katika kufanya maamuzi pasipo kuhusisha maoni ya wanachama.
Umejiunga 12 mwezi huu siku ya jumamosi mwaka huu 2015 lol maskini then post ya 11 ushuzi uashapewa buku 10 zako ndani ya Lumumba
 
Kwani hao marais waliopita ndio mungu unayemwabudu? Wewe tena ccm usiyejitambua
 
Memba wa jf kila siku lazima nijipatie habari za uhakika hapa .ila leo nawapa hai tu.
 
Unatakaje kwan.....kama raix ndio huyo hutak nenda malaw hukoo....ukawa ileeeeeeeee...inafungua mlango wa ikulu
 
Katika kampeni zake mgombea urais kupitia tiketi ya chadema amezidi kupata wakati mgumu kwa kuzomewa na wanachama wanaosadikika ni chadema masalia wakiwa katika makunditofautitofauti. Vijana na mashabiki hao bado hawaamini kama ni kweli mzee huyo kapewa kugombea nafasi hiyo pasipo kuwa na uwezo na sifa zilizokuwa zikiendana na maadili ya chama, wanachama hao wameenda mbali na kusema wanawasiwasi na mkiti wao pamoja na watendaji wengine kutokana na kutumia mabavu katika kufanya maamuzi pasipo kuhusisha maoni ya wanachama.

Thekyu veree macheeee
 
Kweli ni mbururaaaaaaaaaa,tangu lini lowasa akazomewa na wanabadiliko?atazomewa na wanasisime tu,acheni kuja na vitu visivyo na mbele wala nyuma,tukue ss.
 
Back
Top Bottom