Hawana jipya ukawa kwisha kabsa vyama vya upinzani kufa October.lowasa ni mgonjwa hatufai kabsa
Katika kampeni zake mgombea urais kupitia tiketi ya CHADEMA amezidi kupata wakati mgumu kwa kuzomewa na wanachama wanaosadikika ni CHADEMA Masalia wakiwa katika makundi tofauti tofauti.
Vijana na mashabiki hao bado hawaamini kama ni kweli mzee huyo kapewa kugombea nafasi hiyo pasipo kuwa na uwezo na sifa zilizokuwa zikiendana na maadili ya chama.
Wanachama hao wameenda mbali na kusema wanawasiwasi na mkiti wao pamoja na watendaji wengine kutokana na kutumia mabavu katika kufanya maamuzi pasipo kuhusisha maoni ya wanachama.
Sisi wanachadema hatutaki kukipoteza chama chetu ndiyo maana hatumuungi mkono mgombea wetu wa Urais... Haiwezekani mtu fisadi aliyepingwa na marais wote waliopita halafu tumpokee kwa shangwe. Tutaendelea kumzomea hadi mwisho na tutahakikisha hapati ushindi, bora litote tugawane mbao, tutajipanga tena 2020
Hiyo kazi waliyokupa itakufanya uchume dhambi..
Weka video kama kweli kazomewa
Sisi wanachadema hatutaki kukipoteza chama chetu ndiyo maana hatumuungi mkono mgombea wetu wa Urais... Haiwezekani mtu fisadi aliyepingwa na marais wote waliopita halafu tumpokee kwa shangwe. Tutaendelea kumzomea hadi mwisho na tutahakikisha hapati ushindi, bora litote tugawane mbao, tutajipanga tena 2020
huyo atakua ni kada wa ccm ame2mwa kumchafua mhexhmiwa hana lolote hawaz ku2badilixha mcmamo we2 cc cku ya kura 2taenda kumpa mhexhmiwaJamani acha kupoteza muda bure kumjibu. Angalia takwimu zake
General Information
Last Activity Today 20:22Join Date12th September 2015
Katika kampeni zake mgombea urais kupitia tiketi ya CHADEMA amezidi kupata wakati mgumu kwa kuzomewa na wanachama wanaosadikika ni CHADEMA Masalia wakiwa katika makundi tofauti tofauti.
Vijana na mashabiki hao bado hawaamini kama ni kweli mzee huyo kapewa kugombea nafasi hiyo pasipo kuwa na uwezo na sifa zilizokuwa zikiendana na maadili ya chama.
Wanachama hao wameenda mbali na kusema wanawasiwasi na mkiti wao pamoja na watendaji wengine kutokana na kutumia mabavu katika kufanya maamuzi pasipo kuhusisha maoni ya wanachama.
join date 6th august, post 108,Nakwambia myself ni mwana chama wa chadema mwanzo nilichukulia poa nikasema namuunga mkono mamvi bt niliviona kashfa zke kumbe ni nyingi namm nimejiweka pembani naona bora nihamie act