jamani fanyeni research nchi nzima c Jf humu!!!!lowasa atashinda vipi!?!!!angalien mkoa wa moshi,arusha,manyara,na iringa anapojivunia anaungwa wamejiandikisha wangapi!!!dar 2.8 milion,wakati wakazi 8milion,mwanza 2.7kwakaz 7milion!!!watanzania waliojiandikisha 23.8milion!!!huyu robot anashindaje!!!ccm tu ina wanachama halal 9!!!robot liwasa chukulia wapo watakampa kula 1milion!!!!wanapak 8milion!!kila mwanachama aende kupiga kula na mtu mmoja baki!!!dr magufuli atapata 16 milion!!!polen msio na tafiti za kutosha