Katika kampeni zake mgombea urais kupitia tiketi ya CHADEMA amezidi kupata wakati mgumu kwa kuzomewa na wanachama wanaosadikika ni CHADEMA Masalia wakiwa katika makundi tofauti tofauti.
Vijana na mashabiki hao bado hawaamini kama ni kweli mzee huyo kapewa kugombea nafasi hiyo pasipo kuwa na uwezo na sifa zilizokuwa zikiendana na maadili ya chama.
Wanachama hao wameenda mbali na kusema wanawasiwasi na mkiti wao pamoja na watendaji wengine kutokana na kutumia mabavu katika kufanya maamuzi pasipo kuhusisha maoni ya wanachama.
Tuko wengi tuliochukizwa na lowasa kuwa mgombea wetu na tutawapa wabunge na madiwani kura lkn kura za urais tutarudisha tupu. Baada ya Lowasa kushindwa Mbowe ajipange kuwajibika.
Mtakoma ubish mwaka huu. MAGUFULI NDO HABARI YA MJINI
Sisi wanachadema hatutaki kukipoteza chama chetu ndiyo maana hatumuungi mkono mgombea wetu wa Urais... Haiwezekani mtu fisadi aliyepingwa na marais wote waliopita halafu tumpokee kwa shangwe. Tutaendelea kumzomea hadi mwisho na tutahakikisha hapati ushindi, bora litote tugawane mbao, tutajipanga tena 2020