Lowassa azomewa na wanachama wa CHADEMA

Lowassa azomewa na wanachama wa CHADEMA

Katika kampeni zake mgombea urais kupitia tiketi ya chadema amezidi kupata wakati mgumu kwa kuzomewa na wanachama wanaosadikika ni chadema masalia wakiwa katika makunditofautitofauti. Vijana na mashabiki hao bado hawaamini kama ni kweli mzee huyo kapewa kugombea nafasi hiyo pasipo kuwa na uwezo na sifa zilizokuwa zikiendana na maadili ya chama, wanachama hao wameenda mbali na kusema wanawasiwasi na mkiti wao pamoja na watendaji wengine kutokana na kutumia mabavu katika kufanya maamuzi pasipo kuhusisha maoni ya wanachama.

wanasubiri nn chadema? nashauri wastaafu siasa kama dr cassava au waende eist. kuliko kuumia moyo kwenye chama cha watu. wenye chama walishaamua.
 
Wakazi wa Morogoro wamethibitisha wewe kama upo karatu huwezi amini, ila habari ndiyo hiyo hapa morogoro na wengi hawataki hata kusikia jina hilo.
 
Sisi wanachadema hatutaki kukipoteza chama chetu ndiyo maana hatumuungi mkono mgombea wetu wa Urais... Haiwezekani mtu fisadi aliyepingwa na marais wote waliopita halafu tumpokee kwa shangwe. Tutaendelea kumzomea hadi mwisho na tutahakikisha hapati ushindi, bora litote tugawane mbao, tutajipanga tena 2020

Wewe bi magamba nenda kachukue buku saba lumumba...hivi mbona mnaweka mijitu mijinga kwenye propaganda zenu???..mtachekwa hata na watt wadogo..ni magufuli pekee atakayezomewa na video tunaziona lkn kwa mh EL. .hubuutu..mtajuta si mlimkata!..nasikia bilion150 zinakaribia kwisha with no results tatizo mnahonga watu wajinga kabisa kama kina Ray na aunt Ezekiel! Sasa hao wana impact ipi kwenye society? ..nyie fisiemu ni mamburulaz vibaya sana! Mwaka huu lzm mkae!
 
WAPI? lini? sehem gani?

Katika kampeni zake mgombea urais kupitia tiketi ya chadema amezidi kupata wakati mgumu kwa kuzomewa na wanachama wanaosadikika ni chadema masalia wakiwa katika makunditofautitofauti. Vijana na mashabiki hao bado hawaamini kama ni kweli mzee huyo kapewa kugombea nafasi hiyo pasipo kuwa na uwezo na sifa zilizokuwa zikiendana na maadili ya chama, wanachama hao wameenda mbali na kusema wanawasiwasi na mkiti wao pamoja na watendaji wengine kutokana na kutumia mabavu katika kufanya maamuzi pasipo kuhusisha maoni ya wanachama.
 
Mada njinga wana ukawa zipuuzeni, waacheni wapinzani watarajiwa watoe mada na wachangie wenyewe.
 
wewe kibaraka ovyo sana...unaongea hovyoo hovyoo
 
Sisi wanachadema hatutaki kukipoteza chama chetu ndiyo maana hatumuungi mkono mgombea wetu wa Urais... Haiwezekani mtu fisadi aliyepingwa na marais wote waliopita halafu tumpokee kwa shangwe. Tutaendelea kumzomea hadi mwisho na tutahakikisha hapati ushindi, bora litote tugawane mbao, tutajipanga tena 2020
Aisha Iddi, naomba nikupe ushauri mdogo tu, umejiunga na JF tarehe 25 August, 2015 na hata mwezi bado na toka umejiunga umeanzisha mada tatu tu na post zako kwa ujumla ni 31. Katika hizo zote hakuna ulipojitambulisha na uanachadema, sana sana umejitambulisha kama mwana CCM kindakindaki na shabiki mkubwa wa Magufuli. Kijana kumbuka hii ni JF na hivyo ukiwa muongo hakikisha huwi msahaulifu; JF inatunza kumbu kumbu.
 
Last edited by a moderator:

ha ha ha ha asante kamanda huyo katoka FB anaingia jf kwa pupa
 
Last edited by a moderator:
Hata wangesema anaua tembo au alichukua pesa za escrow ni lzm tumchague tu lowasa maana hakuna namna tumechoka na ccm
 
Lowassa ana heshimiwa na kukubalika kuliko hata mwenyekiti wa CCM . Hilo halina mjadala. Hizi habari za kuzomewa kwavyovyote utakuwa unaongelea mtu mwingine.
 
Yaani mijitu mingine akili mav kweli hivi kwa uelewa wake anajua kwamba anaweza kudanganya yeyote humu jf, huku hamna chekechea labda huko fb bt na wao mwaka huu kuwashawishi ni kazi ngumu mno, jf wengi ni GT
 
Back
Top Bottom