Lowassa azomewa na wanachama wa CHADEMA

Lowassa azomewa na wanachama wa CHADEMA

Watz kama mazezeta kwa kupenda umasikini.
 
Sisi wanachadema hatutaki kukipoteza chama chetu ndiyo maana hatumuungi mkono mgombea wetu wa Urais... Haiwezekani mtu fisadi aliyepingwa na marais wote waliopita halafu tumpokee kwa shangwe. Tutaendelea kumzomea hadi mwisho na tutahakikisha hapati ushindi, bora litote tugawane mbao, tutajipanga tena 2020

ha ha ha ha! mbona utakoma mwenyewe na upashikuna wako!
 
Wakazi hao wanajitambua ndio sababu kazomewa.
 
Acha uongo watu wamekesha na tukio limefanyika karibu kabisa na Depot ninayofanyia kazi na kuna watu wamekesha kumsubiri..Magufuli ndo amezoea kuzomewa..Na october atajulikana huyo mwenye richmond..
 
ImageUploadedByJamiiForums1442340312.255585.jpg

This is for you
 
Katika kampeni zake mgombea urais kupitia tiketi ya chadema amezidi kupata wakati mgumu kwa kuzomewa na wanachama wanaosadikika ni chadema masalia wakiwa katika makunditofautitofauti. Vijana na mashabiki hao bado hawaamini kama ni kweli mzee huyo kapewa kugombea nafasi hiyo pasipo kuwa na uwezo na sifa zilizokuwa zikiendana na maadili ya chama, wanachama hao wameenda mbali na kusema wanawasiwasi na mkiti wao pamoja na watendaji wengine kutokana na kutumia mabavu katika kufanya maamuzi pasipo kuhusisha maoni ya wanachama.

Kwa uzushi huu nakufananisha na chizi mmoja hapo Morogoro,yeye anakunya halafu akimaliza anakula kinyesi chake mwenyewe.Pia ni bingwa wa kujitekenya na kucheka yeye mwenyewe.Nakuomba ukakojoe halafu ukalale.Kesho uwaambie waliokutuma kuwa cd imebuma.
 
waondoke chamani na wao, kitu kikikukera unaachana nacho,kama alivyofanya dr wao
 
Mifuasi ya CCM ndivyo ilivyo, kuna na lile janaume linaloojiita FaizaFoxy

Nyie Watu Vipi Kwani Hili Jukwaa Wanawake Hawaruhusiwi?Kwahyo Na Sisi Tuseme Wote Wenye Id Za Kike Wanaoshabikia Ukawa Nao Ni Madume!
 
Last edited by a moderator:
Kiporo cha pombe kinakusumbua kichwani
 
Sisi wanachadema hatutaki kukipoteza chama chetu ndiyo maana hatumuungi mkono mgombea wetu wa Urais... Haiwezekani mtu fisadi aliyepingwa na marais wote waliopita halafu tumpokee kwa shangwe. Tutaendelea kumzomea hadi mwisho na tutahakikisha hapati ushindi, bora litote tugawane mbao, tutajipanga tena 2020

we bado mdogo kwa nini utumike
 
Kazi ya ccm na masaburi type. Mnajidanganya bure haturudi nyuma. Tumeona namna mnavyohangaika hata kupitia kupitia mbinu zote ovu kwenye mazungumzo yenu ie mwigulu, makamba junior, kariuki, kibajaji et el. Mipango yenu ni bure hata ingekuwaje tutamchagua hivyo hivyo. Na mojawapo ya mbinu tulizokuwa ni kuwekea vikwazo vya uchumi Kwa watu wanaotutegemea km wana mlengo tofauti na wa kwetu huko nyumbani. No vote for Lowassa and ukawa et all no economic assistance or butter kabidhi kadi yako Kwangu na nitairudisha baada ya uchaguzi km tulivyofanya mwz 2010.

Ha ha uliona majadiliano kumbe mkuu, waoga haooo
 
Zikipostiwa mnazifuta sote tunajua mnafanya editing ya nguvu lakini moderator hatazuiya KURA kwa mangufuli .
 
Back
Top Bottom