Hii inaweza kuandikwa na mtu ambaye ana upeo mdogo au hana kabisa.Siasa za Tanzania zina vituko!
Lowassa ameishapata ''madaraka'' ya kuwakaribisha watu wake baada ya yeye kukaribishwa kwa kutumia nguvu ya pesa mwaka mmoja uliopita!
Sikuwahi kuamini kama maisha ya kisiasa nchini yanaenda kwa kasi ya aina hii ambapo leo Lowassa anadai maisha yake ya kisiasa ni mazuri sana kwa sababu anaweza kufanya lolote analopenda/kutaka na hakuna mtu wa kumzuia ndani ya CHADEMA!
Kununua chama ni raha sana! You can do whatever you want/like!
Money talks!
Mkuu,"Heri wenyewe moyo safi, maana hao watamwona Mungu" (Matayo 5:8)
Mkuu,
Hayo maneno/maandishi ya mdau uliyemu-quote kayaandika Makusudi,ni moja ya Mashairi ya msanii Roma Mkatoliki katika wimbo wake wa"Hii ndo Tanzania" Mwaka 2010.
Hana lolote huyo kwisha habari yake! Wasaliti wenzake wametimuliwa!Nafsi yangu imenisukuma kushika kalamu na kuandika haya kutokana na kile kilichotokea Dodoma katika vikao vya CCM.
Ni takriban miezi 20 sasa toka nilipojitoa kutoka CCM, lakini nasikia bado naendelea kutajwa tajwa huko katika vikao vyao.
Wamewatimua wanachama na viongozi wao ambao wengi wao walitumia demokasia yao kupinga upindishwaji wa kanuni na sheria za chama chao.Nataka kuwaambia kuwa wakati wakifanya hivyo walikuwa mashujaa wa haki na demokrasia na misingi ya utawala Bora nchini.
Hawa walikuwa mashujaa wa kutetea haki,demokrasia na taratibu na kupinga dhulma ndani ya chama chao na nchini.Kwa kusimamia kile walichokiamini bila ya kuvunja sheria, wamekata minyororo ya unyonge na uonevu.Mbegu ile waliyoipanda itamea na kuzaa matunda demokrasia ya kweli nchini kwetu.
Baba wa taifa Mwalimu Nyerere aliwahi kusema, kwamba upinzani wa kweli utatokea CCM, naamini usemi huo sasa unatimia kwa kasi kubwa. Nawakaribisha Chadema na UKAWA kwa jumla huku kuna maisha mazuri sana, hakuna minyororo ya utumwa wa kisiasa. Kilichowapata ni sawa na kumpiga chura teke unamuongezea kasi tu.
Waje wajiunge nasi katika safari ya kuleta Demokrasia ya kweli na siasa zenye ukomavu,safari hii inahitaji umoja na mshikamano ili kufikia malengo.
Huko wanajinasibu kuwa CCM ikiyumba, nchi itayumba lakini mimi nasema kinachotokea ni kwamba, kwa jinsi CCM inavyoyumba, ndivyo wananchi wanazidi kukomaa kisiasa na kuimarika katika harakati za kutafuta mabadiliko ya kweli.
Watanzania wa sasa hawawezi tena kuvumilia ukandamizaji wa haki zao za msingi unaofanywa na watawala. Nidhamu ya woga haina tena nafasi katika kujenga nchi yenye kuheshimu misingi ya haki demokasia na utawala bora.
Edward Lowassa
Mjumbe kamati Kuu Chadema
Yaani umesema kweli sana hongera ubarikiweYEYE HAKUONA alivyo mfanyia Dr SLAA dhuluma ya SLAA kuwa mgombea urai kupitia CHADEMA?????.....Yaani mtu UNAKUJA KUPOKONYA WENZIO TONGE MDOMONI hata haujui uo ugali walisonga vipi.....Ni upuuzi kuamini LOWASSA nae ni mtu wa kuamini katika DEMOKRASIA angekuwa ana amini hivyo ANGERUHUSU MCHAKATO WA UCHAGUZI NDANI YA CHAMA KUCHAGUA MGOMBEA na si kujipendekeza yeye bila ushindani
Ningeshangaa kama asingewakaribisha makuwadi wakeNafsi yangu imenisukuma kushika kalamu na kuandika haya kutokana na kile kilichotokea Dodoma katika vikao vya CCM.
Ni takriban miezi 20 sasa toka nilipojitoa kutoka CCM, lakini nasikia bado naendelea kutajwa tajwa huko katika vikao vyao.
Wamewatimua wanachama na viongozi wao ambao wengi wao walitumia demokasia yao kupinga upindishwaji wa kanuni na sheria za chama chao.Nataka kuwaambia kuwa wakati wakifanya hivyo walikuwa mashujaa wa haki na demokrasia na misingi ya utawala Bora nchini.
Hawa walikuwa mashujaa wa kutetea haki,demokrasia na taratibu na kupinga dhulma ndani ya chama chao na nchini.Kwa kusimamia kile walichokiamini bila ya kuvunja sheria, wamekata minyororo ya unyonge na uonevu.Mbegu ile waliyoipanda itamea na kuzaa matunda demokrasia ya kweli nchini kwetu.
Baba wa taifa Mwalimu Nyerere aliwahi kusema, kwamba upinzani wa kweli utatokea CCM, naamini usemi huo sasa unatimia kwa kasi kubwa. Nawakaribisha Chadema na UKAWA kwa jumla huku kuna maisha mazuri sana, hakuna minyororo ya utumwa wa kisiasa. Kilichowapata ni sawa na kumpiga chura teke unamuongezea kasi tu.
Waje wajiunge nasi katika safari ya kuleta Demokrasia ya kweli na siasa zenye ukomavu,safari hii inahitaji umoja na mshikamano ili kufikia malengo.
Huko wanajinasibu kuwa CCM ikiyumba, nchi itayumba lakini mimi nasema kinachotokea ni kwamba, kwa jinsi CCM inavyoyumba, ndivyo wananchi wanazidi kukomaa kisiasa na kuimarika katika harakati za kutafuta mabadiliko ya kweli.
Watanzania wa sasa hawawezi tena kuvumilia ukandamizaji wa haki zao za msingi unaofanywa na watawala. Nidhamu ya woga haina tena nafasi katika kujenga nchi yenye kuheshimu misingi ya haki demokasia na utawala bora.
Edward Lowassa
Mjumbe kamati Kuu Chadema
Matusi ya nini weka cheti mezani.Unakung'utwa wewe! Mtu gani unaishi kwa tukio moja kila siku!
Hata kukaribisha watu bado mnataka asiwe na hiyo haki? Hivi huyu mzee amewakosea nini?Siasa za Tanzania zina vituko!
Lowassa ameishapata ''madaraka'' ya kuwakaribisha watu wake baada ya yeye kukaribishwa kwa kutumia nguvu ya pesa mwaka mmoja uliopita!
Sikuwahi kuamini kama maisha ya kisiasa nchini yanaenda kwa kasi ya aina hii ambapo leo Lowassa anadai maisha yake ya kisiasa ni mazuri sana kwa sababu anaweza kufanya lolote analopenda/kutaka na hakuna mtu wa kumzuia ndani ya CHADEMA!
Kununua chama ni raha sana! You can do whatever you want/like!
Money talks!
Siasa za Tanzania zina vituko!

Acha unafiki wewe mnafiki mkubwa,mlipojidai mnawapokea akina Atfi na wenzake mlikiwa mmenunuliwa fisi weweSiasa za Tanzania zina vituko!
Lowassa ameishapata ''madaraka'' ya kuwakaribisha watu wake baada ya yeye kukaribishwa kwa kutumia nguvu ya pesa mwaka mmoja uliopita!
Sikuwahi kuamini kama maisha ya kisiasa nchini yanaenda kwa kasi ya aina hii ambapo leo Lowassa anadai maisha yake ya kisiasa ni mazuri sana kwa sababu anaweza kufanya lolote analopenda/kutaka na hakuna mtu wa kumzuia ndani ya CHADEMA!
Kununua chama ni raha sana! You can do whatever you want/like!
Money talks!
Kwenda na unafiki wenu nani alikuwa amempitisha Dr,Slaa alafu alipokuja Lowasa akampokonya nafasi fisi acheni ufisi wenuYEYE HAKUONA alivyo mfanyia Dr SLAA dhuluma ya SLAA kuwa mgombea urai kupitia CHADEMA?????.....Yaani mtu UNAKUJA KUPOKONYA WENZIO TONGE MDOMONI hata haujui uo ugali walisonga vipi.....Ni upuuzi kuamini LOWASSA nae ni mtu wa kuamini katika DEMOKRASIA angekuwa ana amini hivyo ANGERUHUSU MCHAKATO WA UCHAGUZI NDANI YA CHAMA KUCHAGUA MGOMBEA na si kujipendekeza yeye bila ushindani
kAMA M/KITI wenu asingehongwa ni nani angesimama urais kupitia CHAMA CHENU?????Kwenda na unafiki wenu nani alikuwa amempitisha Dr,Slaa alafu alipokuja Lowasa akampokonya nafasi fisi acheni ufisi wenu
Wewe unashida. . . . ninyi ndio wale ambao hamjui mnenalo. . . .Sizonje anatamani afute mfumo wa vyama vingi