Lowassa awakaribisha CHADEMA/UKAWA waliotimuliwa CCM

Lipo andiko ambalo limeandikwa na ndg E.L. akiwakaribisha waliofukuzwa na CCM ktk ukawa.Pamoja na karibu hiyo,pia,amegusia mambo mbalimbali ya demokrasia huku akimtaja na baba wa Taifa (HAYATI).

Itoshe kwangu kumkumbusha EL kwamba hana kabisa nguvu ya kusemea habari ya demokrasia.EL hajawahi kabisa kuwa maana demokrasia wa kweli km ambavyo hututaka tuamini.Demokrasia ya kulazimisha kamwe si demokrasia ya kweli.Demokrasia ya manunuzi si demokrasia ya kujivunia.

Nyerere hakuwahi na hadi kifo chake kumwamini EL!Alimwona km ........!

Tafadhali bwana EL,usitumie jina ktk demokrasia la mtu ambaye hakukuamini na kukubaliana nawe ktk yote. Mwache Mwl APUMZIKE kwa AMANI tu.
 
leteni maendeleo acheni kupoteza muda kumuongelea EL
 
zidumu fikra za wenyekiti zama hizo zimerudi tena ndani ya ccm , wote walioonywa na kutimliwa hawakumuunga mkono JPM ndio maana kimawapata .Pili alipokuwa anakabidhiwa umwenyekiti alisema kama ningekuwa mimi [JMK] kwenye kikao cha uteuzi wale wote waliokuwa wanamwimba [LOWASSA] ningewapoteza ,ndicho amekitimiliza
KARIBUNI CDM kwa waliopotezwa na JPM
 
Lipo andiko ambalo limeandikwa na ndg E.L. akiwakaribisha waliofukuzwa na CCM ktk ukawa.Pamoja na karibu hiyo,pia,amegusia mambo mbalimbali ya demokrasia huku akimtaja na baba wa Taifa (HAYATI).

Itoshe kwangu kumkumbusha EL kwamba hana kabisa nguvu ya kusemea habari ya demokrasia.EL hajawahi kabisa kuwa maana demokrasia wa kweli km ambavyo hututaka tuamini.Demokrasia ya kulazimisha kamwe si demokrasia ya kweli.Demokrasia ya manunuzi si demokrasia ya kujivunia.

Nyerere hakuwahi na hadi kifo chake kumwamini EL!Alimwona km ........!

Tafadhali bwana EL,usitumie jina ktk demokrasia la mtu ambaye hakukuamini na kukubaliana nawe ktk yote. Mwache Mwl APUMZIKE kwa AMANI tu.
Liwekee hilo hatimiliki, litumike na wanaccm tu ili tukuelewe.
Acha vitu vya kukalilishwa, ulikuwepo wakati anamkataa?
 
... Kuweni makini otherwise you will find yourself huyu Mhe akiwa kwenye midomo, mikakati na mazungumzo yenu till 2020... Angalia jana na leo mzimu wake ulivyoendelea kutesa vikao vya wenye nchi.
 
Lipo andiko ambalo limeandikwa na ndg E.L. akiwakaribisha waliofukuzwa na CCM ktk ukawa.Pamoja na karibu hiyo,pia,amegusia mambo mbalimbali ya demokrasia huku akimtaja na baba wa Taifa (HAYATI).

Itoshe kwangu kumkumbusha EL kwamba hana kabisa nguvu ya kusemea habari ya demokrasia.EL hajawahi kabisa kuwa maana demokrasia wa kweli km ambavyo hututaka tuamini.Demokrasia ya kulazimisha kamwe si demokrasia ya kweli.Demokrasia ya manunuzi si demokrasia ya kujivunia.

Nyerere hakuwahi na hadi kifo chake kumwamini EL!Alimwona km ........!

Tafadhali bwana EL,usitumie jina ktk demokrasia la mtu ambaye hakukuamini na kukubaliana nawe ktk yote. Mwache Mwl APUMZIKE kwa AMANI tu.
Mbona Edward Lowasa amekuwa waziri kipindi chote Nyerere akiwepo hai mpaka alipo fariki, alimkatalia wapi mkuu? Kwa nini kumlisha maneno Mzee wa watu akiwa amepumzika?
 
Kimenuka....kesho wataitisha kikao cha kamati mkuu ccm kumjibu
 
Lipo andiko ambalo limeandikwa na ndg E.L. akiwakaribisha waliofukuzwa na CCM ktk ukawa.Pamoja na karibu hiyo,pia,amegusia mambo mbalimbali ya demokrasia huku akimtaja na baba wa Taifa (HAYATI).

Itoshe kwangu kumkumbusha EL kwamba hana kabisa nguvu ya kusemea habari ya demokrasia.EL hajawahi kabisa kuwa maana demokrasia wa kweli km ambavyo hututaka tuamini.Demokrasia ya kulazimisha kamwe si demokrasia ya kweli.Demokrasia ya manunuzi si demokrasia ya kujivunia.

Nyerere hakuwahi na hadi kifo chake kumwamini EL!Alimwona km ........!

Tafadhali bwana EL,usitumie jina ktk demokrasia la mtu ambaye hakukuamini na kukubaliana nawe ktk yote. Mwache Mwl APUMZIKE kwa AMANI tu.
Haya tumesha kufahamu humu jf kuwa ww ni tinde nsalala,kuna lingine???km lipo sema
 
Umemshauri Mwenyekiti wako aache kumongelea Lowasa ,maana kila anapopata nafasi ni kuuliza waliomba tuna imani na Lowasa ...
 
Chadema inamhitaji kila mwenye ushawishi ili kuunganisha nguvu ya kuleta ukombozi wa kweli .
 
Waje tu wala wasichelewa na waandaliwe mapokezi makubwa tena yawe live na siku hiyo wawaeleze wananchi sababu ya wao kufukuzwa mmoja baada ya mwingine au baadhi wawakilishe wenzao.

Tukio liwe live ikiwezekana zaidi ya channel 3 na wafanye siku ya week-end.
Si mpaka hao wenye live zao wakubali liwe live, matukio mangapi yalitakiwa kuwa live yalizimwa? Watu watalipwa warushe live ila watatoa visingizio vya live
 
Lipo andiko ambalo limeandikwa na ndg E.L. akiwakaribisha waliofukuzwa na CCM ktk ukawa.Pamoja na karibu hiyo,pia,amegusia mambo mbalimbali ya demokrasia huku akimtaja na baba wa Taifa (HAYATI).

Itoshe kwangu kumkumbusha EL kwamba hana kabisa nguvu ya kusemea habari ya demokrasia.EL hajawahi kabisa kuwa maana demokrasia wa kweli km ambavyo hututaka tuamini.Demokrasia ya kulazimisha kamwe si demokrasia ya kweli.Demokrasia ya manunuzi si demokrasia ya kujivunia.

Nyerere hakuwahi na hadi kifo chake kumwamini EL!Alimwona km ........!

Tafadhali bwana EL,usitumie jina ktk demokrasia la mtu ambaye hakukuamini na kukubaliana nawe ktk yote. Mwache Mwl APUMZIKE kwa AMANI tu.
Andiko bovu kabisa...
Kama EL hawezi kuzungumzia demokrasia ni nani basi anayeweza kuzungumzia demokrasia ya kweli..???
 
Back
Top Bottom