Lowassa awakaribisha CHADEMA/UKAWA waliotimuliwa CCM

Lowasa unawatesa sana wenzako kwa sababu ya mahaba yao kwako, unaharibu maisha yao, familia zao, biashara zao, future zao etc kwa tamaa zako za kuwa Rais kupitia UKAWA. Usingehama CCM haya yote yasingewapata. Ushauri wangu, jitokeze , omba radhi CCM . Utarudisha amani yako, amani ya waliokuwa marafiki zako etc.
 
Nafikiri ni wakati muafaka kwa Mh. Lowasa kuwaomba Chadema waqarudishe kina Zitto na timu yake wakiohoji na kujitahidi kutetea nafasi zao mahakamani kwenye haki ila wakaishia kufungishwa virago.
 
Tanzania ina vituko!

Lowassa ameishapata ''madaraka'' ya kuwakaribisha watu wake baada ya yeye kukaribishwa kwa kutumia nguvu ya pesa mwaka mmoja uliopita!

Kununua chama ni raha sana! You can do whatever you want/like!
Nora kilichonunuliwa kuliko kilichokabidhiwa waokota makopo
 
Kwa hio untka kusema pkee yako ndio unatakiwa kumnukuu Nyerere, Lowasa hapana, we swine kweli kweli!!!
 
Nafikiri ni wakati muafaka kwa Mh. Lowasa kuwaomba Chadema waqarudishe kina Zitto na timu yake wakiohoji na kujitahidi kutetea nafasi zao mahakamani kwenye haki ila wakaishia kufungishwa virago.
Warudisheni kwanza kina sophia na madabida. Kama hao ni wasaliti kwenu, unasemaje Zitto arudishwe? Anza wewe kutoa boriti kwenyei jicho laki.
 
Lowasa unawatesa sana wenzako kwa sababu ya mahaba yao kwako, unaharibu maisha yao, familia zao, biashara zao, future zao etc kwa tamaa zako za kuwa Rais kupitia UKAWA. Usingehama CCM haya yote yasingewapata. Ushauri wangu, jitokeze , omba radhi CCM . Utarudisha amani yako, amani ya waliokuwa marafiki zako etc.
Nani amekuambia lowasa hana amani? Tulieni muote moyo aliouwasha.
 
Warudisheni kwanza kina sophia na madabida. Kama hao ni wasaliti kwenu, unasemaje Zitto arudishwe? Anza wewe kutoa boriti kwenyei jicho laki.
Ungeelewa nilichomaanisha ungefuta hii comment yako, mada hapa ni Lowasa kusikitishwa na tukio la ccm kuwafukuza wanachama wao kwa kitendo chao cha kikatiba kuhoji, sasa ni wakati wa yeye kuwaombea wale waliohoji chadema kikatiba na kutimuliwa.
Unamuita Zitto msaliti ila unakataa Sofia Simba kuitwa msaliti?
 
Tanzania ina vituko!

Lowassa ameishapata ''madaraka'' ya kuwakaribisha watu wake baada ya yeye kukaribishwa kwa kutumia nguvu ya pesa mwaka mmoja uliopita!

Kununua chama ni raha sana! You can do whatever you want/like!
Wewe ndio ulikuwa cashier wakati ananunua chadema? Mtakuja kutolewa mahari hata kama ni wanaume shauri yenu
 
Upuuzi mtupu....hawa wanasiasa wameshatufanya KAMA viroba....wajinga wanalewa KWA maneno yao,,,SIASA YA KWEL IKO KANISANI SIO KWENYE VYAMA....SHAME ON U
 
Lowassa siyo mropokaji na wala hasukumwi na mihemko ya matukio, omba radhi mleta mada kwa kumlisha maneno kamanda Lowass
Ni kweli na Azam TV wameitoa hii habari waki quote jamii forum kama source
 
Tanzania ina vituko!

Lowassa ameishapata ''madaraka'' ya kuwakaribisha watu wake baada ya yeye kukaribishwa kwa kutumia nguvu ya pesa mwaka mmoja uliopita!

Kununua chama ni raha sana! You can do whatever you want/like!

Wewe hauwezi kumkaribisha mtu ccm?
 
Back
Top Bottom