Lowassa awakaribisha CHADEMA/UKAWA waliotimuliwa CCM

safi sana, nasikia magufuli naye angekatwa alikua anatimkia chadema
 
Zilipendwa,endelea kuhamisha goli.
Ilisemekana utaipasua CCM,ukashindwa.
Sasa Magufuli anaondoa mtandao wako ndani ya chama pole yako.
Chama linasukwa upya kua mpole.
 
Siasa za Tanzania zina vituko!

Lowassa ameishapata ''madaraka'' ya kuwakaribisha watu wake baada ya yeye kukaribishwa kwa kutumia nguvu ya pesa mwaka mmoja uliopita!

Sikuwahi kuamini kama maisha ya kisiasa nchini yanaenda kwa kasi ya aina hii ambapo leo Lowassa anadai maisha yake ya kisiasa ni mazuri sana kwa sababu anaweza kufanya lolote analopenda/kutaka na hakuna mtu wa kumzuia ndani ya CHADEMA!

Kununua chama ni raha sana! You can do whatever you want/like!

Money talks hasa kwenye chama chenye viongozi ambao ni wajasiriamali wa kisiasa!
Unaweza kutubonyeza ni kiasi gani Lowasa ameinvest kwenye Ukawa/chadema? Kwenye account ipi au ni material gani alizohama nazo toka CCM na kuleta kwenye upinzani? Kama una bifu na Lowasa usiingize chama kwenye hasira zako. Leo yupo kesho asipokuwepo utamsema nani? Unachukia mtu au system? Lowasa ana pesa kuliko watu wangapi hapa nchini na wale ambao wamo kwenye vyama vya siasa? Tafuta pesa na wewe ili tuweze kukukaribisha kwenye vyama vyetu hata vya dini maana unadhani pesa ndo kila kitu.
 
Kwa hiyo Mbowe siyo mpinzani wa kweli kisa hakutokea CCM?

CDM iwe makini tu,huyo mzee ni mtaalamu wa kusuka makundi.
 
Nimesikia Julius Mtatilo amesema kipindi upo ccm ni dhahiri ulikuwa unatumia pesa kununua wafwasi so ccm was right and will be right kwa hatua zinazochukuliwa kuwaondoa wafwasi wako uliowanunua...
 
Siasa za Tanzania zina vituko!

Lowassa ameishapata ''madaraka'' ya kuwakaribisha watu wake baada ya yeye kukaribishwa kwa kutumia nguvu ya pesa mwaka mmoja uliopita!

Sikuwahi kuamini kama maisha ya kisiasa nchini yanaenda kwa kasi ya aina hii ambapo leo Lowassa anadai maisha yake ya kisiasa ni mazuri sana kwa sababu anaweza kufanya lolote analopenda/kutaka na hakuna mtu wa kumzuia ndani ya CHADEMA!

Kununua chama ni raha sana! You can do whatever you want/like!

Money talks hasa kwenye chama chenye viongozi ambao ni wajasiriamali wa kisiasa!
Kwenye hizo pesa ulichangia kiasi gani au usenge usengeni unaleta hapa
Nafsi yangu imenisukuma kushika kalamu na kuandika haya kutokana na kile kilichotokea Dodoma katika vikao vya CCM.

Ni takriban miezi 20 sasa toka nilipojitoa kutoka CCM, lakini nasikia bado naendelea kutajwa tajwa huko katika vikao vyao.

Wamewatimua wanachama na viongozi wao ambao wengi wao walitumia demokasia yao kupinga upindishwaji wa kanuni na sheria za chama chao.Nataka kuwaambia kuwa wakati wakifanya hivyo walikuwa mashujaa wa haki na demokrasia na misingi ya utawala Bora nchini.

Hawa walikuwa mashujaa wa kutetea haki,demokrasia na taratibu na kupinga dhulma ndani ya chama chao na nchini.Kwa kusimamia kile walichokiamini bila ya kuvunja sheria, wamekata minyororo ya unyonge na uonevu.Mbegu ile waliyoipanda itamea na kuzaa matunda demokrasia ya kweli nchini kwetu.

Baba wa taifa Mwalimu Nyerere aliwahi kusema, kwamba upinzani wa kweli utatokea CCM, naamini usemi huo sasa unatimia kwa kasi kubwa. Nawakaribisha Chadema na UKAWA kwa jumla huku kuna maisha mazuri sana, hakuna minyororo ya utumwa wa kisiasa. Kilichowapata ni sawa na kumpiga chura teke unamuongezea kasi tu.

Waje wajiunge nasi katika safari ya kuleta Demokrasia ya kweli na siasa zenye ukomavu,safari hii inahitaji umoja na mshikamano ili kufikia malengo.

Huko wanajinasibu kuwa CCM ikiyumba, nchi itayumba lakini mimi nasema kinachotokea ni kwamba, kwa jinsi CCM inavyoyumba, ndivyo wananchi wanazidi kukomaa kisiasa na kuimarika katika harakati za kutafuta mabadiliko ya kweli.

Watanzania wa sasa hawawezi tena kuvumilia ukandamizaji wa haki zao za msingi unaofanywa na watawala. Nidhamu ya woga haina tena nafasi katika kujenga nchi yenye kuheshimu misingi ya haki demokasia na utawala bora.

Edward Lowassa

Mjumbe kamati Kuu Chadema
 
Siasa za Tanzania zina vituko!

Lowassa ameishapata ''madaraka'' ya kuwakaribisha watu wake baada ya yeye kukaribishwa kwa kutumia nguvu ya pesa mwaka mmoja uliopita!

Sikuwahi kuamini kama maisha ya kisiasa nchini yanaenda kwa kasi ya aina hii ambapo leo Lowassa anadai maisha yake ya kisiasa ni mazuri sana kwa sababu anaweza kufanya lolote analopenda/kutaka na hakuna mtu wa kumzuia ndani ya CHADEMA!

Kununua chama ni raha sana! You can do whatever you want/like!

Money talks hasa kwenye chama chenye viongozi ambao ni wajasiriamali wa kisiasa!
Unatumia nguvu nyingi sana.
 
No wonder CDM is an opposition party. It fits the bill because it lacks meaningful strategy to propel it to top lesdetship position in the country.
 
Waje tu wala wasichelewa na waandaliwe mapokezi makubwa tena yawe live na siku hiyo wawaeleze wananchi sababu ya wao kufukuzwa mmoja baada ya mwingine au baadhi wawakilishe wenzao.

Tukio liwe live ikiwezekana zaidi ya channel 3 na wafanye siku ya week-end.
Ninawaangalia tu.

Si ndo nyie mlikuwa mnamtukana Madabida humu jukwaani juzi tu leo mnamuandalia mapokezi ya kishujaa na kikamanda.

Wallahi hata Makonda akifukuzwa leo huko ccm kwa tuhuma zinazorushwa na Gwajima nayi pia mtampokea kikamanda.

Hapo ndipo siielewi chadema. Huu ukigeugeu...hapa ndo mnapopishana na wananchi wengi wenye nia njema na wasiopenda bla blah za majukwaani.

Chadema isipojirekebisha kwa hili itapata angamizi kubwa na la hatari.
 
Lowasa anawakaribisha yeye kama nan?? Madabida wa nin kajichokea zakee,
Watanzania wengi hawana vyama, matatizo yao mengi atleast huwa yanazungumziwa na wapinzani, hivyo mara nyingi wao huonekana kama wapinzani

Lakini wapinzani wana majanga yao, mwengine nia yake kuwa rais tu atimize ndoto zake...mwengine yeye ndo mbabe wa chama, mwenyekiti milele...na matatizo mengi tu, japokuwa wanajitahidi kuzungumzia matatizo ya wananchi.
Wanaojielewa wanapigia kura upinzan sababu wanataka kuipumzisha ccm ili ipate adabu cyo kwamba upinzani ni wazuri sanaaaa. Sijui Lowasa cjui ushuzii

Lowasa ndie alieharibu Tanzania, kwa kuchange game la uongozi na anayoyapata sahivi ni malipo yake...Sometimes huruma inantoka....eti wanasema sometimes anapoteza kumbukumbu kama alishawai kuwa wazir mkuu.
 
Ninawaangalia tu.

Si ndo nyie mlikuwa mnamtukana Madabida humu jukwaani juzi tu leo mnamuandalia mapokezi ya kishujaa na kikamanda.

Wallahi hata Makonda akifukuzwa leo huko ccm kwa tuhuma zinazorushwa na Gwajima nayi pia mtampokea kikamanda.

Hapo ndipo siielewi chadema. Huu ukigeugeu...hapa ndo mnapopishana na wananchi wengi wenye nia njema na wasiopenda bla blah za majukwaani.

Chadema isipojirekebisha kwa hili itapata angamizi kubwa na la hatari.
Wanasema ndo muda wao wakutubu umefika.....
 
Sasa assets zinajulikana kidogo kidogo watu walikuwa hawaelewi tuu.
 
Unaweza kutubonyeza ni kiasi gani Lowasa ameinvest kwenye Ukawa/chadema? Kwenye account ipi au ni material gani alizohama nazo toka CCM na kuleta kwenye upinzani? Kama una bifu na Lowasa usiingize chama kwenye hasira zako. Leo yupo kesho asipokuwepo utamsema nani? Unachukia mtu au system? Lowasa ana pesa kuliko watu wangapi hapa nchini na wale ambao wamo kwenye vyama vya siasa? Tafuta pesa na wewe ili tuweze kukukaribisha kwenye vyama vyetu hata vya dini maana unadhani pesa ndo kila kitu.
Uambiwe... alafu.....!!!
 
Ninawaangalia tu.

Si ndo nyie mlikuwa mnamtukana Madabida humu jukwaani juzi tu leo mnamuandalia mapokezi ya kishujaa na kikamanda.

Wallahi hata Makonda akifukuzwa leo huko ccm kwa tuhuma zinazorushwa na Gwajima nayi pia mtampokea kikamanda.

Hapo ndipo siielewi chadema. Huu ukigeugeu...hapa ndo mnapopishana na wananchi wengi wenye nia njema na wasiopenda bla blah za majukwaani.

Chadema isipojirekebisha kwa hili itapata angamizi kubwa na la hatari.
hata yule mnaefanana mwenye sura ya sokwe nae alisemaga hivihivi mwaka juzi kuwa cdm inakufa 2014...
sasa wewe endeleza uzombie wenyu
cdm inakanyaga twende
 
Back
Top Bottom