Lowassa atua Mwanza kusaka wadhamini, umati wampokea

Lowassa atua Mwanza kusaka wadhamini, umati wampokea

Mchafu anachafuliwa!!!kasema mjitokezee!!
 
jamaa kadhamiria,nilikua pale jengo la ccm,asee palizuka taharuki...
yule msukuma na helcopter yake pia....
hivi huyo mshambamshamba kapata wapi hela ya kununua helcopter?.
 
Wapenz mashabiki na wanachama wa Lowassa team rudieni hotuba ya mwl Nyerere mei mosi Mbeya 1995,
 
Kuzuia mafuriko kwa vidole haiwezekani. Mtaelewa tu.
 
Mkuu mpk,hao si kama wale wa Sheikh Amri Abeid Arusha? Nina wasiwasi kuwa walitangulia au kutangulizwa
Unajua kama mtu anaweza kukusanya watu ndiyo ushindi katika chaguzi za kitanzania. Kubali usikubali jamaa ana mtandao ndiyo utampa ushindi ingawa hakufaa kuwa Rais ila kwa hali halisi ilivyo HAKAMATIKI
 
As long as you have put your brain in your stomach, I don't think that you have the courage to do so.

Ni kweli. Wale wanaofikiri kwa kutumia matumbo hawawezi kufikiri sawasawa! Wanatanguliza matumbo yao mbele badala ya kutanguliza masilahi ya nchi yetu. Shame on you! Inakuwaje mnajitoa ufahamu kiasi hicho na kuanza kutukuza na kushabikia majizi? Kujua Lowasa ni mtu wa namna gani,angalia wanaomzunguka! Chenge,Kapuya,Nazir Karamagi,mama wa milioni 10 za mboga,nk! Think! Think again! Come to your senses.
 
Mtoto akililia wembe...nyie mwenzenu kanunuliwa na matajiri afadhari angenunuliwa na maskini. Fungu lenu hamna,mtaishia kwenye geti kumsindikiza ndani hamuingii.
 
WanaJF,

Akiwa anahutubia Mwanza, mhe. Lowassa amewaweka wazi watu ambao wanamdhamini katika safari yake ya matumaini na kukiri kuwa hawezi kuwasau.

Wafuatao ndio wadhamini ambao Lowassa aliwaorodhesha katika baadhi ya fomu zake za wadhamini:

01. Prof. Tibaijuka

02. Rostam Azizi

03. Msabaha

04. Kalamagi

05. Manji

06. Dr. Mengi

07. Kinje (Mtoto wa Kingunge)

08. Eng. Rugemalira

09. Chenge

10. Jitu Patel

Orodha ni ndefu sana, ila hao ndio aliowaweka katika (top 10) kumaanisha kwamba udhamini wao ni mkubwa kulinganisha na ule wa raia wengine.
 
Baba kaza buti,sisi vijana wako watiifu tuko nyuma yako,kokote utakapoenda tuko na wewe hadi kieleweke,go lowasa go lowasa go lowasa go lowasa go lowasa go lowasa go lowasa go lowasa go lowasa go lowasa go lowasa go lowasa go lowasa x 1,000,000,000,000,000,000,000,000,000

Mavi ya mende wewee.., useless slut
 
Back
Top Bottom