Lowassa atua Mwanza kusaka wadhamini, umati wampokea

Lowassa atua Mwanza kusaka wadhamini, umati wampokea

Kweli nilipita mitaa ya Ghandhi hall Mwanza mijitu ya mavazi ya kijani yamelambishwa umatemate baada ya kumdhamini Fisadi,kweli wamevuna Leo hapo ndo imetoka tena since watachinja mapema.....UKAWA on the way to Magogoni
 
jamaa hela zake haziishagi maana tuhuma za kuhonga watu alianza kitambo sana
 
Ukizingatia historia yake kiuongozi, elimu yake na matokeo ya madarasani, hoja zake, sauti yake, upangaji wa mada, maana za hotuba anazotoa, na hasa ukiangalia hotuba yake siku ya kutangaza nia utaona kuwa ana upeo mdogo sana na hana uelewa wa kutosha wa mambo. Ana chuki sana, mdomo sura na matendo yake viko mbalimbali, ana hasira sana, ni mtu wa kukurupuka sana bila kufanya utafiti, ni jeuri na ana kisasi sana. Utafiti umeonesha kuwa IQ ya lowasa ni below 30%. Uwezo wake ni kuongoza ng'ombe wala sio watu.
ANAAMINI PESA NI KILA KITU KWAMBA INAWEZA KUWANUNUA WATZ NA AKAWA RAIS WAO.
Nahisi lowasa hata bange anavuta.
Jambazi sugu na fisadi papa na mgonjwa lowasa kamwe hawezi kuwa rais.....
mkuu una hasira sana na hili fisadi alafu linaumwa we cheki linavyoweka mikono na mdomo utagundua anaumwa sana hawezi hata kupungia watu mikono.
 
Kweli nilipita mitaa ya Ghandhi hall Mwanza mijitu ya mavazi ya kijani yamelambishwa umatemate baada ya kumdhamini Fisadi,kweli wamevuna Leo hapo ndo imetoka tena since watachinja mapema.....UKAWA on the way to Magogoni

Wao wanakwambai WANAKULA kwa lowasa/ccm lakini KURA kwa UKAWA
 
mkuu una hasira sana na hili fisadi alafu linaumwa we cheki linavyoweka mikono na mdomo utagundua anaumwa sana hawezi hata kupungia watu mikono.

Tupa kule hilo jizi.....
 
Time maembe bwana ukiona roho inawauma sageni malimao munywe. All the best. Lowassa mpango wa Mungu.
 
Lowasa ni mpango wa Mungu,Mungu alimuumba lowasa kutokomboa watanzania

Wacha kukufuru wewe! Mpango wa mungu yupi? Ulimuuliza Mungu? Unamjaua Mungu. Mungu gani anaweza peleka majizi,maisadi navibaka ikulu type ya majoka ya makengeza and the like.
 
Lowasa,,,,ni mtu ambaye jamii inamkubali sana ni ukweli usiopingika..mimi hapa,,,ndugu zangu huyu jamaa tunamkubali....Edward anakubalika kila sehemu juz nilipita nikakuta wanajesh, wanasema anafaa,,,,wanamkubali,,watoto,,wazee,,vijana na wanachuo....kiukweli Lowasa ni Chaguo letu kutoka kwa Mungu.,mnaompinga Lowasa ni wale wanaoofia kupigwa chini nyadhifa mbalimbali


Teyar Anakula 32 kwetu tu.
 
Kiroba hicho kinakusumbua,mabwana zako wako bungeni? Viti vya moto sasa,cha moto zaidi ya serikali za mitaa,mtasema tena tumeshinda
Bunge limeisha kwani? Halafu mwisho wa mwezi tutamlipa mshahara wakati hajaufanyia kazi.
 
Ukawa mtakuwa ukiwa safari hii,mnapigwa zaidi ya serikali za mitaa. Kwa wale wasiojua maana ya ukiwa wafunguwe kamusi. Ukawa mtakuwa na ukiwa mkubwa baada ya election
 
Arusha wageni walilazwa impala na kibo palce, wavicoster walilala kwenye coster zao! huko mwanza mwalaza hotel gani?

Niko Mwanza nimekwenda Gold crest hotel imejaa, Lowasa amelipia floor mbili. Huyu ni mtu wa kuogopwa kama ukoma.
 
Back
Top Bottom