Lowassa atua Mwanza kusaka wadhamini, umati wampokea

Lowassa atua Mwanza kusaka wadhamini, umati wampokea

kama kawa kama dawa hoa unaowaona walishaandaliwa na kupewa chao
 
Mpoteza muda kuongea yasiyowezekana, mwanaume anachanja mbuga na tarehe 12/07/2015 wanafiki mtalala na drip ya maji.
 
Amekuja kuwashika!! Watu flan hapo mishuzi pwa pwa pwa!!
 
11412330_1027235573977559_4265  492753339254769_n.jpg
11393010_1027235593977557_3708  828342978542825_n.jpg

Ukitaka kumpima Lowassa na siasa zake mpeleke Tunduma kama alivyofanya Magufuli:

 
Last edited by a moderator:
Wadumavu wa akili hufanya mambo pasipo kuyapima hata akija Nan ndan ya ccm hawezi kufiti system mbovu.rushwa.ufisadi.inanuka...katu sitakuwa Kati ya hair wapuuzi.......
 
Ukizingatia historia yake kiuongozi, elimu yake na matokeo ya madarasani, hoja zake, sauti yake, upangaji wa mada, maana za hotuba anazotoa, na hasa ukiangalia hotuba yake siku ya kutangaza nia utaona kuwa ana upeo mdogo sana na hana uelewa wa kutosha wa mambo.

Ana chuki sana, mdomo sura na matendo yake viko mbalimbali, ana hasira sana, ni mtu wa kukurupuka sana bila kufanya utafiti, ni jeuri na ana kisasi sana. Utafiti umeonesha kuwa IQ ya lowasa ni below 30%. Uwezo wake ni kuongoza ng'ombe wala sio watu.

ANAAMINI PESA NI KILA KITU KWAMBA INAWEZA KUWANUNUA WATZ NA AKAWA RAIS WAO.
Nahisi lowasa hata bange anavuta.
Jambazi sugu na fisadi papa na mgonjwa lowasa kamwe hawezi kuwa rais.....
 
Watanzania wenzangu huyo mamvi akipita nendeleeni kuweka gape kati ya maskini na matajiri. 'Fikirieni kwa idea kanunuliwa' sasa usidhani wewe maskini utakuwa na chako hapo.vipesa laki unajiuza. Chagua anae jua uzalendo na umaskini.

kashapita nahis mwaka huu utajiuwa kaz unayo
 
Huyu naona ana lengo la kuandkwa kwenye vitabu vya historia kuwa na na yeye alishriki kuomba ridhaa.
 
Back
Top Bottom