Huyu Lyong'o ni muongo hafai. Lowassa ni muhakikishieni tu kuwa ngome yake kuu ipo Mwanza. Na haiwezi kutokea Lowassa akazomewa kijingajinga kama alivyo mleta mada.lowassa ngome yake kama ipo mwanza ni nyumbani kwenu tu ndiyo unaongelea. ninachoshangaa ni kwanini watu msijibizane kwa hekima ili mwisho wa siku wote mtoke na kitu. Tuambie ni kipi kuhusu lowassa kitatuletea watanzania mabadiliko? niliona maswali mazuri ambayo nilitamani nipate supporter wa lowassa kunipangulia. maswali kuhusu yeye kununua watu ili aonekane anakubalika, maswali kuhusu yeye na uchu wa madaraka kiasi cha kutumia mabilioni kununua makundi ya watu aonekane anakubalika, maswali juu ya uwekezaji wa masela wake kwenye mbio zake za uraisi kama a sure business vile(yaani hakutokua na hasara, marejesho yatakua worth it)maswali juu ya utajiri wake alioupata akiwa serikalini. na swali la mwisho, kwako, amekupa nini mpaka uje utupotoshe wengine wenye uchungu na nchi yetu? sasa mimi naona ni bora aliyeolewa kuliko kimada wa mwizi, kwasababu hata vimada wenyewe wana matabaka, kuna vimada wa maraisi wazalendo, vimada wa ma gentlemen, halafu mstari unachorwa na chini yake ndiyo unakutana na vimada wa wezi na matapeli. Tupe sababu nzuri WHY LOWASSA tena at the magnitude you are emphasyzing his righteousness,Otherwise you will be what i hope you are not