kivyako
JF-Expert Member
- Feb 2, 2012
- 14,342
- 12,067
Lowasa amekodi floor mbili za hotel nimekosa room pale jana.
Hilo nalo ni la kulalamika? nenda hotel nyingine au guest house! mbona ziko kibao hapo
Lowasa amekodi floor mbili za hotel nimekosa room pale jana.
Ukizingatia historia yake kiuongozi, elimu yake na matokeo ya madarasani, hoja zake, sauti yake, upangaji wa mada, maana za hotuba anazotoa, na hasa ukiangalia hotuba yake siku ya kutangaza nia utaona kuwa ana upeo mdogo sana na hana uelewa wa kutosha wa mambo. Ana chuki sana, mdomo sura na matendo yake viko mbalimbali, ana hasira sana, ni mtu wa kukurupuka sana bila kufanya utafiti, ni jeuri na ana kisasi sana. Utafiti umeonesha kuwa IQ ya lowasa ni below 30%. Uwezo wake ni kuongoza ng'ombe wala sio watu.
ANAAMINI PESA NI KILA KITU KWAMBA INAWEZA KUWANUNUA WATZ NA AKAWA RAIS WAO.
Nahisi lowasa hata bange anavuta.
Jambazi sugu na fisadi papa na mgonjwa lowasa kamwe hawezi kuwa rais.....
Lowasa ni mpango wa Mungu,Mungu alimuumba lowasa kutokomboa watanzania
Kada wa CCM ambaye ametangaza nia kuwania urais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania kwa tiketi ya chama hicho Edward Lowassa ametoa tena kali ya kujivunia baada ya kuwaambia wakazi wa mji wa Mwanza kuwa anapendwa na watanzania hadi anadeka.
Hiyo ni kali aliyoitoa inayofuatia kali nyingine alizowahi kutoa kama ile ya 'huwezi kuzuia mafuriko kwa mikono' na ile aliyoitoa mjini Dodoma wakati akichukua fomu ya kuwania urais kuwa eti hayupo kwenye kinyang'anyiro kwa ajili ya kushindwa na wala hategemei hilo kumtokea yeye.
Tumia akili, wewe sasa hivi uko kwenye JF huyo MEMBE anakulipa mshahara kwa kazi gani
mmezidi bhana kwenye upuuzi. mara muue albino mara kila mikusanyiko hata ya hovyo hamkosekani! kam wapumbavu vile!pumbavu na akili zako kama abunuasi
What kind of person are you? You have to think twice before you speak any thing to somebody that you don't know. I'm not a friend of Lowassa nor supporter of him. I'm a supporter of real change in our country and I believe the real change can be brought through UKAWA under the leadership of Peter Wilbroad Slaa. Tafadhali niombe radhi kwa maandishi na hautorejea tena kosa lako.Ni kweli. Wale wanaofikiri kwa kutumia matumbo hawawezi kufikiri sawasawa! Wanatanguliza matumbo yao mbele badala ya kutanguliza masilahi ya nchi yetu. Shame on you! Inakuwaje mnajitoa ufahamu kiasi hicho na kuanza kutukuza na kushabikia majizi? Kujua Lowasa ni mtu wa namna gani,angalia wanaomzunguka! Chenge,Kapuya,Nazir Karamagi,mama wa milioni 10 za mboga,nk! Think! Think again! Come to your senses.
we kilaza kweli
Unapoongelea uwezo wa mtu hatuangalii akili za darasani, au matokeo ya chuo kikuu.
uwezo wa mtu unapimwa kwa matendo na mafanikio aliyoyapata angali akiwa duniani.
Ni mtu mwenye IQ ndogo tu kama yako ndiye anayeweza kutamka hadharani kuwa WAZIRI MKUU mstaafu wa Jamuhuri ya Muungano ya Tanzania kuwa ana uwezo mdogo...