Lowassa atikisa Buguruni katika ofisi za CUF

Lowassa atikisa Buguruni katika ofisi za CUF

Babaaaaaa Fantaaaaaa
attachment.php
 
na silaa! Naye alikua chaguo la shetani! Kipindi mnampa promo!! Acha mungu kufananisha na Mbowe! Huyo ni chaguo la Mbowe na Mtei!!

Natamani Mno Kuwa Na Watu Wenye AKILI Na UFAHAMU Uliotukuka Kama Wewe ILA Kwa Bahati Mbaya Sana Humu Tupo Wachache Mno Na Tunaweza Hata Tukajihesabu. Sisi TUNAONA Wenzetu WAMEPOFUSHWA Na Hii Inaonyesha Ni Jinsi Gani Kizazi Hiki Cha VIJANA MAPOPOMA Wenye MUAMKO Na MIHEMUKO Ya KIPINZANI Walivyo Na MATATIZO Na Bomu La Future Ya Baadae Kwa Watanzania. Mkuu Ulichokiandika Hapa UMEMALIZA KILA KITU Na Tuliobarikiwa Tumekuelewa KULIKOTUKUKA.
 
Inategemea Huyo Mungu Ni Mungu Gani Mkuu Kwani India Mungu Wao Ni Ng'ombe Na Sisi Wazanaki Mungu Wetu Ni Yule Sokwe Aitwae MUHUNDA Na Kuna Wengine Mungu Wao Ni Simba Huku Wengine Mungu Wao Ukiwa Ni Mti Mkubwa Bila Kusahau Wengine Mungu Wao Ni Paka Na Wengine Ni Sanamu Na Joka Kubwa. Tunaomba Kujua Huyo Mungu Ambaye Chaguo Lake Ni Lowassa Ni Mwenyezi Mungu Huyu Huyu Asiyependa RUSHWA, CHUKI, VISASI, MAUAJI ( Namaanisha Kuwapa SUMU Akina Mwakyembe Na Mwandosya Ili Wafe Lakini Hawajafa Na Leo Bado Tunadunda Nao Mitaani ), TAMAA, USHIRIKINA ( Namaanisha Kuagiza Waganga Kutoka Nigeria, Senegal Na Mali Ambao Sasa Wamepangishwa Hotelini Sinza Na Wengine Bahari Beach Wakiendelea Kufanya Kafara Zao ) Na UMAFIA?

Weka picha.
 
Katika MIJAZANO Kama Hiyo HUWEZI Kuwakuta INTELLECTUALS Mkuu Na Hata Humu Humu Tulipo Ni Rahisi Mno Kumjua POPOMA au Siyo POPOMA. Kama Mwenyekiti Wao TAIFA Ni POPOMA ALIYETUKUKA Unashangaa Nini Sasa Mkuu Kuona Hilo NYOMI La Vibaka Na Wakabaji Hapo Buguruni? Na Kuna Mmoja Hapo Namuona Huyo Nyuma Ya Mwenye T- Shirt Nyekundu Ya Simba Mpaka Leo Namdai Na Nina RB Yake Alishawahi Kuniibia Wallet Yangu Mwezi Sasa Umepita. Huo Ni Uthibitisho Tosha Mkuu Na Ngoja Niendelee Kuwatambua Katika Hii Hii Picha Kwani Wapo Wengi Sana Hapo Nawajua.

I can sense uneasiness among CCM followers. Get used to it because Lowassa is here to stay.
 
Kesho sidhani kama huko mjini kutapitika.
Kwenda kuchukua form kwa lowasa kutafanya huko mjini kusipitike.

Na Sasa Nimewaacha Wale Jamaa Zetu WANACHANGANYA MAJI YA KUWASHA Na VITOFA VYA MACHOZI.
 
Naona kama UKAWA imezidi kuwa moja hasa baada ya Lipumba kuondoka.
 
Kuna kila dariri za wale jamaa wa kijani kuhara damu musimu huu....
 
inategemea huyo mungu ni mungu gani mkuu kwani india mungu wao ni ng'ombe na sisi wazanaki mungu wetu ni yule sokwe aitwae muhunda na kuna wengine mungu wao ni simba huku wengine mungu wao ukiwa ni mti mkubwa bila kusahau wengine mungu wao ni paka na wengine ni sanamu na joka kubwa. Tunaomba kujua huyo mungu ambaye chaguo lake ni lowassa ni mwenyezi mungu huyu huyu asiyependa rushwa, chuki, visasi, mauaji ( namaanisha kuwapa sumu akina mwakyembe na mwandosya ili wafe lakini hawajafa na leo bado tunadunda nao mitaani ), tamaa, ushirikina ( namaanisha kuagiza waganga kutoka nigeria, senegal na mali ambao sasa wamepangishwa hotelini sinza na wengine bahari beach wakiendelea kufanya kafara zao ) na umafia?

mkuu tuache utani mwenzio kada toka jadi ninaye ona giza mbeleni si kwa hila ama haki tumepoteana...
 
Siwezi kubishana na Rais ajaye.. ndio basi tena haikuwa na jinsi naona ccm hawajui ujasiriamali wapeni pole yao.
 
natamani mno kuwa na watu wenye akili na ufahamu uliotukuka kama wewe ila kwa bahati mbaya sana humu tupo wachache mno na tunaweza hata tukajihesabu. Sisi tunaona wenzetu wamepofushwa na hii inaonyesha ni jinsi gani kizazi hiki cha vijana mapopoma wenye muamko na mihemuko ya kipinzani walivyo na matatizo na bomu la future ya baadae kwa watanzania. Mkuu ulichokiandika hapa umemaliza kila kitu na tuliobarikiwa tumekuelewa kulikotukuka.

kwa hilo nakuunga mkono japo ...
 
mkuu tuache utani mwenzio kada toka jadi ninaye ona giza mbeleni si kwa hila ama haki tumepoteana...

Tukutane Uwanja Wa UHURU Tarehe 2 November 2015 Kwenda Kuona Jinsi Rais Mpya Wa Awamu Ya Tano ( 5 ) Dr. John Pombe Magufuli AKIAPISHWA. au Unataka Nikutajie Na Hapa Hapa Baraza Lako La Mawaziri Mkuu? Kama Unawasiwasi Na Wewe TAFADHALI Muda Bado Upo Na Upesi Sana Hamia CHADEMA Na UKAWA Usituchoshe Wana CCM Ambao Sasa Tunafanya Mazoezi Ya KUSHANGILIA Pale Uwanja Wa UHURU Na Ya Kuwazomea MAPOPOMA CHADEMA Na UKAWA.
 
Back
Top Bottom