Mwaka huu haki yq nani tena wallah!
Lowasa sijui ccm wataibaje hizi kura maana naona kila kona ya nchi wanachama wanazidi kuikimbia ccm,kwa jana pekee wamepoteza zaidi ya wanachama 3000 kuanzia tabora,engaruka, hadi korogwe,hii hali is alarming they have to do something very quickly
Narudia tena kuwaambia, Lowassa ni chaguo la Mungu..... Haya yote ni makusudi ya Mungu
Atakuwaje chaguo la wapiga kura kama sio chaguo la Mungu?..... Sauti ya watu ni sauti ya Mungu, na kwa sasa Lowassa ndio chaguo la watu
Mbona unalialia lia kwani wewe umejipangaje?
Tulia dawa iwaingie vizuri.
That something is to console themselves that they have a pictorial human resource. Goli a mkononi akikuona refer ni penalty ya kukuua kabisa. Mboa Nap hasikiki tea kunyesha mate? Na yul mwenye kutoa makapi kimyaaaaa!!!! Somaa labda ndio anaonbea.Kuna wakati niliuliza mbna Lipumba ameka kinyarwanda vile? Sasa nimepata jibu kumbe kaenda kwao.
Nikiona hivi jinsi ambavyo watanzania wanahitaji mabadiliko nafarijika sana
Kesho sidhani kama huko mjini kutapitika.
Kwenda kuchukua form kwa lowasa kutafanya huko mjini kusipitike.
ni balaa ,kesho police watakua na fitna
na silaa! Naye alikua chaguo la shetani! Kipindi mnampa promo!! Acha mungu kufananisha na Mbowe! Huyo ni chaguo la Mbowe na Mtei!!
lakini haindoi ukweli kuwa huyu ni.mgombea wa cdm