Lowassa atikisa Buguruni katika ofisi za CUF

Narudia tena kuwaambia, Lowassa ni chaguo la Mungu..... Haya yote ni makusudi ya Mungu

Tubakie kwenye agenda ya UKAWA/CHADEMA kupata bingo. Mwenyezi Mungu na EL!!!!??? Tusije tukatibua wanao tuunga mkono kwa mtazamo tofauti na sisi.
 
Nimeangalia hizo picha, nikaona watanzania. Sijawaona wanaCUF, wala sijaona wanaCHADEMA. Sijawaona NCCR wala NLD bali nimewaona Watanzania. Sijaona rangi za chama fulani cha siasa, isipokuwa nimeona Watanzania. Octoba 25, ni jumapili ambayo Watanzania watakwenda kuongea.
 
Usibabaike na uwingi wa washangiliaji.humo wapo watakaimpigia kidokozi,Jembe,vyama vingine na mahuruhani.
 
Kama halimni hii basi kesho kutakuwa na tatizo kubwa sana mjini..
 
Tubakie kwenye agenda ya UKAWA/CHADEMA kupata bingo. Mwenyezi Mungu na EL!!!!??? Tusije tukatibua wanao tuunga mkono kwa mtazamo tofauti na sisi.

Naichukia ccm na kazi zake zote na mambo yake yote.
 
Narudia tena kuwaambia, Lowassa ni chaguo la Mungu..... Haya yote ni makusudi ya Mungu

Tubakie kwenye agenda ya UKAWA/CHADEMA kupata bingo. Mwenyezi Mungu na EL!!!!??? Tusije tukatibua wanao tuunga mkono kwa mtazamo tofauti na sisi.
 
Narudia tena kuwaambia, Lowassa ni chaguo la Mungu..... Haya yote ni makusudi ya Mungu

Inategemea Huyo Mungu Ni Mungu Gani Mkuu Kwani India Mungu Wao Ni Ng'ombe Na Sisi Wazanaki Mungu Wetu Ni Yule Sokwe Aitwae MUHUNDA Na Kuna Wengine Mungu Wao Ni Simba Huku Wengine Mungu Wao Ukiwa Ni Mti Mkubwa Bila Kusahau Wengine Mungu Wao Ni Paka Na Wengine Ni Sanamu Na Joka Kubwa. Tunaomba Kujua Huyo Mungu Ambaye Chaguo Lake Ni Lowassa Ni Mwenyezi Mungu Huyu Huyu Asiyependa RUSHWA, CHUKI, VISASI, MAUAJI ( Namaanisha Kuwapa SUMU Akina Mwakyembe Na Mwandosya Ili Wafe Lakini Hawajafa Na Leo Bado Tunadunda Nao Mitaani ), TAMAA, USHIRIKINA ( Namaanisha Kuagiza Waganga Kutoka Nigeria, Senegal Na Mali Ambao Sasa Wamepangishwa Hotelini Sinza Na Wengine Bahari Beach Wakiendelea Kufanya Kafara Zao ) Na UMAFIA?
 
Huyu badala ya kujipanga anacheza cheza michiriku huko Lindi

ImageUploadedByJamiiForums1439122843.649914.jpg
 
Inategemea Huyo Mungu Ni Mungu Gani Mkuu Kwani India Mungu Wao Ni Ng'ombe Na Sisi Wazanaki Mungu Wetu Ni Yule Sokwe Aitwae MUHUNDA Na Kuna Wengine Mungu Wao Ni Simba Huku Wengine Mungu Wao Ukiwa Ni Mti Mkubwa Bila Kusahau Wengine Mungu Wao Ni Paka Na Wengine Ni Sanamu Na Joka Kubwa. Tunaomba Kujua Huyo Mungu Ambaye Chaguo Lake Ni Lowassa Ni Mwenyezi Mungu Huyu Huyu Asiyependa RUSHWA, CHUKI, VISASI, MAUAJI ( Namaanisha Kuwapa SUMU Akina Mwakyembe Na Mwandosya Ili Wafe Lakini Hawajafa Na Leo Bado Tunadunda Nao Mitaani ), TAMAA, USHIRIKINA ( Namaanisha Kuagiza Waganga Kutoka Nigeria, Senegal Na Mali Ambao Sasa Wamepangishwa Hotelini Sinza Na Wengine Bahari Beach Wakiendelea Kufanya Kafara Zao ) Na UMAFIA?

Je yawezekana ya kukodi waganga?
 
Back
Top Bottom