Lowassa atikisa Buguruni katika ofisi za CUF

Lowassa atikisa Buguruni katika ofisi za CUF

Lawama zote ziwaendee spika Anne Makinda na Sitta kwa kuwagandamiza wabunge wa wapinzani na hatimaye kupata akili ya kuunda UKAWA. Kama kuna wakati mugumu kwa CCM ni hii miezi iliyosalia kufikia uchaguzi wa October badala ya kuongeza wanachama wanapungua kwa kasi ya ajabu.
 
Wacha maccm watangetange kwa kumchafua,maana wanaelewa nini kinaenda kuwapata

sio kumchafua,,, ni kumtandka mteke chura, watu wanadhania ccm wanajutia ,,,mi sidhan, wangejuta kama angekuwa ccm. ndoto na mikakat ya maswahba isingetimia ndan ya ccm. tunapoteza mda kunangana wakati watu walishasoma nyakat na kick ilikuwa hyo tu ili ndoto ya mtu itimie,
 
Lowasa sijui ccm wataibaje hizi kura maana naona kila kona ya nchi wanachama wanazidi kuikimbia ccm,kwa jana pekee wamepoteza zaidi ya wanachama 3000 kuanzia tabora,engaruka, hadi korogwe,hii hali is alarming they have to do something very quickly

Usiwaambie wewe nyamaza tu na shemu wangu nyumbani,nilivyowachoka CCM hata kama Magufuri angekuwa mjomba wangu asingepata kura yangu.
 
Haya mazingaombwe kwa tuliokuwa tunamfuatilia mamvi kabla hajakatwa pale dodoma tunajuwa mwisho wake. Lazima ATAKATWA tu Mungu anawapenda watanzania na nchi yao hawezi kuruhusu majambazi yaingie ikulu.

Mbona fastjet anadunda miaka yote hii...?
 
Sasa ni wazi nguvu ya Lowassa inazidi kuonekana hasa baada ya leo kutinga katika ofisi za CUF....

Kama hali ndio kama hivi, je kesho itakuwaje atakapoenda kuchukua fomu katika ofisi za NEC. Ambapo msafara utaanzia katika ofisi hizo za CUF saa tatu kamili asubuhi....

More pictures zinakuja.
attachment.php





Tumeshamzoe na maigizo yake huyo wakati wa kutafuta wadhamini ndani ya ccm ilikuwa kama hivi lakini alipokatwa hatukuona hayo mafuriko hata sasa hivi itakuwa hivyo tu. Time will tell!!
 
Last edited by a moderator:
Mbele ya wasomi maccm waliipindisha rasimu ya katiba sembuse kuiba kura sa mamilioni hiyo mbona rahisi sana?
 
na silaa! Naye alikua chaguo la shetani! Kipindi mnampa promo!! Acha mungu kufananisha na Mbowe! Huyo ni chaguo la Mbowe na Mtei!!

Mungu ukimuudhi analeta mtu mwingine hata Mussa alipomuudhi alimuambia si wewe utakewavusha watu wangu akafa akapotea kama Slaa na Lipumba akamchagua Yoshua (Lowassa) atuvushe 2015
 
CUF itaanza kupanuka Tanganyika nako baada ya Lipumba kujaribiwa na kuangukia mtegoni kwa ccm. Slaa ni kiboko yao, hategesheki kirahisi maana anawajua sana TISS ya ccm

Kwani mtaivunja TISS ya sasa na kuunda nyingine mkishika madaraka?
 
acha kufru hizo "haki ya nani tena wallah"ndo nn? kiapo Kwa muislam ni kusema wallah sio haki ya nani nadhani umenipata mkuu

Tulia mlituuzia bange sasa tulia tuvute alaf tuwanyooshe mtanyooka tuu
 
Nasikia furaha sana kuona mambo yako hivi.Leo Kikwete alikua na hasira sana huko Mtwara maana alivyokua anaongea...mhhhh!
Na wale watu wachache waliojitokeza naona kaumia sana.
Na mimi ndio nafurahi hivyo; haya ndio malipo ya fitna zake.

Nifah. Nilikuambia kuanzia tarehe kumi mambo yatanoga,umeona eeee. VOTE FOR CHADEMA/UKAWA
 
Tumeshamzoe na maigizo yake huyo wakati wa kutafuta wadhamini ndani ya ccm ilikuwa kama hivi lakini alipokatwa hatukuona hayo mafuriko hata sasa hivi itakuwa hivyo tu. Time will tell!!

Nakwambiaje mamiiii tukutane october.
 
Lowasa sijui ccm wataibaje hizi kura maana naona kila kona ya nchi wanachama wanazidi kuikimbia ccm,kwa jana pekee wamepoteza zaidi ya wanachama 3000 kuanzia tabora,engaruka, hadi korogwe,hii hali is alarming they have to do something very quickly

.
Kitu chenyewe sisiem wanachoweza kufanya il kusalimika ni kumsihi Magufuli atamke wazi kwamba anamuunga mkono Lowasa!
.
 
Nakaa najiuliza hivi kweli ndugu lowasa atasimamia misingi ya ukawa??? Je atasimamia Sera za chadema?
Upinzani unahitaji mabadiliko mengi mojawapo ni hili LA serikali tatu....
He muumini wa serikali mbili atasimamia hili au ataachia wananchi waamue??

WaTz wataamua hakuna tena sababu ya kuwahofu wananchi.
 
Alichofanya lipumba ni kama kakizindua cuf maana wanachama wake wameamka baada ya kuondoka ukawa nga'ng'ari lowasa ng'ang'ari

Mbona unalialia dogo!? Kwani nyinyi mmejipangaje? Muziki Wa magufuli unaujua au unabwabwaja tu? Ccm umeisahau ilivyo hodari kwa kuabda mikutano ya kisiasa inayofurika?
 
Back
Top Bottom