Haya mazingaombwe kwa tuliokuwa tunamfuatilia mamvi kabla hajakatwa pale dodoma tunajuwa mwisho wake. Lazima ATAKATWA tu Mungu anawapenda watanzania na nchi yao hawezi kuruhusu majambazi yaingie ikulu.
Kwa wivu na hasira mlionayo kwa El hatutashangaa mkizidi kumzongazonga na kumuwekea mizengwe. Haki ya mtu haipotei bure.