Lowassa atikisa Buguruni katika ofisi za CUF

Lowassa atikisa Buguruni katika ofisi za CUF

uploadfromtaptalk1439128778683.jpg
 
Umemaliza Kila Kitu Mkuu Na Kama Wanadhani Wapiga Kura Wa Dar Haswa KINONDONI BIAFRA, KAWE, MBEZI BEACH, TANDIKA MWEMBE YANGA, TEGETA, MANZESE, TANDALE Na BUGURUNI Ndiyo Wanatupatia Rais Wasubiri Waone Mziki Wetu Wana CCM. Hakuna Kitu Kizuri Duniani Kama KUMUONA MTU MPUMBAVU AKIHANGAIKA KUTAKA KUSHINDANA NA WEWE MWEREVU ULIYETUKUKA.
Ambacho haukijui Dar siku zote ina wapigakura wengi wa ccm na si wapinzani. Wapinzani bado wana karata nzuri mikoani kuliko hata Dar. Wanatakiwa wajipange tu.
 
Ratiba ya Kampeni za Ukawa:

KIKOSI CHA CDM 2015:

*Chopa 10
*Mabasi 30
*Magari madogomadogo 500
*Bodaboda 6500
*Baskeli 3000

*ESTER BULAYA
*LEMBELI
*JOHN HECHE
Watafanya kampeni mwanza musoma na tabora.

*TUNDU LISU
*MAKAIDI
watafanya kampeni singida na Dodoma

*SUGU
*PROF J,
*ADAM ZELLA
*MSIGWA
Watafanya kampeni mbeya, Iringa morogoro na ruvuma

*LEMA
*JOSHUA NASSARI
Watafanya kampeni mikoa ya arusha Kilimanjaro na manyara,Lindi ,mtwara na pwani.

*KAFULILA
*MBATIA
*RWAKATARE
*KUBENEA
*MARANDO
*MTATIRO
Watafanya kampeni D,salaam na Zanzibar.

*SALUM MWALIMU
*MAALIM SEIF
*PLUS TEAM CUF
*JUMA DUNI
*MNYIKA MBOWE
Hawa watazunguka nchi nzima bila kujali kanda.

*TEAM LOWASSA
Hawa watatembea nyumba kwa nyumba
*M4C
Hawa watatembea Kata kwa Kata.

*FRIENDS of LOWASSA Hawa watatapakaa nchi nzima kuleta ushawishi plus CDMA intelligencia watatapakaa nchi nzima kubain wizi, njama na mipango mibaya ya ccm.

Katika Watu Wako Wote Hao 22 Kwa Rekodi Ambazo Ninazo 20 Wapo Katika Payroll Ya CCM Na 17 Wapo Idarani Na Wanawajibika Katika Kuleta Taarifa Zenu. au Unataka Nikutajie ILI Mjione Mlivyo MAPOPOMA Na WATUPU Kwa CCM? Na Kwa Taarifa Yako Tu Matola Hivi Ninavyokuandikia Hii Post Kuna Watu 7 Katika Hiyo List Of Shame Yako Ya CHADEMA Na UKAWA Hiyo Uliyotutajia Hapo Wamenipigia Simu Kuwa NICHUNE Na NISIWAUMBUE Na Bahati Mbaya Sana Hii ID Yangu Hawaijui Na Nawachenga Na Nacheza Mno Na AKILI Zao. Ukiniruhusu NIWATAJE NITAKUTAJIA Kisha Huko CHADEMA / UKAWA Kwenu KINUKE.
 
Last edited by a moderator:
Umemaliza Kila Kitu Mkuu Na Kama Wanadhani Wapiga Kura Wa Dar Haswa KINONDONI BIAFRA, KAWE, MBEZI BEACH, TANDIKA MWEMBE YANGA, TEGETA, MANZESE, TANDALE Na BUGURUNI Ndiyo Wanatupatia Rais Wasubiri Waone Mziki Wetu Wana CCM. Hakuna Kitu Kizuri Duniani Kama KUMUONA MTU MPUMBAVU AKIHANGAIKA KUTAKA KUSHINDANA NA WEWE MWEREVU ULIYETUKUKA.

Pamoja sana mkuu. Binafsi sina hata haja ya kuangalia campaign za hawa jamaa. Ushindi ni obvious kabisa
 
Ratiba ya Kampeni za Ukawa:

KIKOSI CHA CDM 2015:

*Chopa 10
*Mabasi 30
*Magari madogomadogo 500
*Bodaboda 6500
*Baskeli 3000

*ESTER BULAYA
*LEMBELI
*JOHN HECHE
Watafanya kampeni mwanza musoma na tabora.

*TUNDU LISU
*MAKAIDI
watafanya kampeni singida na Dodoma

*SUGU
*PROF J,
*ADAM ZELLA
*MSIGWA
Watafanya kampeni mbeya, Iringa morogoro na ruvuma

*LEMA
*JOSHUA NASSARI
Watafanya kampeni mikoa ya arusha Kilimanjaro na manyara,Lindi ,mtwara na pwani.

*KAFULILA
*MBATIA
*RWAKATARE
*KUBENEA
*MARANDO
*MTATIRO
Watafanya kampeni D,salaam na Zanzibar.

*SALUM MWALIMU
*MAALIM SEIF
*PLUS TEAM CUF
*JUMA DUNI
*MNYIKA MBOWE
Hawa watazunguka nchi nzima bila kujali kanda.

*TEAM LOWASSA
Hawa watatembea nyumba kwa nyumba
*M4C
Hawa watatembea Kata kwa Kata.

*FRIENDS of LOWASSA Hawa watatapakaa nchi nzima kuleta ushawishi plus CDMA intelligencia watatapakaa nchi nzima kubain wizi, njama na mipango mibaya ya ccm.

Mkuu subiri kikozi kazi cha campaign za CCM kikiongozwa na fundi January Makamba. Nadhani unanisoma vizuri. Hakuna jiwe litaachwa halijageuzwa. UKAWA ya Lowassa inategemea nguvu ya fedha bila maarifa. CCM ina fedha plus vichwa.
 
Tarehe 25 oktoba mtarejea katika mbuga zenu enyi "nyumbu" wa chadema. Jukwaa litabaki na "great thinkers" tu.
 
katika watu wako wote hao 22 kwa rekodi ambazo ninazo 20 wapo katika payroll ya ccm na 17 wapo idarani na wanawajibika katika kuleta taarifa zenu. Au unataka nikutajie ili mjione mlivyo mapopoma na watupu kwa ccm? Na kwa taarifa yako tu matola hivi ninavyokuandikia hii post kuna watu 7 katika hiyo list of shame yako ya chadema na ukawa hiyo uliyotutajia hapo wamenipigia simu kuwa nichune na nisiwaumbue na bahati mbaya sana hii id yangu hawaijui na nawachenga na nacheza mno na akili zao. Ukiniruhusu niwataje nitakutajia kisha huko chadema / ukawa kwenu kinuke.

khahahahaaa ....hakika unafik ni dhamvu mbaya...
 
Last edited by a moderator:
asante wana cuf na umma kwa ujumla kwenda kumshuhudia huyo ibilisi ndani ya chama chetu, ila ninauhakika hamtafanya makosa siku ya uchaguzi. umma wetu twamjua hasa nani ni adui yetu, kwa mbowe na huyu lowasa ndo tutamuimalisha adui yetu.
hawa wakaskazini hawapo ikulu lakini watutesa hivi kwenye ajira nono na biashara, hakika wakienda ikulu wanaweza wakatuhamisha nchi. tuwaache wajipigie kura wenyewe
 
Mkuu subiri kikozi kazi cha campaign za CCM kikiongozwa na fundi January Makamba. Nadhani unanisoma vizuri. Hakuna jiwe litaachwa halijageuzwa. UKAWA ya Lowassa inategemea nguvu ya fedha bila maarifa. CCM ina fedha plus vichwa.

Hata Al Sahaf wakati Baghdad imeshatekwa bado alionekana akiongea kwa mbwembwe nyingi kwenye tv. Nakuombea uhai ushuhudie ccm tunavyoitupa kwenye jumba la Makumbusho october.
 
Yegoo tulia ww acha kutokwa povu. Subiri uone wateule wanavyokula kichwa(CCM) October ndo utaamini kuwa EL n chaguo la Mungu
 
Back
Top Bottom