Pipooz, hakii
Power , kwa wote
Pipooz, hakii
I wish ningekuwa dar nami nimsindikize rais wangu. Ninafuraha ya ajabu kuwa mwaka huu kura yangu italeta jibu, nami nitakuwa na hadithi ya kuwahadithia wajukuu zangu jinsi nilivyotumia haki yangu ya kura kuangusha utawala dhalimu wa ccm.
na silaa! Naye alikua chaguo la shetani! Kipindi mnampa promo!! Acha mungu kufananisha na Mbowe! Huyo ni chaguo la Mbowe na Mtei!!
ndio maana walimkata samwel 6 maana ndiye aliye uleta uhu ugonjwa unaoitwa UKAWA unao itesa ccm na kupelekea kufa kabisa,
Haya mazingaombwe kwa tuliokuwa tunamfuatilia mamvi kabla hajakatwa pale dodoma tunajuwa mwisho wake. Lazima ATAKATWA tu Mungu anawapenda watanzania na nchi yao hawezi kuruhusu majambazi yaingie ikulu.
Lowasa sijui ccm wataibaje hizi kura maana naona kila kona ya nchi wanachama wanazidi kuikimbia ccm,kwa jana pekee wamepoteza zaidi ya wanachama 3000 kuanzia tabora,engaruka, hadi korogwe,hii hali is alarming they have to do something very quickly
Mkuu hasiye taka kujubali ukweli huo basi ni shetani tu
na silaa! Naye alikua chaguo la shetani! Kipindi mnampa promo!! Acha mungu kufananisha na Mbowe! Huyo ni chaguo la Mbowe na Mtei!!
chama hakifi ovyo wewe...!hahahahahahahaaa wacha ife tumechoka kuiona ccm inayolinda maovu. Arusha mwenyekiti wa ccm mkoa amejiuzulu na katibu mtendaji wake
ccm ni mashetani
Acha porojo Mungu hapendi wezi.
CCM wanatamani nao chama chao kijiunge na UKAWA kwa namna mziki ulivyo!!
Watawezaaaa?