Lowassa atikisa Buguruni katika ofisi za CUF

Lowassa atikisa Buguruni katika ofisi za CUF

Hii ni ile inaitwa Ukiwea Jiwe na CCM watu wanachagua JIWE
 
Hakika ukipendwa kila kitu kinaenda sawa,magamba walipo watapasuka
 
Kwa analysis yangu ndogo, mimi naona mambo matatu yamepaisha visibility ya upinzani nchini:
(1) Serikali kuendelea kuwa defensive pale wapoinzani wanapoibua vitu vinavyowakera wananchi ikiwemo ufisadi na dhulumati au maendeleo duni. Katika hali hii wananchi wanaona kuwa serikali haiwajali na inakumbatia ufisadi na dhulumati au maendeleoi duni.
(2) Mheshimiwa Spika Makinda kutoka CCM kuendesha bunge la Muungano kama idara ya CCM au ya serikali na kuwa anaegemea serikalini badala ya kuliongoza bunge likiwa ni nguzo ya kutunga sheria na kuishauri serikali.
(3) Mheshimiwa samuel Sita kuendesha bunge la Katiba kibabe na kutetea msimamo wa CCM na hivyo kuwafanya wapinzani kuungana na kuzaa UKAWA ambayo sasa inaisumbua serikali pamoja na CCM.

Tunajifunza nini: Mwanzo wa kidonda ni kipele au hata mbuyu ulianza mdogo kama mchicha!!
 
mh ila ki ukweli CCM hali yetu sio nzuri...!!
but naendelea kumpa nafasi magufuli za kupita...!!!

Mkuu kwa speed ilivyo ya ukawa na ukichukulia maani jinsi wananchi walivyo na mwamko wa kisiasa,isahau ccm kushinda
 
ni kweli mkuu Lipumba anapaswa kushukuriwa ameleta muamko mkubwa sana UKAWA baada ya kuondoka. Popote pale ulipo napenda kukushukuru kwa niaba ya wana UKAWA, usingeweza mwendo wetu.

Kweli asingeweza mwendo huu
 
kilichonifurahisha ni kitendo cha kuubadilisha uchaguzi huu kuwa movement for change .
 
Lowasa hata akifanyia mkutano chumbani watu watajaa tu,hata kama akijifichaje mafuriko yatamfata tu
 
Kwa analysis yangu ndogo, mimi naona mambo matatu yamepaisha visibility ya upinzani nchini:
(1) Serikali kuendelea kuwa defensive pale wapoinzani wanapoibua vitu vinavyowakera wananchi ikiwemo ufisadi na dhulumati au maendeleo duni. Katika hali hii wananchi wanaona kuwa serikali haiwajali na inakumbatia ufisadi na dhulumati au maendeleoi duni.
(2) Mheshimiwa Spika Makinda kutoka CCM kuendesha bunge la Muungano kama idara ya CCM au ya serikali na kuwa anaegemea serikalini badala ya kuliongoza bunge likiwa ni nguzo ya kutunga sheria na kuishauri serikali.
(3) Mheshimiwa samuel Sita kuendesha bunge la Katiba kibabe na kutetea msimamo wa CCM na hivyo kuwafanya wapinzani kuungana na kuzaa UKAWA ambayo sasa inaisumbua serikali pamoja na CCM.

Tunajifunza nini: Mwanzo wa kidonda ni kipele au hata mbuyu ulianza mdogo kama mchicha!!

ndio maana walimkata samwel 6 maana ndiye aliye uleta uhu ugonjwa unaoitwa UKAWA unao itesa ccm na kupelekea kufa kabisa,
 
Atakuwa ameenda kuuza vitunguu vyake sokoni
 
Sasa ni wazi nguvu ya Lowassa inazidi kuonekana hasa baada ya leo kutinga katika ofisi za CUF....

Kama hali ndio kama hivi, je kesho itakuwaje atakapoenda kuchukua fomu katika ofisi za NEC. Ambapo msafara utaanzia katika ofisi hizo za CUF saa tatu kamili asubui....

More pictures zinakuja.
attachment.php

Wataisoma namba mwaka huu!
 
Back
Top Bottom