Lowassa atikisa Buguruni katika ofisi za CUF

Lowassa atikisa Buguruni katika ofisi za CUF

Alichofanya lipumba ni kama kakizindua cuf maana wanachama wake wameamka baada ya kuondoka ukawa nga'ng'ari lowasa ng'ang'ari

ni kweli mkuu Lipumba anapaswa kushukuriwa ameleta muamko mkubwa sana UKAWA baada ya kuondoka. Popote pale ulipo napenda kukushukuru kwa niaba ya wana UKAWA, usingeweza mwendo wetu.
 
Lowasa sijui ccm wataibaje hizi kura maana naona kila kona ya nchi wanachama wanazidi kuikimbia ccm,kwa jana pekee wamepoteza zaidi ya wanachama 3000 kuanzia tabora,engaruka, hadi korogwe,hii hali is alarming they have to do something very quickly

Wamesha chelewa sana mkuu walichobakia nacho ni kufungasha vilago na kutuwachia ikulu yetu
 
Lowasa sijui ccm wataibaje hizi kura maana naona kila kona ya nchi wanachama wanazidi kuikimbia ccm,kwa jana pekee wamepoteza zaidi ya wanachama 3000 kuanzia tabora,engaruka, hadi korogwe,hii hali is alarming they have to do something very quickly

That something is to console themselves that they have a pictorial human resource. Goli a mkononi akikuona refer ni penalty ya kukuua kabisa. Mboa Nap hasikiki tea kunyesha mate? Na yul mwenye kutoa makapi kimyaaaaa!!!! Somaa labda ndio anaonbea.Kuna wakati niliuliza mbna Lipumba ameka kinyarwanda vile? Sasa nimepata jibu kumbe kaenda kwao.
 
na silaa! Naye alikua chaguo la shetani! Kipindi mnampa promo!! Acha mungu kufananisha na Mbowe! Huyo ni chaguo la Mbowe na Mtei!!

Magufuli chaguo la Nani? Maana chaguo la JK lilikuwa Membe ! Sasa yupo kwa Magufuli ambaye alipita kwa kura za wajumbe rafiki wa Lowasa , tambua bila kura za hasira za wajumbe kumkataa Membe Leo hii ungekuwa unashangaa Rose migilo ndiye anapepelusha bendera ya ccm sasa kaahidiwa kuwa Waziri mkuu huku membe pia akiamini na yeye atakuwa Waziri mkuu,
 
I wish ningekuwa dar nami nimsindikize rais wangu. Ninafuraha ya ajabu kuwa mwaka huu kura yangu italeta jibu, nami nitakuwa na hadithi ya kuwahadithia wajukuu zangu jinsi nilivyotumia haki yangu ya kura kuangusha utawala dhalimu wa ccm.

Pamoja sana mkuuu
 
Pamoja sana kamanda,lipumba alidhani anaubomoa ukawa kumbe ndio ametia zege ya ratio ya 1:1:1
 
Lowassa chaguo la mungu. Lowasa kipenzi cha watu. Hana rika wakubwa na wadogo ni wake . Tanzania imepata rais mzalendo na mchapa kazi na mwenye upendo
 
Hili ni balaa jamani...!!!

Hapo watu hawajatangaziwa kuhusu ujio wake wala nini, Watu wananusa kila alipo huyo Lowassa. Kweli hakuna namna, Huwezi kuyazuia Mafuriko kwa Viganja vya mkono...!!!

Hivi mtu unaanzaje kuwa Mwanaccm kwa Mfano!!!

BACK TANGANYIKA
 
Nikiona hivi jinsi ambavyo watanzania wanahitaji mabadiliko nafarijika sana
 
CUF jazeni hiyo nafasi fasta vita iendeleee hakuna cha kusubiri, hata mbowe akisepa UKAWA ipo .hata lowasa akiondoka ukawa ipo ni ya wananchi si viongozi kazi ya viongozi ni kutusimamia huwezi toka tu hatuangalii kitu
 
Mkuu si unajua kuwa meno ya mbwa hayaumani?

Umona mkuueeeh? Ilkuwa rahisi kwa Lipumba maana anajua kushauri uchumi tu, yeye mwenyewe hana shamba darasa la uchumi ila malipo kwa kushauri kama alivolipwa sasa na wenye I nyeusi
 
na silaa! Naye alikua chaguo la shetani! Kipindi mnampa promo!! Acha mungu kufananisha na Mbowe! Huyo ni chaguo la Mbowe na Mtei!!

mh ila ki ukweli CCM hali yetu sio nzuri...!!
but naendelea kumpa nafasi magufuli za kupita...!!!
 
Back
Top Bottom