Diva Beyonce
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 12,913
- 11,292
Nitaangalia mami ngoja nije hukoMpenzi kesho twende huko NEC basi?
Nitaangalia mami ngoja nije hukoMpenzi kesho twende huko NEC basi?
Hata Al Sahaf wakati Baghdad imeshatekwa bado alionekana akiongea kwa mbwembwe nyingi kwenye tv. Nakuombea uhai ushuhudie ccm tunavyoitupa kwenye jumba la Makumbusho october.
Hyo ilikua zamani nyakati zimebadilika sana tena kipindi hichi vijana walijitokeza wengi sana tu. Things are changingAmbacho haukijui Dar siku zote ina wapigakura wengi wa ccm na si wapinzani. Wapinzani bado wana karata nzuri mikoani kuliko hata Dar. Wanatakiwa wajipange tu.
Mawazo yako ni yasheitwani nadhani unakalia kitu cha sheitwani chenye ncha kali vumilia tu bado kidogo !!asante wana cuf na umma kwa ujumla kwenda kumshuhudia huyo ibilisi ndani ya chama chetu, ila ninauhakika hamtafanya makosa siku ya uchaguzi. umma wetu twamjua hasa nani ni adui yetu, kwa mbowe na huyu lowasa ndo tutamuimalisha adui yetu.
hawa wakaskazini hawapo ikulu lakini watutesa hivi kwenye ajira nono na biashara, hakika wakienda ikulu wanaweza wakatuhamisha nchi. tuwaache wajipigie kura wenyewe
Kweli kabisa nasi tutafute chakuwaadisia watoto wetu chama cha ccm si chama chetu vijana tukitoe madarakani" tuanze na kitu kipya tunachokijua ccm imechoka.
Kwa Kuiba au Kuwapa Wenzie SUMU?
Mkuu ni vitu ambavyo amekubaliana navyo serikali 3 mamlaka kamili Zanzibar Tanganyika iwepo na jamhuri baba yao aendelee kuepo
jipeni moyo, furaha hiyo mwisho oktoba
Nitaangalia mami ngoja nije huko
Hatariiiiiiiiiii Pale Buguruni pamejaaaa ++!!!!!
Sitiii nenoo
Pamoja sana mkuu. Binafsi sina hata haja ya kuangalia campaign za hawa jamaa. Ushindi ni obvious kabisa
mungu wa watu wa kaskazini atakuwa tofauti na Mungu anayeabudiwa na wanadamu wengine