Lowassa atikisa Buguruni katika ofisi za CUF

Lowassa atikisa Buguruni katika ofisi za CUF

Hili ni balaa jamani...!!!

Hapo watu hawajatangaziwa kuhusu ujio wake wala nini, Watu wananusa kila alipo huyo Lowassa. Kweli hakuna namna, Huwezi kuyazuia Mafuriko kwa Viganja vya mkono...!!!

Hivi mtu unaanzaje kuwa Mwanaccm kwa Mfano!!!

BACK TANGANYIKA

Upo sahihi mkuu habari ya EL kuwepo kitaa hicho watu hawakuwa na taarifa rasmi lkn wamejaa balaa! mafuriko haya
 
Foleni za kesho sizipatii picha akiwa anenda kuchukua form.
 
Haya mazingaombwe kwa tuliokuwa tunamfuatilia mamvi kabla hajakatwa pale dodoma tunajuwa mwisho wake. Lazima ATAKATWA tu Mungu anawapenda watanzania na nchi yao hawezi kuruhusu majambazi yaingie ikulu.
Hujui kusoma alama za nyakati, zamu yenu kukatwa na wananchi, acha utani inchi imezungukwa na misitu lkn watoto wa shule za msingi wanakaa chini! ? Chama kipo madarakani miaka hamsini? hapana waache uchawi
 
Daaah...Mungu akikupenda, Mashetani yenyewe yanageuka kuwa msaada wako...

Na kweli sasa nimeamini...UKAWA, LOWASSA ndio USHINDI MKUBWAAAAA...

Ukawa, Lowassa ni mpango wa Mungu...

👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏
 
Sisiem imekufa kifo cha mendeeeeeeeee

Magufuli kesho utashawishika kukubali matokeo mwenywe &&

Lowassa ndio habari ya mjini...
 
Lowasa atakua raisi wa Tanzania. Ukawa watashinda kwa kura nyingi sana.Bob Marley aliwahi sema "you can fool some people some time but you can't fool all the people all the time" ndio yanayotokea sasa ivi.
 
Lowassa hakika ni chaguo hivyo kila hila itakayoinuaka kinyume na mpango huu haitafanikiwa,unapozungumzia lowassa unazungumzia talented person ambaye anaweza kuivusha nchi na kurudisha matumaini ya watanzania,hilo halina ubishi
 
Safari inaendelea....
 

Attachments

  • 1439137897308.jpg
    1439137897308.jpg
    102.8 KB · Views: 188
  • 1439137957676.jpg
    1439137957676.jpg
    94.3 KB · Views: 185
  • 1439138004546.jpg
    1439138004546.jpg
    76.4 KB · Views: 191
  • 1439138026286.jpg
    1439138026286.jpg
    75.5 KB · Views: 194
Nyinyiemu wataomba poniponi dis tym. Nnaona raha mie jinsi upepo wa mabadiliko ulivyopokelewa na watz. Pipooooooozzz hakiiiiiiiiiiiiiii
 
Ngoja nimsaidie bro wangu though si official ila nina uhakika Azam wataonyesha
wamejipanga walionyesha hata uchukuaji wa fomu kwa magufuri pamoja na
mkutano mkuu wa chadema

Mimi sitaki Azam bwana...ngoja niende zangu tu mwenyewe nikaongeze mafuriko.
 
Back
Top Bottom