Lowassa ataweza kampeni kweli?

Alitembea mikoa 27 kutafuta wathamini mbona hakuchoka?na sasa katembea mikoa 5 mbona hajachoka?Lowassa ni mzee wa vitendo na maamuzi magumu mtamkubali tuu
 
Jk amedondoka mara ngapi wakati wa kampeni?
 
kama kuna mtu anajua kesho yake itakavyokuwa aseme..... kama ulivyojifunza kutumia simu na kompyuta mazingira yalivyokulazimu kujifunza.... nadahani pia mazingira yatamlazimu ajifunze kuongea mbele ya watu........

hahaaa naitaji kukufahamu
 

Haya sasa subiri matusi na kuitwa Magamba, angalau umezungumza jambo la msingi sana.
 
unajibu majibu mepesi ya kijingaaaaaa. Unaambiwa Lowasa anaumwa na wewe unajibu mbona Kikwete alianguka. hii inamaanisha wote ni wagonjwa.

Kichwa cha panzi kama wewe huwezi kunielewa,akili kama ya panya utaelewaje hoja nzito. Uwezo wa akili wa kuelewa na kujadiliana na mimi huna,nakuacha tu na kukupuuza,hii ni post ya mwisho kukunakili na kukujibu. Tafta mazrzeta wenzako wa kujadiliana nao.
 
Jamani acheni uongo Na kupotosha umma wa Watanzania kwani Magufuri ameongea nini Dk ngapi Aliserema na sitawaangusha ? Kampeni bado akiongea watamuwekea pingamizi
 
ikulu sio sehemu ya kubeba mawe,na kampeni sio kuvuta roli.
 

kampeni bado hazijaanza unataka ahutubie masaa 3 ili maCCM mpate cha kuongea?
 
Yetu macho, tarehe ya uchaguzi inaweza kusogezwa mbele kwa miezi mitatu zaidi
tusipoangalia.


kuna mtu alianguka majukwaani maa mbili lakini kamaliza miaka 10..kuna mtu kakaa madarakani anaugua tezi dume mpaka likabidi kunyofolewa lakini bado yupo tu.. nadahani wewe ndio unaweza kukosa kupiga kura kwa kuwa mzee wako atakuwa kafa kwa kipindupindu na kukosa lishe
 

Hii issue ndo hasaa inayonikatisha tamaa nikiwaza kum support huyu mgombea. Anaumwa sana lakini wapambe hawasemi ukweli matokeo yake mtuache kwenye mataa. Enyi wanadamu muwe na hofu ya Mungu mseme tu ukweli wa moyoni ili jamii ijue.
 
Lowassa ni mtendaji sio muongeaji. Hata hivyo ahutubie nini wakati kampeni hazijaanza? Ninyi mnataka maneno au vitendo? Hao wanaoongea wamefanya nini zaidi ya kutalii duniani kwa pesa zetu? Lowassa sio msanii ni mtendaji na cha kufanya kinaeleweka sasa ukae unahutubia kupoteza muda wa kufanya maendeleo ili iwe nini?!
 
Haya sasa subiri matusi na kuitwa Magamba, angalau umezungumza jambo la msingi sana.
Jambo la msingi kuhutubia kwa muda mrefu? Ahutubie kwa muda mrefu ili iwe nini? Mtu anayejua cha kufanya huwa haongei sana ila wale wenye midomo kama chiriku ndio huongea sana lakini utendaji ni sifuri na kila siku utakuta wanazunguka ughaibuni kwa kutumia kodi zetu. Mkitaka mahubiri nendeni kanisani. Sisi tunataka raisi mtendaji sio msemaji!
 
usiwe na hofu nimipango ya mungu ashikishwe adabu amewaibia watanzania mda mrefu,nilipost thread yenye mrengo huu asubuhi wameisogeza mbali,muwaache watu wajadili.
 
Kwa kikosi hi hicho ccm ni balaaa ngoja nisubir cha ukawa
 
Hapo ndio utajua watz wengi thinking capacity yao wanaona lakini wanajifanya hawaoni
 
Mzee Ngoyai hata akihutubia kutoka wodini (Mungu epushia mbali) tutamtawaza kuwa Rais wa Jamhuri tarehe 25 oktoba saa 4 asubuhi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…