Lowassa ashauriwa asigombee urais

Lowassa ashauriwa asigombee urais

habari zilizotufikia punde zinasema madaktari wa lowassa waliopo ujerumani wamemshauri mgonjwa wao asiendelee na shughuli hiyo ya kuwania kwani inamchosha na kufanya ugonjwa wake umtafune kwa kasi.

Madaktari wamefikia uamuzi huo baada ya kuona hali ya mgonjwa wao anayesumbuliwa na ugonjwa wa parkinson inazidi kudorora kutokana na hekaheka za kuzunguka huko na huko kutafuta wajumbe wa kumuunga mkono kwenye harakati za kugombea urais.

Taarifa ya madaktari hao imepokelewa na mkewe lowassa mama regina ambaye alipokuwa nje ya nchi hivi karibuni.

Inasemekana mh. Lowassa alimtuma mkewe kwani yeye alikuwa busy kufitini mchakato wa kupata rasimu ya katiba akihofia ikipatikana rais kikwete atapata sifa.

Hofu ya madaktari ni kuwa suala mhe la degenerative urais linampa mhe. Lowassa stress ambazo zinafanya ugonjwa wake wa parkinson usambae kwa kasi zaidi.

Ugonjwa huo unaoshambulia na kuua mishipa ya fahamu na misuli ndio pia unaomsumbua bondia mashuhuri wa zamani mohamed ali.

Kwa sasa mhe. Lowasa amefikia hali ambayo hawezi kuandika au kunywa supu au uji kwa kijiko kwa vile mikono yake inatikisika sana.

Madaktari wanasema akipuuza ushauri wao basi ifikapo the mwezi wa sita mwakani atashindwa hata kutembea mita mia moja.

Baadhi ya madaktari bingwa wa tanzania niliozungumza nao kuhusu taarifa hiyo wanasema walikuwa wanafahamu ugonjwa unaomsumbua mhe. Lowassa ambao yeye anafanya siri kubwa kwa vile dalili zipo na kwamba alikuwa ananunua dawa zake katika duka la madawa lililopo oysterbay hotel, dar es salaam.

Taarifa hiyo ya madaktari bingwa wa ujerumani imepokelewa kwa uchungu na mhe. Lowassa mwenyewe, familia yake na watu wake wa karibu.

Inaelezwa kuwa mhe lowassa anazidi kupata vikwazo kufikia ndoto yake mahala baada ya kushambuliwa hivi karibuni na mwwnyekiti wa ccm mwanza mhe antony diallo kuwa yeye ni fisadi na anasubiri kumuumbua akijitokeza rasmi kugombea urais.

Stay tune for more information.


hivi taarifa za wagonjwa huwa zinatolewa hovyo hovyo hivi !!!!?.
 
Dah nikicheki "avatar" na kurudia kuyasoma maneno matatu ya kwanza, najikuta natabasamu!
By the way, nice observation from what has been posted...

Condoms at work. Ni aibu sana kutumiwa.
 
Mbona Kikwete ana kifafa lakini amekuwa rais kwa miaka kumi?
Tofautisha damu na maji endelea kumpa moyo Lowassa ni sawa kuijazia maiti damu ili ifufuke wakati haiwezekani
 
Magamba mnachekesha sana , mnashauriwa na madaktari
Wa ujerumani juu ya ugonjwa wa lowasa lakini matusi anapewa Membe ( mtu ambaye hata kampeni meneja wake hajulikani ! ) Sasa nimeamini kwamba CCM ITAKUFA RASMI 2015 Kama alivyotabiri Makongoro Nyerere .

Mbona Dr Slaa mkono wake anashindwa hata kubeba toothpick lakini bado anang'anga'nia uongozi.
 
mimi kama gogo la shamba nilishasema baada ya hila zote kukwama kwa Luwasa mwisho wake tutaambiwa Luwasa ni mkenya
 
Kuna watu wako tayari Mh. Lowasa aitawe Tz hata akiwa kitandani.
Mmmh! I reserve my vote mpaka nishawshiwe kwa sera, hizi ngonjera za humu ni ngumu kujua nani mkweli nani muongo!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums


SERA au AFYA?

Kam ni SERA mbona misimamo yake inajulikana kuwa ni ELIMU KWANZA. na pia amekuwa akisistiza Serekali kuanzisha viwanda kama jibu la Ajira.
 
magamba yanagombana yenyewe kwa yenyewe kwa sababu ya makundi
 
Mimi siamini na sitokaa kuamini uzushiuzushi wa watu wanaoendekeza njaa, hivi jaman km mtu mlishamzushia mkamaliza kila style ya kuzusha, ikashindikana kutufanya tuamin au kutufunja moyo juu ya kile tulichona matumaini nacho,uzuri watz siku hizi tumekua waelewa sio km kile kipindi cha 2008, mlikua mnatujaza ujinga sasa tunafaham wenyewe tunamhitaji nan na atatusaidia wapi, tatizo vijana mmekosa uzalendo kwa njaa ya siku moja, ok leo umetumia talent yako kumtukana mtu anayeaminiwa na wengi na ukoo wako mzima kule kijijin...usijifikirie ww leo fikiria hatma yako itakuaje....huyu kachero mbobezi watz hatumtaki kwann anaendelea na katabia kake ka uchonganishi?
 
Japokuwa napenda ujasiri wa lowasa, na him being a pro-active and decisive Leader, Inajulikana wazi kuwa huyu Kiongozi anamatatizo ya kiafya, lakini lazima tukubaliane ya kuwa yeye ni JEMBE.

Ili kufidia pengo atakalo liacha Lowasa asipogombea na kuwafidia wana ARUSHA , basi CCM iteue kiongozi mwingene Jimboni hapo, anayekubalika na waTANZANIA wengi ambaye ataweza kupeperusha bendera ya CCM Taifa na kutuletea ushindi. TEAM Lowasa tuleyeni Mfugaji shupavu na mwenye maamuzi.

JEMBE ktk kutoa na kupokea rushwa kubwa a.k.a ufisadi.
 
penye nia pana njia inaonekana mnamuwaza sana rais wa awamu ya tano wa jamhuri ya muungano wa Tanzania mhe Edward Ngoyai Lowassa
 
Dah,watu wanakiogopa kivuli cha Lowasa! Yes its true alikataliwa na Nyerere (so was Kikwe). Who doesn't know Lowasa was the 'steam' behind Kikwe's First Term Government? He left and the government went to the 'spineless' cowards who use Police against their own people!
Now Lowasa is about to come back, jipangeni! Na mtachonga sana!
 
Nyie watu wa WAMA acheni kuweweseka sana huyu mzee amewafanya nn mbona mnamtaja sana au ndo kuweweseka....Lowassa ndo mpango mzima 2015 mnaendelea kumuongezea point pasipo kujua
 
Nyie jifanyeni tu lowasa lowasa afu wakati huo mnaihitaji kuboreshwa kwa shule za umma na hospitali iko hivi lowasa kafungamana sana na wafanyabiashara na hii ni hatari we fikilia hizi pesa zote wanazozitoa kwenye maharambee hao washirika hao unafikiri wanazitoa bule wana mashule hapo mahospitali mengi na wanahitaji misamaha ya kodi vilevile sasa endapo lowasa atapita haya muyaone yakawaida kutoboleshwa kwa miundombinu ya umma serikali haitakua na fedha za kutosha coz kampuni nyingi zitakua zimesamehewa kodi kulipa fadhila halafu kama atabolesha shule na mahospitali ya serikali je shule na hospitali za wamwaga fedha kwa harambee asome nan?.......
 
Hizi akili za vijana wa WAMA ni janga katika taifa....hata iweje Membe awezi kuwa rais wa nchi hii kamwe na kamwe.....mlifatilia ripoti ya afya yake mkagonga mwamba sasa mumekuja na hili....mburulazzzzz kabisa na tatizo lenu hamna mbinu za kampeni kabisa

Wewe ndio unajua raisi ajaye acheni membe aitwe membe jamani

KACHERO MUBOBEZI MWANADIPLOMASIA MTATA NA RAFIKI WA WASOMI MTAELEWA TUU
 
Daa Siamini kama Tanzania hii kuna mijitu inatumika kiasi hiki
 
Back
Top Bottom