King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 60,342
- 88,521
Joka La Mdimu hafai hata kuwa Raisi wa Mtama.
Habari zilizotufikia punde zinasema madaktari wa Lowassa waliopo ujerumani wamemshauri mgonjwa wao asiendelee na shughuli hiyo ya kuwania kwani inamchosha na kufanya ugonjwa wake umtafune kwa kasi.
Madaktari wamefikia uamuzi huo baada ya kuona hali ya mgonjwa wao anayesumbuliwa na ugonjwa wa Parkinson inazidi kudorora kutokana na hekaheka za kuzunguka huko na huko kutafuta wajumbe wa kumuunga mkono kwenye harakati za kugombea urais.
Taarifa ya madaktari hao imepokelewa na mkewe Lowassa mama Regina ambaye alipokuwa nje ya nchi hivi karibuni.
Inasemekana mh. Lowassa alimtuma mkewe kwani yeye alikuwa busy kufitini mchakato wa kupata rasimu ya katiba akihofia ikipatikana rais Kikwete atapata sifa.
Hofu ya madaktari ni kuwa suala mhe la degenerative urais linampa mhe. Lowassa stress ambazo zinafanya ugonjwa wake wa Parkinson usambae kwa kasi zaidi.
Ugonjwa huo unaoshambulia na kuua mishipa ya fahamu na misuli ndio pia unaomsumbua bondia mashuhuri wa zamani mohamed Ali.
Kwa sasa mhe. Lowasa amefikia hali ambayo hawezi kuandika au kunywa supu au uji kwa kijiko kwa vile mikono yake inatikisika sana.
Madaktari wanasema akipuuza ushauri wao basi ifikapo the mwezi wa sita mwakani atashindwa hata kutembea mita mia moja.
Baadhi ya madaktari bingwa wa Tanzania niliozungumza nao kuhusu taarifa hiyo wanasema walikuwa wanafahamu ugonjwa unaomsumbua mhe. Lowassa ambao yeye anafanya siri kubwa kwa vile dalili zipo na kwamba alikuwa ananunua dawa zake katika duka la madawa lililopo oysterbay hotel, dar es salaam.
Taarifa hiyo ya madaktari bingwa wa Ujerumani imepokelewa kwa uchungu na mhe. Lowassa mwenyewe, familia yake na watu wake wa karibu.
Inaelezwa kuwa mhe Lowassa anazidi kupata vikwazo kufikia ndoto yake mahala baada ya kushambuliwa hivi karibuni na mwwnyekiti wa CCM Mwanza mhe Antony Diallo kuwa yeye ni fisadi na anasubiri kumuumbua akijitokeza rasmi kugombea urais.
Stay tune for more information.
Jina Mhe. Lowassa kutajwa kwa mara 12, sii promo haba!.
Endelezeni na hizi promo!.
Pasco
Mbaya zaidi wanatumiwa hata bila kutumia akili zao, unaambiwa akili yako changanya na ya kwako....sasa dogo kama huyu Allan hata shule yenyewe kafeli anatumika hapa kama condom badala akomae amalize shule jingaaaaaaa kabisa huyu dogo....nae anatafuta nitoke vipi JF? Hajielewi kabisa huyu dogo
Magamba mnachekesha sana , mnashauriwa na madaktariJoka La Mdimu hafai hata kuwa Raisi wa Mtama.
Jamani mwacheni Lowasa afanye mambo yake mbona mna wasiwasi sana kama sio mnajua yeye ni jembe?hana ugonjwa wowote kwa taarifa yenu tunajua nia na mathumununi yenu lakini jueni Lowasa ndiye raisi wa Tanzania 2015 tunamuhitaji na anaweza kama hauamini muulize Komba na sululu
Unachopaswa kufanya ni kushukuru mleta mada kwa kukujuza ugonjwa wa Lowasa.Majibu kapewa Mke wa Lowasa, na wewe ndio unatuandikia humu mtandaoni. Sasa hapo mke wa Lowasa ni nani? Napata wasi wasi kidogo
Huwa naheshimu post za kila mtu jambo kubwa kwangu nikipata tarifa kama hii huwa naanza kutafiti na kupata ukweli zaidi nimefanya hivi kwenye post nyingi za chabruma na kupata ukweli juu ya post za chabruma kwa undani kabisa.
Nyalandu make wa nani?
Mkuu jina la Mungu sio la kuchezea, kamwe unaambiwa usimhukumu mtu, angalia usije ukapata matatizo kisa tu unataka umaarufu wa kumtukana EL JFLowasa anaadhibiwa na Mungu kwa kutumia nyumba za Ibada kujisafisha na kashfa za ufisadi
Charles Dunken ...