Lowassa ashauriwa asigombee urais

Lowassa ashauriwa asigombee urais

Halafu mtoa mada kaishia la ngapi cjui kama anajua ugonjwa wa parkison, unadalili zipi, unawaathiri watu gani na umri wa lowasa kwa huo ugonjwa ni sawa? Umeacha wazee kabisa kama sita, wasira,pinda na wengineo. Acha akili ndogo huku jf kuna watu aina nyingi na taaluma mbali mbali. Kajipipange hoja nyepesi
 
Habari zilizotufikia punde zinasema madaktari wa Lowassa waliopo ujerumani wamemshauri mgonjwa wao asiendelee na shughuli hiyo ya kuwania kwani inamchosha na kufanya ugonjwa wake umtafune kwa kasi.

Madaktari wamefikia uamuzi huo baada ya kuona hali ya mgonjwa wao anayesumbuliwa na ugonjwa wa Parkinson inazidi kudorora kutokana na hekaheka za kuzunguka huko na huko kutafuta wajumbe wa kumuunga mkono kwenye harakati za kugombea urais.

Taarifa ya madaktari hao imepokelewa na mkewe Lowassa mama Regina ambaye alipokuwa nje ya nchi hivi karibuni.

Inasemekana mh. Lowassa alimtuma mkewe kwani yeye alikuwa busy kufitini mchakato wa kupata rasimu ya katiba akihofia ikipatikana rais Kikwete atapata sifa.

Hofu ya madaktari ni kuwa suala mhe la degenerative urais linampa mhe. Lowassa stress ambazo zinafanya ugonjwa wake wa Parkinson usambae kwa kasi zaidi.

Ugonjwa huo unaoshambulia na kuua mishipa ya fahamu na misuli ndio pia unaomsumbua bondia mashuhuri wa zamani mohamed Ali.

Kwa sasa mhe. Lowasa amefikia hali ambayo hawezi kuandika au kunywa supu au uji kwa kijiko kwa vile mikono yake inatikisika sana.

Madaktari wanasema akipuuza ushauri wao basi ifikapo the mwezi wa sita mwakani atashindwa hata kutembea mita mia moja.

Baadhi ya madaktari bingwa wa Tanzania niliozungumza nao kuhusu taarifa hiyo wanasema walikuwa wanafahamu ugonjwa unaomsumbua mhe. Lowassa ambao yeye anafanya siri kubwa kwa vile dalili zipo na kwamba alikuwa ananunua dawa zake katika duka la madawa lililopo oysterbay hotel, dar es salaam.

Taarifa hiyo ya madaktari bingwa wa Ujerumani imepokelewa kwa uchungu na mhe. Lowassa mwenyewe, familia yake na watu wake wa karibu.

Inaelezwa kuwa mhe Lowassa anazidi kupata vikwazo kufikia ndoto yake mahala baada ya kushambuliwa hivi karibuni na mwwnyekiti wa CCM Mwanza mhe Antony Diallo kuwa yeye ni fisadi na anasubiri kumuumbua akijitokeza rasmi kugombea urais.

Stay tune for more information.

So what? Kila mtu mgonjwa bongo
 
Anajifanya eti na yeye mpigaji, aangalie hapa mjini ataliwa 07133333 amuulize Nyalandu mke wa Charles Dunken......kila siku lowassa lowassa, kila siku lowassa lowassa watakufa kihoro mwaka huu....

Hii kaaaali😂😂😂😂
 
View attachment IMG-20150121-WA0000.jpg

Watanzania wenzangu tunahitaji kuwa na Rais mgonjwa kama Lowasa anae vuja mate hovyo nakusaidiwa kufutwa kama mtoto anaelishwa chakula?

Ataweza mikiki mikiki ya uchaguzi na mikiki mikiki ya urais?

Watanzania tutie akili kichwani mtu kama huyu mwenye afya kama hii analazimisha kuingia ikulu kwa gharama yoyote ile huku akijua na huku TUKIJUA afya yake ni mbovu kweli anania na TUNANIA njema nataifa hili?

Au anataka na tunataka kuliingiza taifa kwenye janga lakurudiwa uchanguzi ndani ya miezi 12 tu?,

Tukumbuke maneno ya mwalim nyerere "ikulu ni mzigo mtu yoyote anae penda kukimbilia ikulu kwa ghalama yoyote ile niwakumuogopa kama ukoma"
Kwa afya ya Lowasa anakimbilia ikulu kufanya nini?

Wapambe wake ambao wanapiga kampeni usiku na mchana kwasasa twaweza kuwaita niwahuni watupu kwakuwa mienendo yao miimo yao sasa inatambuliwa kwa kwa vyeo walivyojipangia/jigawia sasa kana kwamba tayari Lowasa ni rais,

Je hawa wahuni wanataka Lowasa aingie ikulu wafaidike nini? Washauri wakaribu wa Lowasa akiwemo Apson Mwang'onda hawamshauri juu ya udhoofu wa kiafya badala ya tamaa madaraka?

Watanzania tulilinde taifa kwamtafuta rais bora na mwenye afya thabiti kwa uhai wa taifa hili.

ZINGATIENI, Rais bora wa Tz karne hii kuanzia mwaka 2015 nakuendelea hayupo ndani ya ccm bali yupo ndani ya UKAWA.

cc Mtela Mwampamba, Kimeta wa mpui, Sambara ole, nk
 
Last edited by a moderator:
Kuvuja mate! Labda in private lakini mbele ya kadamnasi hilo halijaoneka. Umetia chumvi kali sana au kwa kifupi umeandika uongo.
 
sawa but nadhani kwanza watz watambue na kuyabainisha wazi wazi matatizo ya nchi na tutokeje hapo kama taifa......jana kama president Obama alihutubia mpaka unafurahi jinsi anayoelezea mafanikio na changamoto...sisi hapa utasikia maji maji..........mara ufisadi.......jamani tunataka tutengeneze ndege,watu waende sayari ya mars.......vipi ndg zangu tuew na spirit ya nation....ambao wanaspeed ndongo tupishen
 
Kambi ya membe mmeishiwa maneno ya kisiasa sasa mnapitia kwingine. Hata mseme nini ataingia magogoni tu. wewe umepima? Rais ni lowassa tuuuuuuuuuuuuuuuu.
 
hivi kwani Lowassa ametangaza nia ya kugombea uraisi jamani?iam confused
 
Habari zilizotufikia punde zinasema madaktari wa Lowassa waliopo ujerumani wamemshauri mgonjwa wao asiendelee na shughuli hiyo ya kuwania kwani inamchosha na kufanya ugonjwa wake umtafune kwa kasi.

Madaktari wamefikia uamuzi huo baada ya kuona hali ya mgonjwa wao anayesumbuliwa na ugonjwa wa Parkinson inazidi kudorora kutokana na hekaheka za kuzunguka huko na huko kutafuta wajumbe wa kumuunga mkono kwenye harakati za kugombea urais.

Taarifa ya madaktari hao imepokelewa na mkewe Lowassa mama Regina ambaye alipokuwa nje ya nchi hivi karibuni.

Inasemekana mh. Lowassa alimtuma mkewe kwani yeye alikuwa busy kufitini mchakato wa kupata rasimu ya katiba akihofia ikipatikana rais Kikwete atapata sifa.

Hofu ya madaktari ni kuwa suala mhe la degenerative urais linampa mhe. Lowassa stress ambazo zinafanya ugonjwa wake wa Parkinson usambae kwa kasi zaidi.

Ugonjwa huo unaoshambulia na kuua mishipa ya fahamu na misuli ndio pia unaomsumbua bondia mashuhuri wa zamani mohamed Ali.

Kwa sasa mhe. Lowasa amefikia hali ambayo hawezi kuandika au kunywa supu au uji kwa kijiko kwa vile mikono yake inatikisika sana.

Madaktari wanasema akipuuza ushauri wao basi ifikapo the mwezi wa sita mwakani atashindwa hata kutembea mita mia moja.

Baadhi ya madaktari bingwa wa Tanzania niliozungumza nao kuhusu taarifa hiyo wanasema walikuwa wanafahamu ugonjwa unaomsumbua mhe. Lowassa ambao yeye anafanya siri kubwa kwa vile dalili zipo na kwamba alikuwa ananunua dawa zake katika duka la madawa lililopo oysterbay hotel, dar es salaam.

Taarifa hiyo ya madaktari bingwa wa Ujerumani imepokelewa kwa uchungu na mhe. Lowassa mwenyewe, familia yake na watu wake wa karibu.

Inaelezwa kuwa mhe Lowassa anazidi kupata vikwazo kufikia ndoto yake mahala baada ya kushambuliwa hivi karibuni na mwwnyekiti wa CCM Mwanza mhe Antony Diallo kuwa yeye ni fisadi na anasubiri kumuumbua akijitokeza rasmi kugombea urais.

Stay tune for more information.
Penye nyekundu,sijapenda,wewe sio daktari mpaka umuhukumu mwenzako mgonjwa,mbona watu hawasemi tatizo alilonalo Mtoto wa huyo mgombea unayemsema ambalo liko wazi kabisa! Japo mimi namuona mgombea wako ana kibali ndani ya chama,ila kumuita Lowasa Mgonjwa si ustaarabu,ukiendelea watu watakuja kuchafua hali ya hewa kuhusu familia ya mgombea wako unayemuunga mkono.Ukiwa unatofautiana mtu tumia lugha nzuri si matusi Bwana Halid Allan Kiluvia,nakuheshimu sana na mgombea wako.

UKANA SHILUNGO.
 
Habari zilizotufikia punde zinasema madaktari wa Lowassa waliopo ujerumani wamemshauri mgonjwa wao asiendelee na shughuli hiyo ya kuwania kwani inamchosha na kufanya ugonjwa wake umtafune kwa kasi.

Madaktari wamefikia uamuzi huo baada ya kuona hali ya mgonjwa wao anayesumbuliwa na ugonjwa wa Parkinson inazidi kudorora kutokana na hekaheka za kuzunguka huko na huko kutafuta wajumbe wa kumuunga mkono kwenye harakati za kugombea urais.

Taarifa ya madaktari hao imepokelewa na mkewe Lowassa mama Regina ambaye alipokuwa nje ya nchi hivi karibuni.

Inasemekana mh. Lowassa alimtuma mkewe kwani yeye alikuwa busy kufitini mchakato wa kupata rasimu ya katiba akihofia ikipatikana rais Kikwete atapata sifa.

Hofu ya madaktari ni kuwa suala mhe la degenerative urais linampa mhe. Lowassa stress ambazo zinafanya ugonjwa wake wa Parkinson usambae kwa kasi zaidi.

Ugonjwa huo unaoshambulia na kuua mishipa ya fahamu na misuli ndio pia unaomsumbua bondia mashuhuri wa zamani mohamed Ali.

Kwa sasa mhe. Lowasa amefikia hali ambayo hawezi kuandika au kunywa supu au uji kwa kijiko kwa vile mikono yake inatikisika sana.

Madaktari wanasema akipuuza ushauri wao basi ifikapo the mwezi wa sita mwakani atashindwa hata kutembea mita mia moja.

Baadhi ya madaktari bingwa wa Tanzania niliozungumza nao kuhusu taarifa hiyo wanasema walikuwa wanafahamu ugonjwa unaomsumbua mhe. Lowassa ambao yeye anafanya siri kubwa kwa vile dalili zipo na kwamba alikuwa ananunua dawa zake katika duka la madawa lililopo oysterbay hotel, dar es salaam.

Taarifa hiyo ya madaktari bingwa wa Ujerumani imepokelewa kwa uchungu na mhe. Lowassa mwenyewe, familia yake na watu wake wa karibu.

Inaelezwa kuwa mhe Lowassa anazidi kupata vikwazo kufikia ndoto yake mahala baada ya kushambuliwa hivi karibuni na mwwnyekiti wa CCM Mwanza mhe Antony Diallo kuwa yeye ni fisadi na anasubiri kumuumbua akijitokeza rasmi kugombea urais.

Stay tune for more information.

Mmmh! Hizo taarifa ni za kweli au ni majungu?
 
Habari Allan Halid Kiluvia; nisaidie haya mambo machache tu:
1. Kama umeiona au kuisoma ripoti ya hao "madaktari wa ujerumani) tunaomba uiweke wazi hapa JF.
2. Ili ueleweke vizuri ninaomba majina ya hao "madaktari bingwa" waliokuwa wanafahamu ugonjwa wa Lowassa.
3. Pia uweke video clip inayoonesha kuwa mikono ya Lowassa "inatikisika"
4. Wewe binafsi umepima afya yako na kugundulika una maradhi gani?
 
Jamanipamoja na kutothibitishwa kwa umma juu ya afya ya ndg Lowasa kwa desturi za kiungwana mwenzetu akifikwa na maradhi au jiriwa lolote lile ada yake ni kumuombea na kumtakia apone haraka,nashangaa watu wazima humu mna jadlili afya mbaya ya mtu kwa furaha tena kukiwa na viashiria vyote vya kuombea afya yake izorote! msikufuru ,tubadilike jamani maradhi ni changamoto ya kila mmoja wetu !ohoo!
 
Habari Allan Halid Kiluvia; nisaidie haya mambo machache tu:
1. Kama umeiona au kuisoma ripoti ya hao "madaktari wa ujerumani) tunaomba uiweke wazi hapa JF.
2. Ili ueleweke vizuri ninaomba majina ya hao "madaktari bingwa" waliokuwa wanafahamu ugonjwa wa Lowassa.
3. Pia uweke video clip inayoonesha kuwa mikono ya Lowassa "inatikisika"
4. Wewe binafsi umepima afya yako na kugundulika una maradhi gani?

Hahaha wewe ni polisi?
 
Back
Top Bottom