Lowassa ashauriwa asigombee urais

Vijana wa Lumumba kwa nini mnahangaika kumchafua Lowassa kiasi hiki??? Urais kwa CCM mwisho MR.DHAIFU.......Acheni ujinga wa kumsakama mzee wa watu wakati nyie ni nyumba iliyokwisha kufa .....Mjinga tu ndio ataendelea kuishabikia CCM
 
Mnahangaika sana na fisadi papa Lowassa.
Hamuwezi kumshinda kwa point nyepesi nyepesi hivi, goo goo goo Lowassa hao magamba wenzako hawakuwezi.
 

Kakojoe ukalale
 

Na ndio maana hata darasa lilimshinda. Katika ethics za udaktari majibu ya mgonjwa hapewi yeyote zaidi ya mhusika mwenyewe. Tuseme hata kama majibu alipewa mke wa Lowasa aliyaleta kwako badala ya kumkabidhi mmewe? Chanzo chako cha habari hizi ni kipi hata tuuamini utumbo huu. Kwa taarifa yako na wa aina yako ni kuwa mh.Lowassa ni mzima kuliko ninyi wote mnaohangaika na afya yake. Kuhakikisha hilo ni kuwa haipo picha yoyote inayomwonyesha akisinzia kwenye kikao chochote kiwe bungeni au popote pale tofauti na kina Wassira na wengine wengi. Juzi mlimuona Dodoma wakati raisi anakabidhiwa rasimu ya katiba ni mzima kuliko mnavyofikiria. Hivi hao watangaza nia wenu hawauziki mpaka mjaribu kumharibia sifa mh. Lowassa?
 
Joka La Mdimu hafai hata kuwa Raisi wa Mtama.
Magamba mnachekesha sana , mnashauriwa na madaktari
Wa ujerumani juu ya ugonjwa wa lowasa lakini matusi anapewa Membe ( mtu ambaye hata kampeni meneja wake hajulikani ! ) Sasa nimeamini kwamba CCM ITAKUFA RASMI 2015 Kama alivyotabiri Makongoro Nyerere .
 
kumbe Lowassa mgonjwa hv asehh kijana ww unaonekana upo karibu sana na madaktari wa kijerumani...so wanakupa taarifa afu ww unakuja kutupa sisi wanajamvi,MUNGU akubariki kwa kutujuza.
 

Japokuwa napenda ujasiri wa lowasa, na him being a pro-active and decisive Leader, Inajulikana wazi kuwa huyu Kiongozi anamatatizo ya kiafya, lakini lazima tukubaliane ya kuwa yeye ni JEMBE.

Ili kufidia pengo atakalo liacha Lowasa asipogombea na kuwafidia wana ARUSHA , basi CCM iteue kiongozi mwingene Jimboni hapo, anayekubalika na waTANZANIA wengi ambaye ataweza kupeperusha bendera ya CCM Taifa na kutuletea ushindi. TEAM Lowasa tuleyeni Mfugaji shupavu na mwenye maamuzi.
 
Majibu kapewa Mke wa Lowasa, na wewe ndio unatuandikia humu mtandaoni. Sasa hapo mke wa Lowasa ni nani? Napata wasi wasi kidogo
 
Lowasa anaadhibiwa na Mungu kwa kutumia nyumba za Ibada kujisafisha na kashfa za ufisadi
 
Majibu kapewa Mke wa Lowasa, na wewe ndio unatuandikia humu mtandaoni. Sasa hapo mke wa Lowasa ni nani? Napata wasi wasi kidogo
Unachopaswa kufanya ni kushukuru mleta mada kwa kukujuza ugonjwa wa Lowasa.
 
hivi nyie mnaobishana humu hamna kazi za kufanya? coz wote mnao watetea ni mafisadi
 
Huwa naheshimu post za kila mtu jambo kubwa kwangu nikipata tarifa kama hii huwa naanza kutafiti na kupata ukweli zaidi nimefanya hivi kwenye post nyingi za chabruma na kupata ukweli juu ya post za chabruma kwa undani kabisa.

Mtapambana lakini Hamtashinda....mnasumbuka sana aisee...yaani unatenga muda wa kumfanyia mwanaume mwenzako utafiti kabisa hauna kazi ya maana nini
 
Lowasa anaadhibiwa na Mungu kwa kutumia nyumba za Ibada kujisafisha na kashfa za ufisadi
Mkuu jina la Mungu sio la kuchezea, kamwe unaambiwa usimhukumu mtu, angalia usije ukapata matatizo kisa tu unataka umaarufu wa kumtukana EL JF
 
Hii ni ishara ya uwezo wa kufikiri ndani ya chama cha mapinduzi kuchafuana ndio msingi wa uraisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…