Lowassa ashauriwa asigombee urais

Lowassa ashauriwa asigombee urais

Sizioni mkuu ebu nionyeshe ziko wapi? Naomba unisaidie kwa hilo...au ndio yale yale mambo ya kusikia stori za vijiwe au bendera fata upepo! Ebu nisaidie hizo pesa zinapatikana wapi na mimi nizifate manake nina shida ya ela sana sana

LOWASSA AWAMWAGIA MAMILIONI YA FEDHA WAISLAM LEO-HUYU NI KIONGOZI WA UMMA, SI MFANYABIASHARA

Posted on 10 Apr by CCM Blog

Waziri Mkuu wa zamani, Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa akikabidhi kitita cha sh. milioni tano kwa viongozi wa Baraza la Misikiti Tanzania (BAMITA), katika hafla iliyofanyika jijini Dar es Salaam, leo. Kushoto ni Katibu Mkuu wa BAMITA, Sheikh Salum Sung'he. Imeelezwa katika makabidhiano hayo kwamba fedha hizo ni kwa ajili ya kuendeleza mipango kazi ya BAMITA katika kuelimisha jamii katika kupunguza maambukizi ya Ukimwi na kudhibiti mimba kabla ya ndoa. Katikati ni Makamu Mwenyekiti wa BAMITA, Alhaj Juma Swalehe. Huu ni mwendelezo wa Lowassa kumwaga mamilioni ya fedha kwa taasisi za kidini ambapo amekuwa pia akimwaga mamilioni kwenye makanisa kupitia
 
Habari zilizotufikia punde zinasema madaktari wa Lowassa waliopo ujerumani wamemshauri mgonjwa wao asiendelee na shughuli hiyo ya kuwania kwani inamchosha na kufanya ugonjwa wake umtafune kwa kasi.

Madaktari wamefikia uamuzi huo baada ya kuona hali ya mgonjwa wao anayesumbuliwa na ugonjwa wa Parkinson inazidi kudorora kutokana na hekaheka za kuzunguka huko na huko kutafuta wajumbe wa kumuunga mkono kwenye harakati za kugombea urais.

Taarifa ya madaktari hao imepokelewa na mkewe Lowassa mama Regina ambaye alipokuwa nje ya nchi hivi karibuni.

Inasemekana mh. Lowassa alimtuma mkewe kwani yeye alikuwa busy kufitini mchakato wa kupata rasimu ya katiba akihofia ikipatikana rais Kikwete atapata sifa.

Hofu ya madaktari ni kuwa suala mhe la degenerative urais linampa mhe. Lowassa stress ambazo zinafanya ugonjwa wake wa Parkinson usambae kwa kasi zaidi.

Ugonjwa huo unaoshambulia na kuua mishipa ya fahamu na misuli ndio pia unaomsumbua bondia mashuhuri wa zamani mohamed Ali.

Kwa sasa mhe. Lowasa amefikia hali ambayo hawezi kuandika au kunywa supu au uji kwa kijiko kwa vile mikono yake inatikisika sana.

Madaktari wanasema akipuuza ushauri wao basi ifikapo the mwezi wa sita mwakani atashindwa hata kutembea mita mia moja.

Baadhi ya madaktari bingwa wa Tanzania niliozungumza nao kuhusu taarifa hiyo wanasema walikuwa wanafahamu ugonjwa unaomsumbua mhe. Lowassa ambao yeye anafanya siri kubwa kwa vile dalili zipo na kwamba alikuwa ananunua dawa zake katika duka la madawa lililopo oysterbay hotel, dar es salaam.

Taarifa hiyo ya madaktari bingwa wa Ujerumani imepokelewa kwa uchungu na mhe. Lowassa mwenyewe, familia yake na watu wake wa karibu.

Inaelezwa kuwa mhe Lowassa anazidi kupata vikwazo kufikia ndoto yake mahala baada ya kushambuliwa hivi karibuni na mwwnyekiti wa CCM Mwanza mhe Antony Diallo kuwa yeye ni fisadi na anasubiri kumuumbua akijitokeza rasmi kugombea urais.

Stay tune for more information.

Sasa unatueleza sisi ili iweje
 
Siku JK akitoka ofisini Magogoni Membe atakuwa na wakati mgumu sana.
 
TeamMembe at Work!
 
LOWASSA AWAMWAGIA MAMILIONI YA FEDHA WAISLAM LEO-HUYU NI KIONGOZI WA UMMA, SI MFANYABIASHARA

Posted on 10 Apr by CCM Blog

Waziri Mkuu wa zamani, Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa akikabidhi kitita cha sh. milioni tano kwa viongozi wa Baraza la Misikiti Tanzania (BAMITA), katika hafla iliyofanyika jijini Dar es Salaam, leo. Kushoto ni Katibu Mkuu wa BAMITA, Sheikh Salum Sung'he. Imeelezwa katika makabidhiano hayo kwamba fedha hizo ni kwa ajili ya kuendeleza mipango kazi ya BAMITA katika kuelimisha jamii katika kupunguza maambukizi ya Ukimwi na kudhibiti mimba kabla ya ndoa. Katikati ni Makamu Mwenyekiti wa BAMITA, Alhaj Juma Swalehe. Huu ni mwendelezo wa Lowassa kumwaga mamilioni ya fedha kwa taasisi za kidini ambapo amekuwa pia akimwaga mamilioni kwenye makanisa kupitia
Million tano unaita mamillioni? nyie ndio wale mabingwa wa kuamini uzushi
 
Sizioni mkuu ebu nionyeshe ziko wapi? Naomba unisaidie kwa hilo...au ndio yale yale mambo ya kusikia stori za vijiwe au bendera fata upepo! Ebu nisaidie hizo pesa zinapatikana wapi na mimi nizifate manake nina shida ya ela sana sana

[h=3]Lowassa awapa milioni 20 wafanyabiashara wadogowadogo wa jijini Mwanza !- Lowasa ni kiongozi wa Umma, si mfanyabishara[/h]Saturday, July 06, 2013 Maoni: 0

Mhe. Lowassa akimkabidhi hundi ya shilingi milioni 20 Bw.Matondo ambaye ni mwenyekiti wa Shirika la Umoja wa wafanyabiashara wadogowadogo wa jijini Mwanza (SHIUMA) huku akishuhudiwa na diwani wa kata ya Nyamagana Bhiku Kotecha (anayepiga makofi).
Bw. Lowassa alisema kwamba kutokana na marafiki zake ambao aliwataja Bw.Christopher Mwita Gachuma (MNEC- Tarime), Bw.Mathias Manga (MNEC-Arumeru), Bw.Raphael Chegeni (MNEC-Busega) Bw.Shanif Hiran Mansoor(Mbunge-Kwimba) na Bw.Altaf Mansoor (Mkurugenzi wa MOIL) ambao waliniomba na kunisisitiza kuwaona na kuwasikiliza nami nimewapa utaratibu wa kuandaa Harambee kubwa ya kuwachangia na marafiki zangu wengine.

"Leo hii siyo harambee bali nataka kuwachangia kianzio katika mfuko wenu na siku zote CCM inasema kwamba ni lazima kuwapatia mtaji vijana hivyo nawapatia Cheki ya milioni 10 na jioni ntwapatia shilingi milioni 10 jumla zitakuwa shilingi milioni 20 za kuanzia ili kujipanga na harambee kubwa

Mmoja kati ya wanakamati wa SHIUMA akionyesha hundi ya shilingi milioni 20 waliyokabidhiwa na Mhe. Lowassa kama sehemu ya harakati ya kutatua masuala mbalimbali ya changamoto zao walizoziainisha kwenye risala.
 
Ushauri wa bure kwa team JOKA,ni bora muelekeze nguvu jimboni Mtama.la sivyo mtakosa kila kitu
 
Habari zilizotufikia punde zinasema madaktari wa Lowassa waliopo ujerumani wamemshauri mgonjwa wao asiendelee na shughuli hiyo ya kuwania kwani inamchosha na kufanya ugonjwa wake umtafune kwa kasi.

Madaktari wamefikia uamuzi huo baada ya kuona hali ya mgonjwa wao anayesumbuliwa na ugonjwa wa Parkinson inazidi kudorora kutokana na hekaheka za kuzunguka huko na huko kutafuta wajumbe wa kumuunga mkono kwenye harakati za kugombea urais.

Taarifa ya madaktari hao imepokelewa na mkewe Lowassa mama Regina ambaye alipokuwa nje ya nchi hivi karibuni.

Inasemekana mh. Lowassa alimtuma mkewe kwani yeye alikuwa busy kufitini mchakato wa kupata rasimu ya katiba akihofia ikipatikana rais Kikwete atapata sifa.

Hofu ya madaktari ni kuwa suala mhe la degenerative urais linampa mhe. Lowassa stress ambazo zinafanya ugonjwa wake wa Parkinson usambae kwa kasi zaidi.

Ugonjwa huo unaoshambulia na kuua mishipa ya fahamu na misuli ndio pia unaomsumbua bondia mashuhuri wa zamani mohamed Ali.

Kwa sasa mhe. Lowasa amefikia hali ambayo hawezi kuandika au kunywa supu au uji kwa kijiko kwa vile mikono yake inatikisika sana.

Madaktari wanasema akipuuza ushauri wao basi ifikapo the mwezi wa sita mwakani atashindwa hata kutembea mita mia moja.

Baadhi ya madaktari bingwa wa Tanzania niliozungumza nao kuhusu taarifa hiyo wanasema walikuwa wanafahamu ugonjwa unaomsumbua mhe. Lowassa ambao yeye anafanya siri kubwa kwa vile dalili zipo na kwamba alikuwa ananunua dawa zake katika duka la madawa lililopo oysterbay hotel, dar es salaam.

Taarifa hiyo ya madaktari bingwa wa Ujerumani imepokelewa kwa uchungu na mhe. Lowassa mwenyewe, familia yake na watu wake wa karibu.

Inaelezwa kuwa mhe Lowassa anazidi kupata vikwazo kufikia ndoto yake mahala baada ya kushambuliwa hivi karibuni na mwwnyekiti wa CCM Mwanza mhe Antony Diallo kuwa yeye ni fisadi na anasubiri kumuumbua akijitokeza rasmi kugombea urais.

Stay tune for more information.

Mkuu tunashukuru kwa taarifa, una haki ya kutoa mawazo yako. Haijalishi upo choon, bafuni, jikoni au hata unagegedwa! Ni ruksa kusema lolote coz mdomo ni mali yako na mawazo ni yako!!! Hujamsemea mtu yeyote, hata Membe hapa lazima atakukana.
 
Siasa maji taka zishapitwa na wakati sioni wa kumzuia lowassa ccm
Labda tu baada ya ccm kumpitisha aje akutane na nondo za cdm zimkate fahamu!
 
Hii thread naona inawahusu magamba peke yao. gamba moja linamwaona mwingine hafai wakati yote ni ya kutupa kuleee!
 
Sizioni mkuu ebu nionyeshe ziko wapi? Naomba unisaidie kwa hilo...au ndio yale yale mambo ya kusikia stori za vijiwe au bendera fata upepo! Ebu nisaidie hizo pesa zinapatikana wapi na mimi nizifate manake nina shida ya ela sana sana

[h=3]MHESHIMIWA LOWASA ATOA MILIONI 10 KUSAIDIA UJENZI WA KANISA LA EAGT[/h]
Habari na Ezekiel Kamanga, Mbeya.
Waziri Mkuu mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Edward Ngoyai Lowassa ametoa shilingi milioni 10, kwa ajili ya ujenzi wa Kanisa la EAGT lililopo Mji mdogo wa Tunduma, Wilaya ya Momba Mkoani Mbeya.

Fedha hizo zimetolewa jana katika harambee ya kuchangia ujenzi wa Kanisa hilo, iliyofanyika katika viwanja vya Hoteli ya High Class mjini humo. LINK CHIMBUKO LETU: MHESHIMIWA LOWASA ATOA MILIONI 10 KUSAIDIA UJENZI WA KANISA LA EAGT

Huwa naheshimu post za kila mtu jambo kubwa kwangu nikipata tarifa kama hii huwa naanza kutafiti na kupata ukweli zaidi nimefanya hivi kwenye post nyingi za chabruma na kupata ukweli juu ya post za chabruma kwa undani kabisa.
 
Habari zilizotufikia punde zinasema madaktari wa Mhe. Lowassa (1) waliopo ujerumani wamemshauri mgonjwa wao asiendelee na shughuli hiyo ya kuwania kwani inamchosha na kufanya ugonjwa wake umtafune kwa kasi.

Madaktari wamefikia uamuzi huo baada ya kuona hali ya mgonjwa wao
Mhe. Lowassa (2), anayesumbuliwa na ugonjwa wa Parkinson inazidi kudorora kutokana na hekaheka za kuzunguka huko na huko kutafuta wajumbe wa kumuunga mkono kwenye harakati za kugombea urais.

Taarifa ya madaktari hao imepokelewa na mkewe
Mhe. Lowassa (3) mama Regina ambaye alipokuwa nje ya nchi hivi karibuni.

Inasemekana
Mhe. Lowassa (4) alimtuma mkewe kwani yeye alikuwa busy kufitini mchakato wa kupata rasimu ya katiba akihofia ikipatikana rais Kikwete atapata sifa.

Hofu ya madaktari ni kuwa suala
Mhe. Lowassa (5) la degenerative urais linampa Mhe. Lowassa (7) stress ambazo zinafanya ugonjwa wake wa Parkinson usambae kwa kasi zaidi.

Ugonjwa huo unaoshambulia na kuua mishipa ya fahamu na misuli ndio pia unaomsumbua bondia mashuhuri wa zamani mohamed Ali.

Kwa sasa
Mhe. Lowassa (8) amefikia hali ambayo hawezi kuandika au kunywa supu au uji kwa kijiko kwa vile mikono yake inatikisika sana.

Madaktari wanasema akipuuza ushauri wao basi ifikapo the mwezi wa sita mwakani
Mhe. Lowassa (9), atashindwa hata kutembea mita mia moja.

Baadhi ya madaktari bingwa wa Tanzania niliozungumza nao kuhusu taarifa hiyo wanasema walikuwa wanafahamu ugonjwa unaomsumbua
Mhe. Lowassa (10) ambao yeye anafanya siri kubwa kwa vile dalili zipo na kwamba alikuwa ananunua dawa zake katika duka la madawa lililopo oysterbay hotel, dar es salaam.

Taarifa hiyo ya madaktari bingwa wa Ujerumani imepokelewa kwa uchungu na
Mhe. Lowassa (11) mwenyewe, familia yake na watu wake wa karibu.

Inaelezwa kuwa
Mhe. Lowassa (12) anazidi kupata vikwazo kufikia ndoto yake mahala baada ya kushambuliwa hivi karibuni na mwwnyekiti wa CCM Mwanza mhe Antony Diallo kuwa yeye ni fisadi na anasubiri kumuumbua akijitokeza rasmi kugombea urais.

Stay tune for more information.
Jina Mhe. Lowassa kutajwa kwa mara 12, sii promo haba!.
Endelezeni na hizi promo!.
Pasco
 
Habari zilizotufikia punde zinasema madaktari wa Lowassa waliopo ujerumani wamemshauri mgonjwa wao asiendelee na shughuli hiyo ya kuwania kwani inamchosha na kufanya ugonjwa wake umtafune kwa kasi.

Madaktari wamefikia uamuzi huo baada ya kuona hali ya mgonjwa wao anayesumbuliwa na ugonjwa wa Parkinson inazidi kudorora kutokana na hekaheka za kuzunguka huko na huko kutafuta wajumbe wa kumuunga mkono kwenye harakati za kugombea urais.

Taarifa ya madaktari hao imepokelewa na mkewe Lowassa mama Regina ambaye alipokuwa nje ya nchi hivi karibuni.

Inasemekana mh. Lowassa alimtuma mkewe kwani yeye alikuwa busy kufitini mchakato wa kupata rasimu ya katiba akihofia ikipatikana rais Kikwete atapata sifa.

Hofu ya madaktari ni kuwa suala mhe la degenerative urais linampa mhe. Lowassa stress ambazo zinafanya ugonjwa wake wa Parkinson usambae kwa kasi zaidi.

Ugonjwa huo unaoshambulia na kuua mishipa ya fahamu na misuli ndio pia unaomsumbua bondia mashuhuri wa zamani mohamed Ali.

Kwa sasa mhe. Lowasa amefikia hali ambayo hawezi kuandika au kunywa supu au uji kwa kijiko kwa vile mikono yake inatikisika sana.

Madaktari wanasema akipuuza ushauri wao basi ifikapo the mwezi wa sita mwakani atashindwa hata kutembea mita mia moja.

Baadhi ya madaktari bingwa wa Tanzania niliozungumza nao kuhusu taarifa hiyo wanasema walikuwa wanafahamu ugonjwa unaomsumbua mhe. Lowassa ambao yeye anafanya siri kubwa kwa vile dalili zipo na kwamba alikuwa ananunua dawa zake katika duka la madawa lililopo oysterbay hotel, dar es salaam.

Taarifa hiyo ya madaktari bingwa wa Ujerumani imepokelewa kwa uchungu na mhe. Lowassa mwenyewe, familia yake na watu wake wa karibu.

Inaelezwa kuwa mhe Lowassa anazidi kupata vikwazo kufikia ndoto yake mahala baada ya kushambuliwa hivi karibuni na mwwnyekiti wa CCM Mwanza mhe Antony Diallo kuwa yeye ni fisadi na anasubiri kumuumbua akijitokeza rasmi kugombea urais.

Stay tune for more information.

Mbona unajidhalarisha ndugu! Ingekuwa vizuri ukachakua hata dakika chache uangalie ujumbe uliotumwa kuufikisha! Kama ni ugonjwa basi hilo siyo tatizo labda useme kingine tu. Kumbuka watu wengi hapa wanaheshimu private atmosphare ya viongozi walio madarakani na wale wanaopenda kugombe eti uraisi. Watu wakiamua kutaja MAGONJWA WALIYO NAYO CANDIDATES WENGINE AU HATA WALE AMBAO WAKO KWENYE MADARAKA, nafikiri hiyo thread yako haitakua na mshiko kabisa. Those are cheap adv.............!!
 
Habari zilizotufikia punde zinasema madaktari wa Lowassa waliopo ujerumani wamemshauri mgonjwa wao asiendelee na shughuli hiyo ya kuwania kwani inamchosha na kufanya ugonjwa wake umtafune kwa kasi.

Madaktari wamefikia uamuzi huo baada ya kuona hali ya mgonjwa wao anayesumbuliwa na ugonjwa wa Parkinson inazidi kudorora kutokana na hekaheka za kuzunguka huko na huko kutafuta wajumbe wa kumuunga mkono kwenye harakati za kugombea urais.

Taarifa ya madaktari hao imepokelewa na mkewe Lowassa mama Regina ambaye alipokuwa nje ya nchi hivi karibuni.

Inasemekana mh. Lowassa alimtuma mkewe kwani yeye alikuwa busy kufitini mchakato wa kupata rasimu ya katiba akihofia ikipatikana rais Kikwete atapata sifa.

Hofu ya madaktari ni kuwa suala mhe la degenerative urais linampa mhe. Lowassa stress ambazo zinafanya ugonjwa wake wa Parkinson usambae kwa kasi zaidi.

Ugonjwa huo unaoshambulia na kuua mishipa ya fahamu na misuli ndio pia unaomsumbua bondia mashuhuri wa zamani mohamed Ali.

Kwa sasa mhe. Lowasa amefikia hali ambayo hawezi kuandika au kunywa supu au uji kwa kijiko kwa vile mikono yake inatikisika sana.

Madaktari wanasema akipuuza ushauri wao basi ifikapo the mwezi wa sita mwakani atashindwa hata kutembea mita mia moja.

Baadhi ya madaktari bingwa wa Tanzania niliozungumza nao kuhusu taarifa hiyo wanasema walikuwa wanafahamu ugonjwa unaomsumbua mhe. Lowassa ambao yeye anafanya siri kubwa kwa vile dalili zipo na kwamba alikuwa ananunua dawa zake katika duka la madawa lililopo oysterbay hotel, dar es salaam.

Taarifa hiyo ya madaktari bingwa wa Ujerumani imepokelewa kwa uchungu na mhe. Lowassa mwenyewe, familia yake na watu wake wa karibu.

Inaelezwa kuwa mhe Lowassa anazidi kupata vikwazo kufikia ndoto yake mahala baada ya kushambuliwa hivi karibuni na mwwnyekiti wa CCM Mwanza mhe Antony Diallo kuwa yeye ni fisadi na anasubiri kumuumbua akijitokeza rasmi kugombea urais.

Stay tune for more information.
Weweni kenge maji inawezekanaje mzungu akampamtu mwingine majibu yamtumwingine tenamadaktariwenyewewazungu duuuuuuu aiseeesiosiri Lowassa nimeamini anaogopwasana ktkmbiozaMagogoni
 
Back
Top Bottom