Mimi hata sijali,lolote wanalomsema kwangu haipunguzi kitu kura yangu ni kwa Lowasa tu
Naogopa kuchangia hili LA afya ya MTU huyu nataka kuishi mie
Wacheni kumkufuru Mungu kwa kumwita Lowassa mgonjwa kama nyiye ndiyo mliomuumba.
Jiulize swali moja tu la msingi ni kwa nini wagombea wengi wanaoonekana kuwa wako fit sana ndiyo wanapukutika na kumwacha Lowassa ambaye anadaiwa kuwa mgonjwa?
Hiyo inatuonyesha namna Mungu anavyotuonyesha utukufu wake mkuu.
Siku akili zake zikimtuma kufyatua mizinga dhidi ya majirani usije ukaanza kulia maana atakuwa ameamua kigonjwa gonjwa
Brother najua kabisa wewe ni Team Magu lakini umenenaHuyu mzee simpendi,lakini huwa sioni kama ni jambo la busara kumsimanga afya yake,suala la kuwa mgonjwa halijalish wewe ni tajiri au maskini.tumponde kwa mengine lakini mambo ya afya yake tumuachie yeye na mungu wake.