Odhiambo cairo
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 16,352
- 22,963
Huyu mzee simpendi,lakini huwa sioni kama ni jambo la busara kumsimanga afya yake,suala la kuwa mgonjwa halijalish wewe ni tajiri au maskini.tumponde kwa mengine lakini mambo ya afya yake tumuachie yeye na mungu wake.
Yeye anagombea urais ndio sababu, cheo cha mwisho kabisa, kwa ugonjwa wake anaweza hata kuamuru makombora yavurumishwe ...
Watanzania ni watu wa ajabu eti hawampendi lowasa lakini wanaipenda ccm iliyowafanya wawe hivyo walivyo kwa miaka mingi
Watanzania ni watu wa ajabu eti hawampendi lowasa lakini wanaipenda ccm iliyowafanya wawe hivyo walivyo kwa miaka mingi
Huyu mzee simpendi,lakini huwa sioni kama ni jambo la busara kumsimanga afya yake,suala la kuwa mgonjwa halijalish wewe ni tajiri au maskini.tumponde kwa mengine lakini mambo ya afya yake tumuachie yeye na mungu wake.
wacheni kumkufuru mungu kwa kumwita lowassa mgonjwa kama nyiye ndiyo mliomuumba.
Jiulize swali moja tu la msingi ni kwa nini wagombea wengi wanaoonekana kuwa wako fit sana ndiyo wanapukutika na kumwacha lowassa ambaye anadaiwa kuwa mgonjwa?
Hiyo inatuonyesha namna mungu anavyotuonyesha utukufu wake mkuu.
Hiyo ndiyo Mengi anaiita saratani ya uongo.
video kama imevuja wanaomchukia lowasa wangeirusha pale pale bila kuchelewa lakini bado wiki moja wote musiomkubali itabidi mumkubali.
kwani mkuu ugonjwa ni kukufuru...? Kama kuumwa aibu basi mahospitalini kusengekuwa na watu waliolazwa....
Lowassa mgonjwa, sio tatizo lolote kuwa mgonjwa... Kuumwa ni kitu cha kawaida sana ...