BabuK
JF-Expert Member
- Jul 30, 2008
- 1,845
- 330
Haya yote ..ni... "alisema".... "anashinikizwa"....."ooo atatoa maamuzi magumu "na kadhalika!
Katika demokrasia ya kweli kila mtu ana uhuru wa kujiunga na chama chochote alicho na mapenzi nacho au kuhama chama alichojiunga!.... LET HIM DECIDE and let him speak it out by himself through his mouth not through agents!!!.
Atakapo sema basi atakuwa kaitumia haki yake ya kidemorasia kikamilifu. Na sisi wafuasi au washabiki pia tunapaswa kutumia demokrasi yetu kikamilifu kwa kushawishi watu tunawaona wanafaa kugombea vizuri.. wateule wetu wasipopitishwa na vikao husika hatuna haki ya kung'ang'ania kisicho riziki. Demokrasia kwa maneno mepesi ni haki ya kuchaguliwa au kutokuchaguliwa. Ndio maana kwenye uchaguzi kuna chaguo la kwanza na pili na la tatu .. basi tufikirishe vichwa vyetu kama wateule wengine wanaweza kutuletea matarajio yanayokaribiana na chaguo letu la awali basi hao ndio chaguo mbadala
Tukumbuke tamaa mbele mauti nyuma. Tusitake kutumia nafasi na changamoto za Lowasa kuendeleza matamanio yetu yasiyo na maslahi kwa demokrasi na nchi yetu. Niliogopa kidogo kuna kauli zinazoshawishi nchi nzima iwake moto kisa mtu mmoja hajapitishwa kugombea urais. I hope this is not true and someone is in a deep sleep dream!