Kaa la Moto
JF-Expert Member
- Apr 24, 2008
- 7,907
- 1,079
Maccm yana haha kweli kuhusu hatima ya Lowa hasa
Mzee Lowasa kama mzee wangu tuna toka njia moja nina kushauri achana na kuhama chama maana kwa hakika hutofanikiwa sana sana unajiandalia matatizo ambayo hata dkt wakukutibu hatokuwepo at that time.
kwa nini na sema hivyo nasema hivyo kwakuwa ukweli unaujuwa na mfumo wa serikali unaujuwa na kamwe serikali haiwezi kutengeneza watu wakushindana nayo sana sana nikukutengenzea zengwe zaidi ya lile la kwanza
1. Hafai
2. Hafai
3.Hafai
4 Hafai na NIMTU HATARI KTK SERIKALI
5.?
Soma vitabu vyote nasasa ni zaidi ya miaka hamsini ya uhuru wetu ni nani alie wahi kupingana na serikali akafanikiwa ukimpata nijuze nifute kauli
Nikupe mfano mdogo tu Mh Mrema yupo wapi mtu alie tikisa taifa hili kila mtu akajuwa hakuna kama mrema yupo wapi yupo wapi wapo wapi maadui wa ccm ndani ya ccm? achana na hii habari kuwa mpole Mungu akupenda utawale hili taifa na wala sio Kikwete maana hata Kikwete hakujuwa vile atakuwa rais ila ilijulikana atakuwa rais kama ilivyojulikana hutokuwa rais.
Simama na utafakari na uone maamuzi yako ni kiza kinene kwa familia yako na watu wako na ni jambo la busara kuwa mjinga nakuendelea kumuunga mkono mgombea alie pitishwa maana mwisho wa yote nilazima utahadhirika kias napata shida kama atakuwepo dkt wakukutibu madhara utakayo yapata.
Mungu anaupima utii wako ktk hili kabla ajashuka nakukwambia kwa makofi sikukuchaguwa wewe!!!!!
Big up mkuu.
Umetoa analysis nzuri sana
Kama kweli CCM Wanaona lowassa akihamia Cdm itakufa hawakuwa na sababu ya kuanika siri zao hadharani.
Wangepiga kimya ili wapite hapo hapo
Mzee Lowasa kama mzee wangu tuna toka njia moja nina kushauri achana na kuhama chama maana kwa hakika hutofanikiwa sana sana unajiandalia matatizo ambayo hata dkt wakukutibu hatokuwepo at that time.
kwa nini na sema hivyo nasema hivyo kwakuwa ukweli unaujuwa na mfumo wa serikali unaujuwa na kamwe serikali haiwezi kutengeneza watu wakushindana nayo sana sana nikukutengenzea zengwe zaidi ya lile la kwanza
1. Hafai
2. Hafai
3.Hafai
4 Hafai na NIMTU HATARI KTK SERIKALI
5.?
Soma vitabu vyote nasasa ni zaidi ya miaka hamsini ya uhuru wetu ni nani alie wahi kupingana na serikali akafanikiwa ukimpata nijuze nifute kauli
Nikupe mfano mdogo tu Mh Mrema yupo wapi mtu alie tikisa taifa hili kila mtu akajuwa hakuna kama mrema yupo wapi yupo wapi wapo wapi maadui wa ccm ndani ya ccm? achana na hii habari kuwa mpole Mungu akupenda utawale hili taifa na wala sio Kikwete maana hata Kikwete hakujuwa vile atakuwa rais ila ilijulikana atakuwa rais kama ilivyojulikana hutokuwa rais.
Simama na utafakari na uone maamuzi yako ni kiza kinene kwa familia yako na watu wako na ni jambo la busara kuwa mjinga nakuendelea kumuunga mkono mgombea alie pitishwa maana mwisho wa yote nilazima utahadhirika kias napata shida kama atakuwepo dkt wakukutibu madhara utakayo yapata.
Mungu anaupima utii wako ktk hili kabla ajashuka nakukwambia kwa makofi sikukuchaguwa wewe!!!!!
Eti fisi amshauri mwenye bucha, inaingia akilini kweli
Akitoka ndani ya CCM hata maisha yake siyo mbali kufika mwisho.
Halafu mimi sielewi kama walikuwa 38 akachaguliwa mmoja mbona hao wengine wote wameamua kukijenga chama chao hata kama kinaonekana kuwa na Siha mbaya mbele ya Hadhira?
Yeye ana kitu gani cha pekee alichonacho asichoweza kumshauri Magufuli kama ni kizuri kikafanyiwa kazi?mpaka atake kuingia ikulu mwenyewe?
Sasa ndiyo naelekea kuamini kuna kitu kimejificha moyo mwa Lowasa na siyo kizuri kwa Watanzania Lowasa atatugharimu.
Mtu mmoja alisema kuwa "Sumu hainjwi"ila huyu jamaa akihama na kwenda Upinza halafu Watanzania tukamchagua kuwa raisi tutakuwa tumeonja Sumu na kiukweli ukionja Sumu kuna matokeo ya kufa tu na utakufa tu maana hamna namna nyingine.
Mwacheni aende alafu watanzania tutajua namna ya kuwafanya Ukawa make tamaa zao hizi hazitusaidii ..sikuwahi kuwa CCM ila itabidi kwanza niichane kadi ya CDM na kuachana na siasa ila ntakuwa mpiga kura huru na mwaka huu rasmi ntawapigia CCM tena kwa hasira kuanzia kwa diwani mpaka kwa rais
Una Hekima Sana.Lowassa ameshindwa kutambua kuwa watu wanamsukuma kwa sababu ya maslahi yao binafsi? Lowassa alikatwa mwaka 1995, mwaka 2005 akaunda mtandao ambao ulisambaratika miaka mitatu baadae (2008) ambapo alilazimika kujiuzulu. Sasa leo hii anapata wapi ujasiri wa kushinikiza kuwa anafaa kuongoza watu waliomkaa, kipi kimebalika kwenye kabati la Lowassa? Inajulikana kuwa watu wanaweweseka mjini kwa sababu Lowassa aliwapa pesa na kuwaahidi vyeo, sasa wanataka kumtoa kafara ili waneemeke! Ukiishi kwa upanga, utakufa kwa upanga!
Rais anayekuja atakuwa amewatendea haki watanzania akiliunganisha hili fisadi na kina Mramba huko jela.
Huyu mzee kaiba pesa zetu sana halafu kachukua pesa nyingi sana kwa watu akiwaahidi kuwasaidia kwenye biashara zao na wengine kuwapa madaraka ,Akitoka ndani ya CCM hata maisha yake siyo mbali kufika mwisho.
Halafu mimi sielewi kama walikuwa 38 akachaguliwa mmoja mbona hao wengine wote wameamua kukijenga chama chao hata kama kinaonekana kuwa na Siha mbaya mbele ya Hadhira?
Yeye ana kitu gani cha pekee alichonacho asichoweza kumshauri Magufuli kama ni kizuri kikafanyiwa kazi?mpaka atake kuingia ikulu mwenyewe?
Sasa ndiyo naelekea kuamini kuna kitu kimejificha moyo mwa Lowasa na siyo kizuri kwa Watanzania Lowasa atatugharimu.
Mtu mmoja alisema kuwa "Sumu hainjwi"ila huyu jamaa akihama na kwenda Upinza halafu Watanzania tukamchagua kuwa raisi tutakuwa tumeonja Sumu na kiukweli ukionja Sumu kuna matokeo ya kufa tu na utakufa tu maana hamna namna nyingine.
Kama sio Hofu "Ebu tupia Hints na Ushahidi wa ufisadi wa Eddo Lowassa, ambao Unadhani Walioko CCM ni Wasafi. Jiongeze ndg yangu
ndani ya CCM Hakuna kitu kiitwacho Rushwa bali Takrima. Hakuna Msafi ndani ya CCM, Hiyo Tuhuma ya Richmond Haina Uhalisia na
Serikali nzima Ilikuja Kujua Tayari Imeingizwa Mjini.