Silentobserver007
Member
- Jun 26, 2015
- 69
- 30
sizitaki mbichi hizi! Kama lowasa Ni fisadi kwanini hamjampeleka mahakamani??? Kumbe chama cha majambazi (CCM) kinafuga mafisadi!!! Baba riz na mwanae wamechangia tz kuwa maisha magumu kwa kujilimbikizia Mali huku wengine tunaishi kwa shida! Makufuli Ni hizi kubwa kaminya mradi WA barabara mpaka barabara kujengwa nyembamba nayeye kujenga kebby's hotel bamaga na kumweka Malaya wake Dada kabula kuwa msimamizi ambaye alimwachanisha na mume wake na kumuhonga viwanja 3 vya serikali, upo hapo we kibaka wa panya buku wa Lumumba fc?? Bado Andrew chenge, Anne kilango, balali ambaye mmemficha na kutuaminisha amekufa!ccm Ni genge la wahuni ( wezi wa kura, wezi wa Mali zetu, wauaji, wahongo, wanafki,wala rushwa nk) RIP CCM wote mmeoza
Unajua nashindwa kuwaelewa nyie watu. Jana mnalalamika Magufuli mkurupukaji kalicost taifa sijui blah blah, leo mnataka watu wakimbilie kufungua kesi ambazo bado wanakusanyia ushahidi alafu wakishindwa mnaanza yale yale. Mambo mazuri hayahitaji haraka na tingatinga kishasema atawashughulikia POLE POLE. Hehe. Kaa mkao wa viboko kwenye baridi lazima viingie safari hii. Kikwete anajua mziki unaokuja mnene anajipendekeza saivi. Lowassa atabaki na jazba zake na zitamcost siasa waulize walizozianzisha sio lowassa kijana. Pole sana kwa uelewa wako mdogo na story za vijiweni utajua tu mwaka huu. Tukutane October