Silentobserver007
Member
- Jun 26, 2015
- 69
- 30
Lowassa ana mamilioni ya wafuasi, makundi kwa makundi Waalimu, Machinga, Bodaboda, vijana, Mama ntilie, Wafanya kazi, wakristo, waislam, maaskofu, masheikh, wafugaji, wakulima, UVCCM, BAVICHA, UWT, BAWACHA, CCM 80%, CHADEMA, CUF, ACT....
Yaani hakuna wa kuweza shindana nae ktk mbio za Urais kwa sasa, hakuna kabisa... na anajua mbinu nyingi sana za ushindi, he is very very ahead of game, very strategic...
Atashinda mapema mnoooo, na uhakika, akitangaza tu kwenda UKAWA, mamilioni ya wananchi wa kila aina, watamfuata kwa mamilioni, utakuwa ndio mwanzo wa Tanzania mpya..
Hayo makundi yako yote umetaja hawafiki hata 10% ya watu wake lowasa wala wanaompenda... endeleeni kujipa moyo team wapigaji