kibongemdudu
Member
- Jul 31, 2015
- 40
- 1
Kwa akili zenu ndogo mnataka mwenyekiti aseme tunashindwa mwaka huu mtaisoma namba Oct 25
Hii kauli inaweza kumpeleka the Hague huyu mkwere asipokuwa makini na kauli zake
Sekunde za mwanzo tu, beki tuliyedhani ndiye wa kutumainiwa dj kesha jifunga magoli mawili. Mwisho wa mechi itakuwa dazeni za magoli.
Utakuwa ulipata mtoto ukiwa umechelewa ndani ya ndoa. Ninakufahamu Tupatupa ulizaliwa 1954 na ukaoa 1977. Mpaka kupata mtoto umechelewa sana nini tatizo? Au ulikuwa unakula maisha kwanza?
Na pia wakumbuke sio watanzania wote ambao ni wanachama wa vyama vya siasa. Na tuna haki ya kukaa nchini mwetu kwa amani na raha. WasituvurugeWanaoongoza na waongozwa wasipochunga kauli zao, visirani, naanza kuikumbuka Tanzania ilee..
Nawakumbusha tena;
VYAMA, VYEO, SISI SOTE TUNAPITA. HAKUNA MTANZANIA ZAIDI YA MWINGINE.
TANZANIA ITABAKI
ccm watapigwa bao nyingi tu kama za wanafunzi wa boarding wanaozipiga mabafuni
Mwanangu amekuja mbio kunikurupusha eti nije nione. Nione jinsi Idhaa ya Kiswahili ya BBC London inavyotangaza habari za Lowassa na UKAWA yake kwakuwa ni mtu maarufu! Amenítambia,kwakuwa yeye ni mpinzani wangu,kuwa Lowassa atatulaza macho wazi mwaka huu. Nipo hapa natazama,kwa kushurutishwa,BBC kupitia Star TV.
Nimemwambia kuwa Lowassa atakiona cha mtema kuni. Mwenyekiti wetu wa chama amesema. Mwenyekiti amesema tuna uzoefu,mbinu na sababu za kushinda. Mwanangu hapa ananimiminia maswali ili nimwambie mantiki ya kauli ya Mwenyekiti Kikwete. Nimemjibu kuwa asubiri Octoba 25.
Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam
Lowassa ndiye anakwenda Hague
Watu walikuwa hawana habari na kuchukua form kwa Magufuli zaidi ya mkutano wa CDM.
Mwanangu amekuja mbio kunikurupusha eti nije nione. Nione jinsi Idhaa ya Kiswahili ya BBC London inavyotangaza habari za Lowassa na UKAWA yake kwakuwa ni mtu maarufu! Amenítambia,kwakuwa yeye ni mpinzani wangu,kuwa Lowassa atatulaza macho wazi mwaka huu. Nipo hapa natazama,kwa kushurutishwa,BBC kupitia Star TV.
Nimemwambia kuwa Lowassa atakiona cha mtema kuni. Mwenyekiti wetu wa chama amesema. Mwenyekiti amesema tuna uzoefu,mbinu na sababu za kushinda. Mwanangu hapa ananimiminia maswali ili nimwambie mantiki ya kauli ya Mwenyekiti Kikwete. Nimemjibu kuwa asubiri Octoba 25.
Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam
Mwanao amechagua lililo jema.