Lowassa apaishwa BBC,atakiona cha mtema kuni

Lowassa apaishwa BBC,atakiona cha mtema kuni

Lile povu alilotoa angetoa wakati wa sakata la Richmond na escrow Ukweli ungekuwa ushajulikana watu tusingekuwa dilemma.
 
Mwanangu amekuja mbio kunikurupusha eti nije nione. Nione jinsi Idhaa ya Kiswahili ya BBC London inavyotangaza habari za Lowassa na UKAWA yake kwakuwa ni mtu maarufu! Amenítambia,kwakuwa yeye ni mpinzani wangu,kuwa Lowassa atatulaza macho wazi mwaka huu. Nipo hapa natazama,kwa kushurutishwa,BBC kupitia Star TV.

Nimemwambia kuwa Lowassa atakiona cha mtema kuni. Mwenyekiti wetu wa chama amesema. Mwenyekiti amesema tuna uzoefu,mbinu na sababu za kushinda. Mwanangu hapa ananimiminia maswali ili nimwambie mantiki ya kauli ya Mwenyekiti Kikwete. Nimemjibu kuwa asubiri Octoba 25.

Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam

Naona amejitahidi kukusilimisha!!!Lakini nampa chapuo aendelee ipo siku utaamua kwa hiari.Huko wenye chama ni Kitengo,angalia wasikukate.

Halafu huko RUSHWA imekuwa kama kununua sukari tu.Sijui kama mtaweza kuiondoa tena.Ninajiuliza hivi sisi masikini tunaweza kuwa wajumbe wa mjengoni kupitia chama cha majangili?
 
Wanaoongoza na waongozwa wasipochunga kauli zao, visirani, naanza kuikumbuka Tanzania ilee..

Nawakumbusha tena;

VYAMA, VYEO, SISI SOTE TUNAPITA. HAKUNA MTANZANIA ZAIDI YA MWINGINE.
TANZANIA ITABAKI
 
Mwanangu amekuja mbio kunikurupusha eti nije nione. Nione jinsi Idhaa ya Kiswahili ya BBC London inavyotangaza habari za Lowassa na UKAWA yake kwakuwa ni mtu maarufu! Amenítambia,kwakuwa yeye ni mpinzani wangu,kuwa Lowassa atatulaza macho wazi mwaka huu. Nipo hapa natazama,kwa kushurutishwa,BBC kupitia Star TV.

Nimemwambia kuwa Lowassa atakiona cha mtema kuni. Mwenyekiti wetu wa chama amesema. Mwenyekiti amesema tuna uzoefu,mbinu na sababu za kushinda. Mwanangu hapa ananimiminia maswali ili nimwambie mantiki ya kauli ya Mwenyekiti Kikwete. Nimemjibu kuwa asubiri Octoba 25.

Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam

Alafu kaka nimemsikia pia mwenyekiti akisema tusidharau madui zetu hata kama ni mdogo,,nikajiuliza kumbe kuwa upinzani ni adui??
 
Kuna siku ntakuja kumwelewa Mzee Tupatupa.
 
Mzee tupa tupa hadi mwanao umeshindwa kumshauri kukipenda anachokipenda baba yake najua una cha kumuongopea kwa kuwa ccm hii siyo ya kipindi cha ujana wako

Mzee wangu huyu yupo CCM kwa kazi maalum ya kuturushia ndogo ndogo pale tunapohitajika kujua mambo mambo.

Lakini unagombea wapi UKAWA tuje kukupa support?Maana mdogo wangu huyo kwa kuwa kwake UKAWA LAZIMA TUMSAIDIE UWEPO PALE MJENGONI
 
Mie naona Octoba ni mbali tumechoka kutawaliwa na mfumo wa kishetani uliojaa dhuluma kwa wananchi. Ee Mwenyezi Mungu zikimbize haraka siku hizi ulikomboe taifa letu asubuhi ya tar 25 Oct.
 
Wanaoongoza na waongozwa wasipochunga kauli zao, visirani, naanza kuikumbuka Tanzania ilee..

Nawakumbusha tena;

VYAMA, VYEO, SISI SOTE TUNAPITA. HAKUNA MTANZANIA ZAIDI YA MWINGINE.
TANZANIA ITABAKI
Hakika amani tunaipenda sana, lakini pale tutopoona tunadhulumiwa hakika I guarantee there will be no peace at all.
 
Hujaeleza atakiona vipi hicho "cha mtama kuni" zaidi ya kupwapwaja tu kuwa "mwenyekiti"kasema.Hivi umeshikiwa akili na mwenyekiti?? Mtoto wako anakuuliza maswali unashindwa kumjibu halafu unataka mwanao akuamini!!Atakuamini vipi? Hebu soma kichwa cha habari hapo juu na ulichokiandika! Shirikisha "ubongo"unapoandika kitu.

hahaha kweli wewe hukusoma fasihi simulizi kalaga bahooo
 
Mazoezi wamewafanya katika kura za maoni....
 
Goli la mkono ccm watafunga lakini ni baada ya kufungwa goli nane hivyo itakua 8:1 na hilo goli halitasaidia.
 
Mwenyekiti alipigwa goli na lowassa dodoma bado anaugulia... Mpango wake mdogo tu wa membe ulipigwa chini sasa watanzania tutamuonyesha kazi.. Wazee walimuokoa kuaibika dodoma asubiri oct 25
 
Gharama za ujenzi wa Bomba la Gesi zimeongezeka kwa zaidi ya tshs 210 bilioni! Wakati watanzania wanazugwa na uchaguzi, watu wanapiga tu. CAG akague mradi huu na nyongeza za gharama. Hata hivyo CAG naye bajeti yake imekatwa kwa 40% na hata mamlaka ya bajeti ya CAG imetolewa kamati ya PAC ( inayoongozwa na upinzani) na kuhamishiwa kamati ya Bajeti ( inayoongozwa na chama tawala) .
 
CCM Fanyeni Campaign Hilo Gori La Mkono Msilitegemee na Mara Nyingi Linafanyiwa Team ambazo Hazikujipanga.

kama kitu haijanyooka vizur ndo mkono hutumika kumpa kumfikisha mwenza kwenye kilele cha mlima. Lakini kama kitu imenyooka vizur hamna kutumia mkono kumpeleka mweza kileleni. Kwa mantiki hiyo CCM ipo vizur imenyooka vizur na imara kabisa Chadema watulie watafikishwa tu kwenye kilele cha mlima Kilimanjaro bila bao la mkono.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom