Chief Kabikula
JF-Expert Member
- Jan 1, 2019
- 7,567
- 9,026
Waziri Mkuu amesema kuwa kampeni za uchaguzi zitaanza kuanzia tarehe17-23 November mwaka huu. Anasema atakayefanya fujo atakiona cha mtema kuni. Hivi hawa ccm wanahangaikia nini mbona vyama vya upinzani vimeshajitoa na havitoshiriki. Jana ilikuwa vitisho vya igp Siro, Leo waziri mkuu, hivi wanataka nini hawa.