Lowassa apaishwa BBC,atakiona cha mtema kuni

Lowassa apaishwa BBC,atakiona cha mtema kuni

Mwanangu amekuja mbio kunikurupusha eti nije nione. Nione jinsi Idhaa ya Kiswahili ya BBC London inavyotangaza habari za Lowassa na UKAWA yake kwakuwa ni mtu maarufu! Amenítambia,kwakuwa yeye ni mpinzani wangu,kuwa Lowassa atatulaza macho wazi mwaka huu. Nipo hapa natazama,kwa kushurutishwa,BBC kupitia Star TV.

Nimemwambia kuwa Lowassa atakiona cha mtema kuni. Mwenyekiti wetu wa chama amesema. Mwenyekiti amesema tuna uzoefu,mbinu na sababu za kushinda. Mwanangu hapa ananimiminia maswali ili nimwambie mantiki ya kauli ya Mwenyekiti Kikwete. Nimemjibu kuwa asubiri Octoba 25.

Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam



Hakuna mtanzania mwenye akili timamu anaipenda CCM. Wakereketwa wengi wa CCM ni wazee waliopigika kimaisha na hawana elimu, kwao mendeleo ni dhambi na ndivyo wanavyotaka viongozi wa CCM...wanataka watanzania waishi maisha ya mwaka 1961 huku wao wakifaidika.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom