Hujaeleza atakiona vipi hicho "cha mtama kuni" zaidi ya kupwapwaja tu kuwa "mwenyekiti"kasema.Hivi umeshikiwa akili na mwenyekiti?? Mtoto wako anakuuliza maswali unashindwa kumjibu halafu unataka mwanao akuamini!!Atakuamini vipi? Hebu soma kichwa cha habari hapo juu na ulichokiandika! Shirikisha "ubongo"unapoandika kitu.Mwanangu amekuja mbio kunikurupusha eti nije nione. Nione jinsi Idhaa ya Kiswahili ya BBC London inavyotangaza habari za Lowassa na UKAWA yake kwakuwa ni mtu maarufu! Amenítambia,kwakuwa yeye ni mpinzani wangu,kuwa Lowassa atatulaza macho wazi mwaka huu. Nipo hapa natazama,kwa kushurutishwa,BBC kupitia Star TV.
Nimemwambia kuwa Lowassa atakiona cha mtema kuni. Mwenyekiti wetu wa chama amesema. Mwenyekiti amesema tuna uzoefu,mbinu na sababu za kushinda. Mwanangu hapa ananimiminia maswali ili nimwambie mantiki ya kauli ya Mwenyekiti Kikwete. Nimemjibu kuwa asubiri Octoba 25.
Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam
Magufuri kwa eddo hafurukuti
Hii kauli inaweza kumpeleka the Hague huyu mkwere asipokuwa makini na kauli zake
20
Mzee Tupatupa
Mwanangu amekuja mbio kunikurupusha eti nije nione. Nione jinsi Idhaa ya Kiswahili ya BBC London inavyotangaza habari za Lowassa na UKAWA yake kwakuwa ni mtu maarufu! Amenítambia,kwakuwa yeye ni mpinzani wangu,kuwa Lowassa atatulaza macho wazi mwaka huu. Nipo hapa natazama,kwa kushurutishwa,BBC kupitia Star TV.
Nimemwambia kuwa Lowassa atakiona cha mtema kuni. Mwenyekiti wetu wa chama amesema. Mwenyekiti amesema tuna uzoefu,mbinu na sababu za kushinda. Mwanangu hapa ananimiminia maswali ili nimwambie mantiki ya kauli ya Mwenyekiti Kikwete. Nimemjibu kuwa asubiri Octoba 25.
Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam
Mwenyekiti alikuwa kapanic balaa, haamini kinachotokea