Lowassa anyang'anywe Passport kabla hajatoroka!

Lowassa anyang'anywe Passport kabla hajatoroka!

Barbarosa

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2015
Posts
22,584
Reaction score
27,838
Ni jambo lililowazi kabisa
Sasa ni swala la muda tu kabla ya Mega Fisadi Lowasa hajatiwa nguvuni na vyombo vyetu vya Ulinzi na Usalama,

Hivyo ningependekeza anyang'anywe Hati yake ya kusafiria kabla hajachomoka kama Rostamu!

Lowasa the cycle is closing, they are coming for you, nigga!
 
umeambiwa yupo gerezani na karibia atoroke?
 
naunga mkono hoja...bado Magufuli hajaangazia wizi wa Ranchi za ufugaji za kitaifa zinazotusababishia migogoro ya wakulima na wafugaji.
 
naunga mkono hoja...bado Magufuli hajaangazia wizi wa Ranchi za ufugaji za kitaifa zinazotusababishia migogoro ya wakulima na wafugaji.
Magufuli mwenyewe mbona nae ni mwizi tu. Watanzania wengi wenu bado elimu yenu ni ndogo sana. Badala ya kulilia haki zenu yaani mmpate katiba bora ili muwe na uhuru wa kuongea, muweze kupata mahospital shule, maji mnabaki kushinda jf kuandika watu wa kunyanganywa passport. Lowassa hawezi fungwa hata cku moja akifungwa ujue nchi itatikisika na hata akina jk itabidi wawe ndani. Ucfikiri watu wakikaa kimya ukadhani ni mambumbu kama maccm. Wenye elimu zao wapo na mambumbu wapo lumumba
 
Pamoja na mapungufu yake sidhani kama tunastahili kuendelea kumsumbua kwa kiasi hicho.
ifike mahali tumuhukumu kwa wema kidogo aliofanya na tumsamehe bure tu. ikishindikana kabisa basi tufikirie kuwa amewekeza na kuna watanzania wanafanya kazi huko.
mwisho angalieni umri na pia inawezekana afya yake haiwezi kuwa imara kama kijana wa miaka 53
 
naunga mkono hoja...bado Magufuli hajaangazia wizi wa Ranchi za ufugaji za kitaifa zinazotusababishia migogoro ya wakulima na wafugaji.
Hizo ranch zilikuwa mali ya nani eti?
 
Ugumu maisha umewafanya vijana wengi uwezo wao wa kufikiri uporomoke kabisa ni masikini tu ambae anamuazia mabaya aliemzidi kipato wakati ki-uhalisia alitakiwa awaze wapi atapata angalau pesa ya kujikimu,tunahitaji ukombozi wa fikra kabla ya ukombozi mwingine ni heri uwe mtumwa kimwili ila sio kiakili ukiona mtu anawaza kua Lowasa atatoroka basi ujue alitakiwa awepo pale Mirembe hosp ila ufinyu wa majengo tu unamsaidia.
 
Magufuli mwenyewe mbona nae ni mwizi tu. Watanzania wengi wenu bado elimu yenu ni ndogo sana. Badala ya kulilia haki zenu yaani mmpate katiba bora ili muwe na uhuru wa kuongea, muweze kupata mahospital shule, maji mnabaki kushinda jf kuandika watu wa kunyanganywa passport. Lowassa hawezi fungwa hata cku moja akifungwa ujue nchi itatikisika na hata akina jk itabidi wawe ndani. Ucfikiri watu wakikaa kimya ukadhani ni mambumbu kama maccm. Wenye elimu zao wapo na mambumbu wapo lumumba
Dalili ya mvua ni mawingu. Kitendo cha kulazimika kujidhamini maana yake kuna jambo haliko sawa. Kwa hiyo jiandae kisaikolojia, lolote laweza kutokea.
 
Back
Top Bottom